Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,918
- 38,244
Sasa siku ya kufufuka milango ya Hammer itafunguliwaje ndani ya udongo iliaweze kutoka.
Usihofu kama udongo utatolewa bado Hammer itafunguliwa Manual
Sasa siku ya kufufuka milango ya Hammer itafunguliwaje ndani ya udongo iliaweze kutoka.
Ama kweli Duniani kuna mambo, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni, Huko nchini Nigeria Tajiri mmoja maarufu amezikwa akiwa ndani ya gari lake la kifahari aina ya Hummer, kama inavyoonekana pichani gari hilo likishuhswa kaburini kama inavyokuwa kawaida kushusha Jeneza kaburini muda unapowadia.
Sidhani, billionea hawezi kuzikwa na watoto wamezunguka kaburi. nadhani hii picha ni ya kughushi
Amazikwa na hilo Hummer lake, so what?!Ama kweli Duniani kuna mambo, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni, Huko nchini Nigeria Tajiri mmoja maarufu amezikwa akiwa ndani ya gari lake la kifahari aina ya Hummer, kama inavyoonekana pichani gari hilo likishuhswa kaburini kama inavyokuwa kawaida kushusha Jeneza kaburini muda unapowadia.
hahahahahaaaaaaaAlipiga
Zescrow mkuu huyunoma
View attachment 351001 View attachment 351002 View attachment 351003
HII NI KUFURU SANA HUYU MAREHEMU ALIVYOFANYA.
Me nilidhani ni bilionea AnnaTibaijuka amekufa kwa mshtuko!!
kufukua gari haitawezekana,utaliendeshea wapi?tofauti na cheni ambayo mtu anaweza kuivaa bila kugundulika.ngoja watoto wa mbw... wataenda kulifukua hilo kaburi..wachukue hammer hiyo
ktk miaka ya 90 huko mwananyamala jamaa walimzika baharia na macheni ya dhahabu na suti ahh uusiku masela walimfukuaaa wakalaaamba kila kitu.....usicheze na watu