Bilionea azikwa na hammer lake kaburini

Bilionea azikwa na hammer lake kaburini

Anasafiri nalo kwenda Jehanamu,
Watu watageuza mgodi wa dhahabu hilo kaburi maana lazima atakuwa amezikwa na vito kibao vya dhahabu na madini mengine

kweli kabisa .
 
Me nilidhani ni bilionea AnnaTibaijuka amekufa kwa mshtuko!!

Menzio nilisahau kwamba Bongo imezalishwa orodha mpya ya mabilionea bwerere. Hata kina Mengi na Bakhresa hawaoni ndani
 
Kunasababu gani ya maana ya kumzika mtu kwenye gari? Je hana ndugu au watoto au jamii yenye kuhitaji mchango wake? Maana hiyo hammer ingesaidia walio hai.

kwahiyo wewe katika michango yote ya maana uliyoina ni hilo gari tu, je umeangalia ukwasi alio wapelekea watoto wake na mjane ?
Tizama hapa kujikumbusha huyu mdeni wake alivyo enda kukabidhi sehemu ndogo ya deni lake kwa marehemu enzi za uhai wake baada ya kupata ule mgao wake wa ESCROW.
 
kwahiyo wewe katika michango yote ya maana uliyoina ni hilo gari tu, je umeangalia ukwasi alio wapelekea watoto wake na mjane ?
Tizama hapa kujikumbusha huyu mdeni wake alivyo enda kukabidhi sehemu ndogo ya deni lake kwa marehemu enzi za uhai wake baada ya kupata ule mgao wake wa ESCROW.

Haya bhana.
 
Hilo kaburi halimalizi wiki, walinzi wajiandae kufukiwa kwenye hilo hilo shimo.
 
Angezikwa na mkewe basi au ndo alipenda gari zaidi ya mkewe....
 
Hilo kaburi halimalizi wiki, walinzi wajiandae kufukiwa kwenye hilo hilo shimo.

Nani awafukie ....? hiyo ndio hela inazungumza , na sio nyie kumiliki ukumbi wa disco bubu, lodge mbuzi, duka la simu za mchina, etc...hela ina wenyewe bana.
 
Hilo kaburi walilinde sana

Walllah hili kaburi lingekuwa tanzania ningekuwa wa kwanza kwenda kufukua chezea atakuwa kazikwa na escrow sema hawakutaka kusema kuogopa majambazi.
 
sisi wenye bajaj sijui tutakaaje wakati wa kuzikwa if nime wish ivo
 
Kaburi lake watalijengea strong room na safe lake ndani kwajili ya kuepuka wachimbaji wadogo wadogo wasije fanya yao asubuhi na mapeema.

Umeona sasa walivo wajinga!! haha hapo ni muda wanapoteza kufikiria yote hayo, bado wanatumia pesa.. hata ka zipo nyingi ila all that is unnecessary sababu haitosaidia chochote kile, jamaa hatorudi, na mwili wake utaoza tu...
Hawa ndo wale wakipigika miaka ya mbele huko wanakuja kufukua wenyewe wanatoa gari ili waliuze wapate hela ya kula...
 
Kuna vituko vya ajabu sana hapa ulimwenguni
 
Hahaaaa
 

Attachments

  • 1417533240215.jpg
    1417533240215.jpg
    37.4 KB · Views: 244
Mbona hilo kaburi fupi kwa hiyo hammer ? au ni ufichaji wa gari ?
 
Ni kuigiza wazee sio real.....😱😱😱😱😛
 
Back
Top Bottom