makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,371
- 3,670
Nidhani BILLIONEA MTEI wa DOM aliyepata ajari juzi.
Matei kumbe alikuwa bilionea?
Nidhani BILLIONEA MTEI wa DOM aliyepata ajari juzi.
Me nilidhani ni bilionea AnnaTibaijuka amekufa kwa mshtuko!!
Ameamuwa kutoa naye Rushwa ya Gari ili asipate kuadhibiwa gorgeousmimiKuna watu wana kufuru dah inasikitisha!ulikuja mtupu na itaondoka mtupu,mali zako,pesa zako,magari yako,majumba yako na anasa nyingenezo zote za dunia utaziacha!Hapo wajanja watakuja wachukue hilo hummer ye ataishia hukohuko udongoni!shaa
Huyu Tajiri kaamuwa kumuhonga rushwa ya Gari Malaika wa Adhabu wa Makaburini ili asipate adhabu ya kaburini NAPITAKazi kweli kweli!!!!
Kwa sir god hakuna rushwa kila mtu atapewa haki yake anayostahiki!Ameamuwa kutoa naye Rushwa ya Gari ili asipate kuadhibiwa gorgeousmimi
Huyu Tajiri kaamuwa kumuhonga rushwa ya Gari Malaika wa Adhabu wa Makaburini ili asipate adhabu ya kaburini NAPITA
Kwahiyo mtu akizikwa kwenye mkeka na kaniki ndio hafuati masharti ya mganga/
Hata wewe waweza kusema uzikwe na high-heels zako uzipendazo, au taiti yako kipenzi unayopendelea kuivaa mara kwa mara.... ahaahahaa..natania tu.
marehem anaonekana alikua zaidi ya escrow
Vp mkuu bado hujahama bongo?Me nilidhani ni bilionea AnnaTibaijuka amekufa kwa mshtuko!!