Hiyo ni movie. nimeiona
Ataenea kweli ? nadhani baadhi ya viungo vyake vinaweza tokelezea kwa nje , kwani Noah haitomtosha kabisa.
Bora mkuu......waswahili wanasema heri nusu shari kuliko shari kamili...........Kwahiyo ni bora aende nalo mazima? ili wengine wasije pitiwa bila hatia pindi watapojidai kulitumia.
litakuwa la kichawi acha tu azikwe nalo masharti ya mganga
Waongo hao ndugu wanakuja lifukua, watu wakiondoka unafikiri watafuata upuzi wa marehemu wanajua hasikii, haoni na wala harudi, ngojeeni mtaliona barabarani.
kwa kigezo kipi ?