Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,793
Hata hawa waliosema hivi walishahama? :walishama wale vibudu aisee
-Hivi ni vijisenti tu...
-Millioni 10 ni pesa ya mboga tu..
-Ninyi ni masikini na malofa.
Hata hawa waliosema hivi walishahama? :walishama wale vibudu aisee
Kiama gani ikiwa wanahukumiwa miaka mi3 jela au fine 5m?Kiama chao kishafika
Alishatoka au bado
Hili nalo ni kosa!?Hatari sana, huyu jamaa ana landcruiser mkonge za kusambaza mafuta kwenye minara ya simu nadhani si chini ya Mia na usheee
Ni kejeli au mzaha.? Tambueni Mungu yupo. Unachofurahia ni mzigo kwenye shingo zenu milele.Alishatoka au bado
Akili za kimaskiniHili nalo ni kosa!?
Anayehudumia minaraAkili za kimaskini
View attachment 370988
Kwa wale wa Arusha na wengineo mliomo katika construction industry mtakua mnajua vema bwana Lema au maarufu kama elerai.
Huyu ni mmiliki wa kampuni ya Elerai construction na pia Northern engineering. Ni kampuni zinazoanya vizuri sana hapa nchini especially kaskazini mwa tz.
Bwana Lema leo kapandishwa kizimbani kisutu akiunganishwa kwenye kesi ya yule bilionea wa million saba kwa kila dakika.
Kesi hyo haikueza sikilizwa kwa watuhumiwa kucheleweshwa kufika mahakamani na hivyo Lema na wenzie walipelekwa rumande hadi tarehe 26.
Kuna kipindi huyu walienda watu wa usalama kusarchi kwake akawatolea bunduki akiwazuia wasiingie ndani,???majizi na mafisadi tu haya yote yakiasisiwa na babalao la mafisadi
Kwani wewe tataizo lako ni lipi?!,ulitaka wasipelekwe mahakamani? Au unataka waendelee tu kuliibia taifa??!,Kwaiyo kuwa mzalendo ndio kubagua mikoa Fulani kisa wamechagua mabadiliko
Kuwa mzalendo ndio kuwa mtu Wa Namna gani kwa akili zako hao akina lema waliamka tu kwenye umaskini Na kuiba iyo milioni Saba kila dakika endelea kusubiri mkuu tatizo lako ni moja tu kuchukia waliokuzidi kipato pambana Na Hali yako hiyo kesi ndio kwanza ipo mahakamani wanaweza shinda kesi Na wakarudi uraiani wewe ukaendelea Na chuki zako Na wao wanaendelea Na maendeleo yao
Kwenye huu uzi kuna ccm na cdm tenaaa,km huwezi kuchangia si unyamaze kimya,kila kitu wewe ni ccm,Endelea kujidanganya kuamini MTU nchi hii inaendeshwa Na katiba ya jamuhuri ya muungano Mahakamani hakuna cha matakwa ya MTU ni Sheria zinasemaje tu. Kama kweli wewe ni mchukia ufisadi kuna ufisadi miaka mingapi umefanyika ndani ya ccm ujawachukia lugumi meremeta Richmond escrow EPA huu ufisadi wote umefanya Na ccm wewe unachukia chadema
Tulianza na kina manji, kuna seti lugemalila na wengine wengi tu,lkn kuna kanda furani wanaamini wao ni malaika wa mungu,ukiwagusa tu watakimbilia kusema tunafuatiliwa kusiasia,mala tunafuatiliwa kikanda,hawa watu ni waajabu snTumeongea mengi sana kuwahusu hawa mabwana,
ila wakati wanapambana & kujinyima kuitafuta pesa tuliwaona na hatukusema kitu ila leo wamefanikiwa ndio tunaanza kuwazonga...
Kama sisi ni majasiri kwanini hatujaanza na watoto wa mkwere.?
Kama tunajisifia kwa kufanya kazi kwanini hatujamgusa Lugumi.?
Wapo wengi waliotuibia lakini kutokana na mihemko ya kisiasa tumewasahau na kuwasamehe wezi wote( )
badala yake tunabaki kuwakamata hawa waliojijengea misingi imara ya kutafuta pesa..
Ila mimi nafikiri ni chuki tu dhidi ya watu wakaskazini imetujaa kama sio hvyo kwaujasiri tusingewasamehe wakwepa kodi walioigarimu serikali ya tz akiwemo Said BAKHRESA.. na wenzie..
ila hao hawakupelekwa mahakamani wala kufungwa badala yake walipewa siku 7 kuhakikisha wameklia madeni yao..
Nasikia harufu ya Ukanda
nipo upande wako boss .. mi sio mpinga maendeleoAnayehudumia minara
1. kufanya service ya gensets
2. kufanya refueling
3. Ku-attend callouts
Si jambo la ajabu kuwa na landcruisers. Unawezaje panda na IST pale juu mlimani kwenye mnara wa Chanikanguo Masasi!? Unawezaje kupanda na Starlet pale Mikangaula ..!? unafikaje pande plot huko Kilwa wakati wa mvua.!? unapandeje kwenye minara ya Mazombe kule Iringa kama si Landcruiser!? unafikaje Towers za Lugoba kama huna landcruiser au yanayofanana na hayo..!??
Kuna watu hawajui industry fulani inahitaji nini LAKINI wanakoment hatari..!! Unfortunately unavyozidi kusimulia usilolijua ndivyo unavyozidi kuonekana au kuonyesha namna gani na kwa kiasi gani hujui...
Nakusoma boss... unajua kwa baadhi ya waTZ, umasikini ndo uzalendo na utajiri ni wizi... wao kwao kila tajiri ni mwizinipo upande wako boss .. mi sio mpinga maendeleo