Haujui story yao , Kyln alimuwinda Mengi usiku na Mchana kwa kifupi alipambania kulazimisha ukaribu na kutongozwa ikafika wakati alionga wafanyakazi wa mashirika ya Ndege , wamtajie mzee anasafiri lini na wapi na yeye anaungaYaani ndiyo hapo nawashangaa watu, hivi yule mdada alijipeleka kwa yule babu? Mbona naye alikuwa na kazi yake ya muziki, lakini sioni watu wakilisema hilo, sasa sijui ni wivu tuu!
Kazi yake ya muziki???[emoji23][emoji23] we zuzu kweli, hebu fatilia vizuri maisha ya Jacky utagundua alikua muuzaji tu kama wauzaji wengine.Yaani ndiyo hapo nawashangaa watu, hivi yule mdada alijipeleka kwa yule babu? Mbona naye alikuwa na kazi yake ya muziki, lakini sioni watu wakilisema hilo, sasa sijui ni wivu tuu!
Mkuu Lusungo, talk only the bright side of the dead!, when one dies, he/she is buried with their dark side.Nilisali na kufahamiana na huyu mama pale Azania front... ni kweli kwa baadhi ya mambo hasa kutopenda publicity lakini upande wa pili wa huyu mama ulitisha!
Mungu amrehemu.
Please!, No!. Huyu dada ni jirani yangu, hajawahi kudanga!, kwa vile she is a very striking beautiful queen, mijibaba yenye fedha zao na uchu wa kutafuna vitu laini laini, ilikuwa inashindana dau!, kuna kijana mmoja tajiri tuu na mtoto wa mujini tena mwenye jina kubwa tuu, alimuhangaikia huyu binti hadi alilia machozi!, akashindwa!Haujui story yao , Kyln alimuwinda Mengi usiku na Mchana kwa kifupi alipambania kulazimisha ukaribu na kutongozwa ikafika wakati alionga wafanyakazi wa mashirika ya Ndege , wamtajie mzee anasafiri lini na wapi na yeye anaunga
Mtaji wa kupanda Ndege aliupata kwa wazungu JMall Casino alipokua akifanya Kazi na kudanga
Naomba nisijisifu kuwa na akili, wakati nasoma nilipania sana kuwa lawyer, hivyo nikiwa form III Tambaza nilichagua arts, home waligomea, hivyo nikasoma science na kusoma arts as an option, jamaa wanaopuliza ile 'kitu' wote walitoka na DIV 1 kali za pts 7, Mimi nilapatan I ya pts 17!. Hivyo nilipoenda Ilboru na mimi nikaamua kuanza kupuliza ili nitoke na pts 3!. Very unfortunately mimi ikanituma vibaya!. Ile baridi ya Ilboru, vile vibinti vyeupe vya Kiarusha ambavyo havijui kusema hapana, nikajikuta nimechanganyikiwa kwa mengine na sio masomo, matokeo ya form 6, nikakosa I and forget kuhusu sheria!. Amini usiamini nili opt kusoma Journalism by choice. Baada ya kuhudumu media for 10 years, nilitinga UDSM kufanya LL.B, nika graduate with honors, hivyo hiyo ni proof kichwani niko vizuri ila tuu ni dhaifu kwa yale mambo yetu yale!.Hahahaaa
Paskali bana una mbwembwe sana
Ungekua na akili to begin with usingekua TSJ,ungekua aidha abroad au UDSM,hilo la akili tuweke pembeni...
Kwanza ni kweli mwanzo wa uhusiano ni academic related ya kijakazi kumsaidia academically. Ka binti kalisoma girls school only hivyo kamakuja chuo kakiwa bado!. Hivyo mimi kwake ndio nilikuwa kila kitu!. Kalipenda kakafa kakaoza, na ndio maana kalifanya kila kitu hadi kugharimia harusi ya kifahari, honeymoon London etc, it was true love!.Aligharamia kila kitu sababu wewe ulikua kijakazi wake wa kumfanyia homeworks na paper,hakukupenda kwa mapenzi mzee baba,wanawake hawapendi downwards wanapenda upwards!
Kwanza nikurekebishe, hakuniacha!, baada ya London, familia yake ikamlipia shule 4 years in US, hivyo mimi kutakiwa kuwa babysitter na house husband, wife ndio bread winner. Kuna makabila wanaweza hiyo hali, sisi Wasukuma, kiukweli hatuwezi, hivyo ni mimi ndio niliamua kuondoka kurudi bongo!. Na kufika huku, mimi bado kijana, damu inachemka, ni Mtangazaji maarufu wa kipindi Kiti Moto, pesa ipo, usafiri upo, nyumba ipo, mke yuko masomoni kwa miaka 4!, hata ungekuwa wewe!. Tatizo jingine baya sana kwa Wasukuma ni hatuna siri na hatufanyi mambo yetu kwa siri!.Huyo mtoto wa "tajiri" sasa hivi nasikia kakuacha,how do you explain that?
No sio Mengi alibahatika bali Wachagga ni wake wema.Mengi alibahatika kupata mke mwema
Kipanga na TSJ kwa kweli hapana,labda kwakuwa udsm haikuwa na kozi za mambo ya habari.Lakini mbona ndoto ya Pasco ni kuwa kama adv.Lakha? Udsm ilifundisha LAW,kwa nini TSJ? Kuhusu mtoto wa tajiri wa Machame Pasco alishasema ,safari iliishia njiani ndoa ikafa kifo cha Mende mlalo wa chali akamuoa mtu aliyemsaidia baada ya kupata ajali.Hahahaaa
Paskali bana una mbwembwe sana
Ungekua na akili to begin with usingekua TSJ,ungekua aidha abroad au UDSM,hilo la akili tuweke pembeni...
Aligharamia kila kitu sababu wewe ulikua kijakazi wake wa kumfanyia homeworks na paper,hakukupenda kwa mapenzi mzee baba,wanawake hawapendi downwards wanapenda upwards!
Huyo mtoto wa "tajiri" sasa hivi nasikia kakuacha,how do you explain that?
Kwani Kinje alikuwa hampi Hela?Haujui story yao , Kyln alimuwinda Mengi usiku na Mchana kwa kifupi alipambania kulazimisha ukaribu na kutongozwa ikafika wakati alionga wafanyakazi wa mashirika ya Ndege , wamtajie mzee anasafiri lini na wapi na yeye anaunga
Mtaji wa kupanda Ndege aliupata kwa wazungu JMall Casino alipokua akifanya Kazi na kudanga
Kuna mwenye kujua sababu ya Mercy kuachana na Mengi?! Shusheni hapa! msimlaumu mzee wa watu au msichana Jack BureHalafu anaibuka mwanamke uzeeni na kudai mali yote kuwa aneachiwa yeye yaani hata watoto wa marehemu mama wasipate chochote.
Sheria zetu za ndoa na mirathi inabidi ziangaliwe upya, haiwezekani hawara wa uzeeni awe na haki na,mali za marehemu zilizochumwa tangu ujanani na wawili kisa tu naye anefunga ndoa na mwanaume huyo.
Walau sheria ingetamka nusu ya mali tu ndiyo zingeweza kuchukuliwa kuwa ni za mume ili kama urithi basi wanaomhusu wote wagawane hiyo nusu na nusu nyingine igawanywe kwa wanaomhusu mke wa ujanani.
Mbona Kama unataka kusemaje ngosha. So tusioe dada zetu wa kisukuma sio maendeleo ama Ni loss?Ukioa Moshi umeoa maendeleo!. Nimeoa uchagani binti wa tajiri wa Sanya Juu. Nimemuoa sweetheart wangu wa chuo, darasa moja, sitting next to each other. Kilichomfanya binti wa Tajiri wa Kichagga kumpenda mtoto wa masikini wa Kisukuma chapa ngombe ni kuwa sisi Wasukuma huwa haturembi, ni kazi kazi!, ikatokea bahati kichwani niko ok, nina uwezo wa kupiga papers mbili at each exam, hivyo binti tajiri hana kazi ya kuumiza kichwa!, nilifanya kila kitu, and in return binti aligharimia kila kitu, including footing every bills. Siku ya harusi, baba mkwe alitupa kiwanja nyumba na benz!, honeymoon London!.
P
Mwambie Mana anajisifia kuwa alikuwa anapiga two exam papers akapendwa so la sivyo Hana chake.kumfanyia homeworks na paper,hakukupenda kwa mapenzi mzee baba,wanawake hawapendi downwards wanapenda upwards!
Sheria iseme kwamba mali zilichumwa kuanzi pale mlipokua pamoja ndo zigawanyweHalafu anaibuka mwanamke uzeeni na kudai mali yote kuwa aneachiwa yeye yaani hata watoto wa marehemu mama wasipate chochote.
Sheria zetu za ndoa na mirathi inabidi ziangaliwe upya, haiwezekani hawara wa uzeeni awe na haki na,mali za marehemu zilizochumwa tangu ujanani na wawili kisa tu naye anefunga ndoa na mwanaume huyo.
Walau sheria ingetamka nusu ya mali tu ndiyo zingeweza kuchukuliwa kuwa ni za mume ili kama urithi basi wanaomhusu wote wagawane hiyo nusu na nusu nyingine igawanywe kwa wanaomhusu mke wa ujanani.
Tujuze ukweli ni upi mkuuHakuna ukweli wowote, yote hii ni kutaka Jacky aonekane m'baya tu.
Kwanini iwe mafanikio yalikua makubwa baada ya mengi kuacha kazi na sio kabla hajaacha kazi?
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Uko sahihi makabila almost yote Tanzania Mwanamke akifiwa na mume mali ambazo hutaka zigawiwe kati ya.mke na mume ni zile tu walizochuma na marehemu baada ya kumuoa tu sio vinginevyo.K Lyn amekuja kutafuta vitu vilivyotafutwa na mwanamke mwenzie , Parasite au kupe