Bilionea azikwa na hammer lake kaburini

Bilionea azikwa na hammer lake kaburini

watafukua tu wajanja... hata waweke cement iliyotengenezwa mars,
watu na imani zao za ovyo, mtu akifa wekeni awe mbolea energy irudi udongoni, mengine yote ubabaishaji tu

Kaburi lake watalijengea strong room na safe lake ndani kwajili ya kuepuka wachimbaji wadogo wadogo wasije fanya yao asubuhi na mapeema.
 
Anasafiri nalo kwenda Jehanamu,
Watu watageuza mgodi wa dhahabu hilo kaburi maana lazima atakuwa amezikwa na vito kibao vya dhahabu na madini mengine
 

Attachments

  • duu.jpg
    duu.jpg
    46.9 KB · Views: 493
Hahaha hata ukazikwa na ndege.. Kuoza kupo palepale na hukumu ipo palepale

ahaaaa..... lakini anaozea kwenye Hammer la maana lenye furu kipupwe, misosi mboga saba(msosi wa drafti).
 
Tena inawezekana hata mafuta wamejaza Full-tank kabla ya kumzika nallo...Hizi ni mbwembwe na selfishness ilizopitiliza!!
 
Back
Top Bottom