Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 5,512
- 9,472
Ata ww unakula huwenda vya kutoka leo vikatoka na vya juziSass mbona maji ya mvua yana jaaa si yange ondoka

Hadi 2029...CCM itakuwa ni kama kumsukuma mlevi...mambo mengi sana ikiwemo mfumuko wa bei na miundo mbinu iliyoharibika...Hela za Tanganyika zimehamishiwa Zanzibar. Sasa wanajenga KM mbili za Barabara kwa Bilioni 50+
Kumbuka Bajeti ya Miundombinu ya Zanzibar ni Bilioni 400 tu kwa mwaka 2026/2027 .. Sasa kama Bilioni 50 zinajenga Kilometa mbili, Mishahara, Matumizi mengine itakuwa bei gani? So kwa Mwaka Zanzibar wanatengeneza Kilometa mbili tu? Maajabu
Hiki ni kipalande cha Barabara kinachopita kwenye nyumba mpya ya Samia Suluhu Hassan...
Wanasema gharama ni Panoja na kupanda Miti. Mbona tulienda Kizimkazi kupanda Miti bure?
View attachment 3597576
Hiyo bajeti ya bilioni 471 siyo kwamba zote zinaenda barabara pekee; ni kifurushi cha miradi ya miundombinu kinachojumuisha barabara, madaraja, bandari, usafiri wa baharini, taa za barabarani na baadhi ya miradi ya usafiri wa anga. 🤣🤣🤣🤣
NGOJA NIWAPE MFANO KIDOGO ILI KUJUA TUNAPIGWA.
Hebu tuangalie miradi mbalimbali ya barabara zinazosimamiwa na TANROADS:
1. Barabara ya Kahama–Bulyanhulu Jct–Kakola (km 73) imekadiriwa kugharimu Sh bilioni 101.2, sawa na takribani Sh bilioni 1.39 kwa km moja.
2. Mradi wa Tanga–Pangani (km 50) wenye gharama ya Sh bilioni 118.7 ni takribani Sh bilioni 2.37 kwa km moja.
3. Mradi wa Nyamuswa–Bunda–Bulamba (km 56.4) kwa Sh bilioni 67.887 ni takribani Sh bilioni 1.2 kwa km moja.
Haya, Wazanzibar Jiteteeni kama hamtumii hela ambayo hamjatolea jasho
Hela ya Watanganyika. Ndo maana mnatumia Bilioni 25 kwa Kilometa moja badala ya kutumia Bilioni 5(Ukiweka na 10% ya Mafisadi)
Tuambieni.
Umesoma ulichokiandika? Nani kazungumzia Bajeti ya Zanzibar?Bajeti ya Zanzibar sio b 400. Mwaka huu inafika T 6
Yote kwa Yote. MARIDHIANO na KATIBA MPYA sambamba na kufumua mifumo iliyopitwa na wakati ili tuendane na ulimwengu wa sasa ndo mwarobaini wa Yote hayo.Wazanzibar hawana changamoto ya ajira kama huku bara.
Sijui viongozi wetu wa bara wamerogwa na nani kwamba wao hawaoni tunavyopigwa.
Siyo muungwanaSi kweli, mchakato utaanza ndani ya siku 100 za kwanza Asante Rais Samia hotuba mwaka mpya, kubwa kuliko yote ni la kuanza kwa mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100, itawezekana? pia hapa Waungwana Wakiahidi, Wanatekeleza!, Rais Samia Aliahidi Kuanza Mchakato wa Katiba Mpya, Ndani ya Siku 100 za Kwanza, Je Atatekeleza?
P
Ni Muungwana sana ila....Siyo muungwana
Umesoma ulichokiandika? Nani kazungumzia Bajeti ya Zanzibar?
Kabla ya kuwaongezea ujinga mwengine wapuuzi wenzako hivi unajua hiyo project ni PESA za msaada.. Sasa hizo PESA za Tanganyika zimetoka wapi? Yaani Kila kukicha mnafikiria uzishi tuHela za Tanganyika zimehamishiwa Zanzibar. Sasa wanajenga KM mbili za Barabara kwa Bilioni 50+ kisa AFCON.
AFCON ishakuwa Dilisha la upigaji.
Kumbuka Bajeti ya Miundombinu ya Zanzibar ni Bilioni 400 tu kwa mwaka 2026/2027 .. Sasa kama Bilioni 50 zinajenga Kilometa mbili, Mishahara, Matumizi mengine itakuwa bei gani? So kwa Mwaka Zanzibar wanatengeneza Kilometa mbili tu? Maajabu
Hiki ni kipalande cha Barabara kinachopita kwenye nyumba mpya ya Samia Suluhu Hassan...
Wanasema gharama ni Panoja na kupanda Miti. Mbona tulienda Kizimkazi kupanda Miti bure siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Samia?
View attachment 3597576
Hiyo bajeti ya bilioni 471 siyo kwamba zote zinaenda barabara pekee; ni kifurushi cha miradi ya miundombinu kinachojumuisha barabara, madaraja, bandari, usafiri wa baharini, taa za barabarani na baadhi ya miradi ya usafiri wa anga. 🤣🤣🤣🤣
NGOJA NIWAPE MFANO KIDOGO ILI KUJUA TUNAPIGWA.
Hebu tuangalie miradi mbalimbali ya barabara zinazosimamiwa na TANROADS:
1. Barabara ya Kahama–Bulyanhulu Jct–Kakola (km 73) imekadiriwa kugharimu Sh bilioni 101.2, sawa na takribani Sh bilioni 1.39 kwa km moja.
2. Mradi wa Tanga–Pangani (km 50) wenye gharama ya Sh bilioni 118.7 ni takribani Sh bilioni 2.37 kwa km moja.
3. Mradi wa Nyamuswa–Bunda–Bulamba (km 56.4) kwa Sh bilioni 67.887 ni takribani Sh bilioni 1.2 kwa km moja.
Haya, Wazanzibar Jiteteeni kama hamtumii hela ambayo hamjatolea jasho
Hela ya Watanganyika. Ndo maana mnatumia Bilioni 25 kwa Kilometa moja badala ya kutumia Bilioni 5(Ukiweka na 10% ya Mafisadi)
Tuambieni.
Idiot mmoja alisikika akisemaHujasikia wakisema kuna ujenzi wa recreational areas along that road? Rudi shule.
WaZanzibar wapo kimkakati huku waTanganyika wakiwa usingizini...
Ni hivi, maisha ni mafupi... Na mafanikio ya kijamii, kiuchumi, kisiasa n.k hayaletwi na MUNGU!
Tunapigwa kata funuaPoleni wadanganyika bado mnapigwa kwenye ajira
Uturehemie...Hela za Tanganyika zimehamishiwa Zanzibar. Sasa wanajenga KM mbili za Barabara kwa Bilioni 50+ kisa AFCON.
AFCON ishakuwa Dilisha la upigaji.
Kumbuka Bajeti ya Miundombinu ya Zanzibar ni Bilioni 400 tu kwa mwaka 2026/2027 .. Sasa kama Bilioni 50 zinajenga Kilometa mbili, Mishahara, Matumizi mengine itakuwa bei gani? So kwa Mwaka Zanzibar wanatengeneza Kilometa mbili tu? Maajabu
Hiki ni kipalande cha Barabara kinachopita kwenye nyumba mpya ya Samia Suluhu Hassan...
Wanasema gharama ni Panoja na kupanda Miti. Mbona tulienda Kizimkazi kupanda Miti bure siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa Samia?
View attachment 3597576
Hiyo bajeti ya bilioni 471 siyo kwamba zote zinaenda barabara pekee; ni kifurushi cha miradi ya miundombinu kinachojumuisha barabara, madaraja, bandari, usafiri wa baharini, taa za barabarani na baadhi ya miradi ya usafiri wa anga. 🤣🤣🤣🤣
NGOJA NIWAPE MFANO KIDOGO ILI KUJUA TUNAPIGWA.
Hebu tuangalie miradi mbalimbali ya barabara zinazosimamiwa na TANROADS:
1. Barabara ya Kahama–Bulyanhulu Jct–Kakola (km 73) imekadiriwa kugharimu Sh bilioni 101.2, sawa na takribani Sh bilioni 1.39 kwa km moja.
2. Mradi wa Tanga–Pangani (km 50) wenye gharama ya Sh bilioni 118.7 ni takribani Sh bilioni 2.37 kwa km moja.
3. Mradi wa Nyamuswa–Bunda–Bulamba (km 56.4) kwa Sh bilioni 67.887 ni takribani Sh bilioni 1.2 kwa km moja.
Haya, Wazanzibar Jiteteeni kama hamtumii hela ambayo hamjatolea jasho
Hela ya Watanganyika. Ndo maana mnatumia Bilioni 25 kwa Kilometa moja badala ya kutumia Bilioni 5(Ukiweka na 10% ya Mafisadi)
Tuambieni.
Kwa vyovyote hamie mtangazaji atakua kakosea kutamka tarakimu. Haiwezekani kilometa 2 za barabara kwa bilion 50 hamie.Hela za Tanganyika zimehamishiwa Zanzibar. Sasa wanajenga KM mbili za Barabara kwa Bilioni 50+ kisa AFCON.