Bila Mercy, huenda tusingekuwa na bilionea Mengi

Bila Mercy, huenda tusingekuwa na bilionea Mengi

Ukioa Moshi umeoa maendeleo!. Nimeoa uchagani binti wa tajiri wa Sanya Juu. Nimemuoa sweetheart wangu wa chuo, darasa moja, sitting next to each other.

Kilichomfanya binti wa Tajiri wa Kichagga kumpenda mtoto wa masikini wa Kisukuma chapa ngombe ni kuwa sisi Wasukuma huwa haturembi, ni kazi kazi!, ikatokea bahati kichwani niko ok, nina uwezo wa kupiga papers mbili at each exam, hivyo binti tajiri hana kazi ya kuumiza kichwa!, nilifanya kila kitu, and in return binti aligharimia kila kitu, including footing every bills. Siku ya harusi, baba mkwe alitupa kiwanja nyumba na benz!, honeymoon London!.

P
Mabroo tushaurini na sisi vijana tusitafute mabinti makapuku basi. Mnatuficha ficha sana
 
Sisi watu wa media ndio tunaujua udhaifu wa Wazee wetu kwa spring chicken kama yule!. Hata naniliu naye alikuwa dhaifu hakuna mfano!, tuwaache Wazee wetu wapumzike, tena dini fulani unaambiwa huko peponi walipo saa hizi, kila mmoja amekabidhiwa wanawali 7!. Ila pia tusiwaseme watu as if ni sisi ni malaika, hata ningekuwa mimi nina pesa ndefu kivile, lazima nile vitu vizuri laini laini kama vile!.
P
Sisi watu wa media ndio tunaujua udhaifu wa Wazee wetu kwa spring chicken kama yule!. Hata naniliunaye alikuwa dhaifu hakuna mfano!, tuwaache Wazee wetu wapumzike, tena dini fulani unaambiwa huko peponi walipo saa hizi, kila mmoja amekabidhiwa wanawali 7!. Ila pia tusiwaseme watu as if ni sisi ni malaika, hata ningekuwa mimi nina pesa ndefu kivile, lazima nile vitu vizuri laini laini kama vile!.
PSisi watu wa media ndio tunaujua udhaifu wa Wazee wetu kwa spring chicken kama yule!. Hata naniliu naye alikuwa dhaifu hakuna mfano!, tuwaache Wazee wetu wapumzike, tena dini fulani unaambiwa huko peponi walipo saa hizi, kila mmoja amekabidhiwa wanawali 7!. Ila pia tusiwaseme watu as if ni sisi ni malaika, hata ningekuwa mimi nina pesa ndefu kivile, lazima nile vitu vizuri laini laini kama vile!.
P

Bro Pascal huyo naniliu bila shaka ni jiwe!(rip)
 
Mbona Kuna tetesi kuwa alipiga hela nbc ilipobinafsishwaga mkuu. Sema Nini dark side huwezi Iona labda waakaribu yake mno.

Pia Jack ma anashauri we shouldn't learn from success stories Mana huwa Ni just ice Berg Illusion Ila ndani ama chini yake huwa hakionekani.

Sina Nia ya kuwa attack beliefs zenu sema nimeamua nisiwe objective Bali niwe subjective. Ama nisiwe biased yaani napenda mind yangu iwe free ku think na kuwa flexible na sio kuwa rigid.


Najua mkitofatiana na mtu beliefs huwa Kuna ugomvi fulani Mana Ni sawa mtu Ana attack your identity.
Katika mgogoro wa wahindi na Mengi,Rostam alimuita Mzee Machache fisadi Nyangumi.Alitaja scandle zake za kuanziaha makampuni na kuchukua pesa serikalini na Kisha kuyaua kwamba yamefilisika.Moja ya makampuni ilikuwa Uche Mwendu.Katika graduation shuleni Kwetu huko Mwanza,Mzee Machache alikuwa mgeni rasmi,alitwambia yeye na mkewe walianza na biashara ya kuuza Karanga.
 
Hii Ni kuzugia na kutafuta public respect kuwa na wao Ni wapiganaji.

Mzee alitumia fursa vizuri akajichukulia hela zake kiulaini Mana walikuwa wasomi wa kwanza kwanza kwa fani yake iyo. Wanadai Ni first certified public accountant.
Kweli matajiri wengi siku hizi ni haramu! Hivi hakuna matajiri halali kweli?
 
Kweli matajiri wengi siku hizi ni haramu! Hivi hakuna matajiri halali kweli?
Lazima upige magendo ukwepe Kodi la sivyo utaliwa ama utawatumikia wanasiasa ukilipa Kodi ilivyo stahiki mkuu. Matajiri mpaka USA Wana watalaamu wa kuwafundisha mbinu ya kukwepa tax like kulipwa salary in terms of their company share instead of cash.

Uwe halali vipi na huku biashara kwanza ni wizi wa makubaliano.


Mana bidhaa ama huduma ya laki naweza nikakupatia wewe kwa milioni Mana Ni makubaliano.
Ndio Mana hakuna Bei specific za services or goods fulani
 
Halafu watu wanakwambia mengi alianza na biashara ya kuuza viazi
 
Hongera mama, RIP Mercy. Ila najiuliza ilikuwaje Mzee akaoa tena wakati mkeo bado akiwa hai? Ukristu inaruhusu?
 
Lazima upige magendo ukwepe Kodi la sivyo utaliwa ama utawatumikia wanasiasa ukilipa Kodi ilivyo stahiki mkuu. Matajiri mpaka USA Wana watalaamu wa kuwafundisha mbinu ya kukwepa tax like kulipwa salary in terms of their company share instead of cash.

Uwe halali vipi na huku biashara kwanza ni wizi wa makubaliano.


Mana bidhaa ama huduma ya laki naweza nikakupatia wewe kwa milioni Mana Ni makubaliano.
Ndio Mana hakuna Bei specific za services or goods fulani
Ila akina Ibrahim na Yakobo mbona walikuwa na utajiri halali tu?
 
Hakuchemka. Hayo ndiyo matumizi ya fedha alizohangaija kwa miaka mingi kuzitafuta.

Na siyo kweli kwamba K-Lyne hakutoa jasho. K-Lyne anevuja jasho Sana kumlea mzee Mengi. Msichana mdogo Kama K-Lyne kumpakat mzee kana Mengi siyo Jambo dogo.

Na mwisho,. Mali ni za Mengi na Mengi ndiye aliyeamua ampe K-Lyne Mali zote. Wewe nani upinge??
Wewe kwa akili yako unaweza kukabidhi mali ya mabilioni kwa mwanamke uliye Kutana nae uzeeni, ukaacha watoto wako wa kuzaa na wakubwa??
Huyo mke ukiondoka mali hizo ni zake na ndugu zake alikozaliwa na Bwana ake mpya
 
Weka na historia ya Klyn au Jack Ntiyabaliwe alivyosababisha anguko la Mengi ili wanaume tujifunze

Kwa upande wangu Mengi alichemsha kuoa mtoto wa mjini, nina imani nakanisani na kwenye maofisi ya IPP kuna wajane watu wazima wengi tu between 40-50 angechukua humo

Klyn bila viagra kwa mzee huwezi kumtimiza haja zake
Hata Viagra kwa Jacqueline lazima idunde.
 
Back
Top Bottom