Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 7,207
- 8,643
Acha ujinga aisee!!Hujasikia wakisema kuna ujenzi wa recreational areas along that road? Rudi shule.
Acha ujinga aisee!!Hujasikia wakisema kuna ujenzi wa recreational areas along that road? Rudi shule.
Kabisa linapokuja swala la kuitetea Zanziber, wanaungana wote kuwa wamoja,huwezi kiona mibara,kina Kabudi wakilifanya hili.Nachowapendea wazanzibari wanaipenda Zanzibar toka moyoni na huu muungano haujawapotezea utaifa wao.
Wangekuwa viongozi wengine waafrika, wangeishia kutengeneza dynasties zenye ukata wa kutisha. Ila wao wapo busy kutengeneza Zanzibar yao
Safi kabisa 👏🏾👏🏾👏🏾
Hawezi acha. KasharogwaAcha ujinga aisee!!
Ndo maana tunawashangaa watanganyika wenzetu wanaowasaidia kututeka na kwenda kutuuaHela za Tanganyika zimehamishiwa Zanzibar. Sasa wanajenga KM mbili za Barabara kwa Bilioni 50+
Kumbuka Bajeti ya Miundombinu ya Zanzibar ni Bilioni 400 tu kwa mwaka 2026/2027 .. Sasa kama Bilioni 50 zinajenga Kilometa mbili, Mishahara, Matumizi mengine itakuwa bei gani? So kwa Mwaka Zanzibar wanatengeneza Kilometa mbili tu? Maajabu
Hiki ni kipalande cha Barabara kinachopita kwenye nyumba mpya ya Samia Suluhu Hassan...
Wanasema gharama ni Panoja na kupanda Miti. Mbona tulienda Kizimkazi kupanda Miti bure?
View attachment 3597576
Hiyo bajeti ya bilioni 471 siyo kwamba zote zinaenda barabara pekee; ni kifurushi cha miradi ya miundombinu kinachojumuisha barabara, madaraja, bandari, usafiri wa baharini, taa za barabarani na baadhi ya miradi ya usafiri wa anga. 🤣🤣🤣🤣
NGOJA NIWAPE MFANO KIDOGO ILI KUJUA TUNAPIGWA.
Hebu tuangalie miradi mbalimbali ya barabara zinazosimamiwa na TANROADS:
1. Barabara ya Kahama–Bulyanhulu Jct–Kakola (km 73) imekadiriwa kugharimu Sh bilioni 101.2, sawa na takribani Sh bilioni 1.39 kwa km moja.
2. Mradi wa Tanga–Pangani (km 50) wenye gharama ya Sh bilioni 118.7 ni takribani Sh bilioni 2.37 kwa km moja.
3. Mradi wa Nyamuswa–Bunda–Bulamba (km 56.4) kwa Sh bilioni 67.887 ni takribani Sh bilioni 1.2 kwa km moja.
Haya, Wazanzibar Jiteteeni kama hamtumii hela ambayo hamjatolea jasho
Hela ya Watanganyika. Ndo maana mnatumia Bilioni 25 kwa Kilometa moja badala ya kutumia Bilioni 5(Ukiweka na 10% ya Mafisadi)
Tuambieni.
Sana. Wazanzibari ni wamoja sana , hilo tuwape tu sifa zao 👏🏾👏🏾Kabisa linapokuja swala la kuitetea Zanziber, wanaungana wote kuwa wamoja,huwezi kiona mibara,kina Kabudi wakilifanya hili.
Zanzibar wameamua kuifilisi Tanganyika marais wote wanatoka Zanzibar na wanafanya wapendavyo hakuna wa kuwazuia.Hela za Tanganyika zimehamishiwa Zanzibar. Sasa wanajenga KM mbili za Barabara kwa Bilioni 50+
Kumbuka Bajeti ya Miundombinu ya Zanzibar ni Bilioni 400 tu kwa mwaka 2026/2027 .. Sasa kama Bilioni 50 zinajenga Kilometa mbili, Mishahara, Matumizi mengine itakuwa bei gani? So kwa Mwaka Zanzibar wanatengeneza Kilometa mbili tu? Maajabu
Hiki ni kipalande cha Barabara kinachopita kwenye nyumba mpya ya Samia Suluhu Hassan...
Wanasema gharama ni Panoja na kupanda Miti. Mbona tulienda Kizimkazi kupanda Miti bure?
View attachment 3597576
Hiyo bajeti ya bilioni 471 siyo kwamba zote zinaenda barabara pekee; ni kifurushi cha miradi ya miundombinu kinachojumuisha barabara, madaraja, bandari, usafiri wa baharini, taa za barabarani na baadhi ya miradi ya usafiri wa anga. 🤣🤣🤣🤣
NGOJA NIWAPE MFANO KIDOGO ILI KUJUA TUNAPIGWA.
Hebu tuangalie miradi mbalimbali ya barabara zinazosimamiwa na TANROADS:
1. Barabara ya Kahama–Bulyanhulu Jct–Kakola (km 73) imekadiriwa kugharimu Sh bilioni 101.2, sawa na takribani Sh bilioni 1.39 kwa km moja.
2. Mradi wa Tanga–Pangani (km 50) wenye gharama ya Sh bilioni 118.7 ni takribani Sh bilioni 2.37 kwa km moja.
3. Mradi wa Nyamuswa–Bunda–Bulamba (km 56.4) kwa Sh bilioni 67.887 ni takribani Sh bilioni 1.2 kwa km moja.
Haya, Wazanzibar Jiteteeni kama hamtumii hela ambayo hamjatolea jasho
Hela ya Watanganyika. Ndo maana mnatumia Bilioni 25 kwa Kilometa moja badala ya kutumia Bilioni 5(Ukiweka na 10% ya Mafisadi)
Tuambieni.
Inaonekana unawashwawashwa sanaAcha ujinga aisee!!
Hakuna popote pameonyesha ni fedha za JMT, hizi ni fedha zao za SMZHela za Tanganyika zimehamishiwa Zanzibar. Sasa wanajenga KM mbili za Barabara kwa Bilioni 50+
Rais Samia pia ni Mtanzania, ana haki zote kumiliki mali mahala popote kama Mtanzania mwingine yeyote, hivyo kama barabara hiyo inapita mbele ya nyumba yake, ni halali yake.Hiki ni kipalande cha Barabara kinachopita kwenye nyumba mpya ya Samia Suluhu Hassan...
Matumizi mabaya ya Madaraka.. Uongozi wake umetia doa Tanzania 29.10.2025Rais Samia pia ni Mtanzania, ana haki zote kumiliki mali mahala popote kama Mtanzania mwingine yeyote,
Hata hili nalo litapita, twende kwenye katiba mpya.Matumizi mabaya ya Madaraka.. Uongozi wake umetia doa Tanzania 29.10.2025
Katiba mpya yataka utashi wa kisiasa. Wanataka kwamba watumie miaka mitatu kutoa elimu watu wajue katiba iliyopo.. Hujasikia hiyo? Katiba mpya ni Kitanzi kwake.. Hata nguvu ya ziada itumieHata hili nalo litapita, twende kwenye katiba mpya.
P
Halafu Samia hela kazipeleka Zanzibar eti ni Pesa za AFCON.. Wapambe wanahoji mbona Arusha uwamja unajengwa kwa Bilioni 300+?Nachowapendea wazanzibari wanaipenda Zanzibar toka moyoni na huu muungano haujawapotezea utaifa wao.
Wangekuwa viongozi wengine waafrika, wangeishia kutengeneza dynasties zenye ukata wa kutisha. Ila wao wapo busy kutengeneza Zanzibar yao
Safi kabisa 👏🏾👏🏾👏🏾
Si kweli, mchakato utaanza ndani ya siku 100 za kwanza Asante Rais Samia hotuba mwaka mpya, kubwa kuliko yote ni la kuanza kwa mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100, itawezekana? pia hapa Waungwana Wakiahidi, Wanatekeleza!, Rais Samia Aliahidi Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya, Ndani ya Siku 100 za Kwanza, Je Atatekeleza?Katiba mpya yataka utashi wa kisiasa. Wanataka kwamba watumie miaka mitatu kutoa elimu watu wajue katiba iliyopo.. Hujasikia hiyo? Katiba mpya ni Kitanzi kwake.. Hata nguvu ya ziada itumie
Mkuu lakini ukiona hizo barabara wanazojenga ni vituko vitupu yani Magufuli ana waacha mbali sana.Limeua watanganyika na bado linawaibia🥺
Sass mbona maji ya mvua yana jaaa si yange ondokaNdugu mimi sijui mambo ya gharama ila hio barabara asili yake ilikua ni bahari ikafanyiwa land reclamation sasa hapo kuijenga tena upya inahitaji umakini wa hali ya juu sanaa huko chini kuna mitaro mtu unasimama kabisaa
Zanzibar ni njema atakae aje