Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 9,221
- 16,195
Omba kuelimishwa. Kutukana na kejeli hazikusaidii zaidi ya hapoTumia akili neno sheria siyo neno haki ...kama sheria zinashindwa kufanya kazi dhidi ya vitendo vya kihalifu basi hizo sheria zinageuka upumbavu ...na ndiyo maana kuna maneno (sheria mbovu) pia unaposema neno fisadi alipo kisheria je neno fisadi lipo kwenye kiswahili ...kwa kifupi ufisadi tunao uzungumzia hapa ni kuhusu hujuma dhidi ya mali za serikali na vitendo vyote vya hujuma vinavyo fanyika serikalini kwa lengo la watu fulani kufisidi pesa na mali za uma