Bila Mercy, huenda tusingekuwa na bilionea Mengi

Bila Mercy, huenda tusingekuwa na bilionea Mengi

Hakajadai bali Mzee aliandika mwenyewe will akiwa mzima na akili zake timamu!.
Kwenye ile will, Kabinti hakajaachiwa kitu!.
Hali iko hivi
  1. Mali zote za IPP zinamilikiwa kwa ubia wa 50/50 kati ya Regi na Mese.
  2. Wakavunja ndoa na kugawana 50/50 ila ziko chini ya trusteeships zinaendelea ku operation as usual.
  3. Mese akafariki, kwenye will ya Mese, imeelekeza ile 50% yake igawanywe ikawanywe 50/50 kwa watoto wake wawili, Regina na Abudel, hivyo baada ya kifo cha mama yao, ila kampuni ya IPP inamilikiwa na watu watatu, Baba ana 50% na watoto wake wawili wana ?@ 25% .
  4. Baba akaandika will kuwa ikitokea akaitwa, ile 50% yake igawanywe kwa watoto wake wawili hao wadogo 50/50 Hivyo sasa kampuni ya IPP itakuwa inamilikiwa na watu 4, wote ni watoto wa Mzee Mengi, kila mtoto ana 25%, wale wakubwa wao watashika ile 50% ya mama yao, na hawa wadogo, kwa vile hawajatimiza the age the majority, 50% shares zao zitasimamiwa na mama yao hadi wafike umri wa miaka 18, ndipo wakabidhiwe
  5. Hapo ndipo ukaibuka mgogoro kwa watoto wakubwa kujihesabu ile 50% ya mama yao kwasababu iliisha gawanywa kwao, sasa ni mali yao, na kutaka ile 50% ya baba yao igawanywe kwa watoto 4, kila mmoja apewe 25%.
  6. Hivyo umiliki wa IPP ungekuwa 37.5% kwa wale watoto wakubwa wawili na 12.5% kwa wale wadogo wawili.
  7. Watoto wakubwa wakajenga hoja eti baba yao hakuwa timamu wakati anaandika will na mahakama ikawakubalia kiboya kweli kweli na kuitengua will ya Mzee.
  8. Mtu wa kwanza aliyepaswa kuulizwa utimamu Mzee wakati akiandika will ni wakili aliye draft ile will, kisha ndio wapate opinion ya daktari athibitishe kuwa Mzee hakuwa timamu. Wakili hakuitwa akaitwa daktari wa mchongo na kuthitisha kimchongo kuwa Mzee hakuwa timamu!.
  9. Kiukweli kabisa Mzee alikuwa timamu kabisa akawa treat watoto wake wote as 4 equal entities with equal shares of 25% each!.
  10. Thanks God Mahakama ya Rufani imetengua ule uamuzi wa kiboya wa mahakama kuu!.
Hivyo hakuna popote Binti anapigania mali, binti anapigania haki za watoto wake according to the wishes za baba yao ameacha watoto 4, kila mmoja apate sawa kwa sawa!.
P
Unaona ni sawa hawa wakubwa wasirithi kitu toka kwa mzee wao?mi nadhani watoto wakubwa wana hoja ya msingi maana wao binafsi wanamchango wao IPP sasa iweje wagawane share sawa na hawa wadogo
 
Mkuu Ezekiel Kamwaga , asante sana kwa bandiko hili, huku ni kumtendea haki marehemu.

Mimi japo ni msoma vitabu mzuri, na kitabu cha I Can, I Must, I Will, kipo kwenye my home library, ila naomba kukiri sijakisoma, ila hadithi ya mchango wa Mercy kwenye utajiri wa Bilioneo Mengi, unasemwa tuu kwenye viunga vya Machame, kuna vitu vingine sisi wanaume tunasaidiwa na wake zetu enzi za mapenzi kabla ya kuona, havisemwi au vikijulikana ni aibu kwetu wanaume!.

Mtoto wa masikini unapopendwa na binti wa tajiri, binti wa Kichagga akipenda ni amependa!, binti ukiisha wathibitishia wazazi wake kuwa moyo wake umelalia pale hivyo uko tayari kuolewa na mtoto wa masikini, wazazi wa binti watahakikisha wanamuwezesha binti akusaidie ili usimame na kuweza kumtunza binti yao kwenye ndoa yenu!.

Huko moshi kuna story ya mtoto tajiri, baba yake alikuwa Chief, akampenda mtoto wa masikini tangu shule!, from then mtoto wa masikini huyo aliishia la 7, ila tajiri huyu alumlipia ada ya sekondari ya kulipia, akawezeshwa hadi kwenda nje ya nchi, si wengi wanaojua kuwa zile scholarship za watoto wa machifu kwenda kusoma UK, ziliendelea hata baada ya Uhuru!. Hivyo chief aka-facilitate mtoto wa masikini apate, akapata akaenda UK, aliporejea ndipo akapewa binti tajiri, tena sijui kama mahari alilipa au alilipiwa!, la sherehe ya harusi ilibebwa na Chifu!.

Mimi pia kwenye maisha yangu nilipitia mumo humu, ile TSJ yule binti ni mtoto wa Tajiri wa Sanya Juu!, zile ponda raha zote za TSJ ni mfuko wa binti!. Ile harusi ya kifahari, honeymoon London, kuhamia US, yote ni familia ya binti!. Tofauti yangu na Mengi, yeye alikuwa Mchagga pesa ndio kila kitu, lakini mimi Msukuma, kuponda raha ndio ilikuwa kila kitu!.

Bandiko hili ndio limenifungua macho kumbe the gap between the demise of husband and wife ni 6 months only!. Then hoja za bandiko hili Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata! could be true!.
P
Aisee Pasko Ahsante sana kwa
 
Hakuchemka. Hayo ndiyo matumizi ya fedha alizohangaija kwa miaka mingi kuzitafuta.

Na siyo kweli kwamba K-Lyne hakutoa jasho. K-Lyne anevuja jasho Sana kumlea mzee Mengi. Msichana mdogo Kama K-Lyne kumpakat mzee kana Mengi siyo Jambo dogo.

Na mwisho,. Mali ni za Mengi na Mengi ndiye aliyeamua ampe K-Lyne Mali zote. Wewe nani upinge??
Uko sahihi kabisa, pia wajue watoto wa Mengi Regina na Abdiel hawataki kuoa na kuolewa hawana watoto, hii ilimfrasted Mzee wao maana kizazi cha Mzee Mengi kilikuwa kinakufia hapo. K-lin kampa Babu heshima kubwa kumzalia watoto wawili, Babu furaha yake ikaonekana upya mbele ya uso wa dunia. Kilichomuua Babu ni mvutano wa kifamila upande wa bi mkubwa na k-lin.
 
Wabongo Noma , huyo mzee husikute Umemjua na kumuona kwenye Magazeti na TV Leo hii unajua kilichomuua Kua ni mvutano , Abdiel hataki kuoa nani amekuongopea , He didn’t want the history to be repeated same as his Mother and Father na slay queens . Unadhani kuoa ni sawa na kuchukua house girl uweke Ndani ? Kwa Maisha waliyopitia nakuona mitifuano ya wazazi hile Familia ilikua ni lazima kutuliza akili kwanza hili apate mke Mke na sio Mdangaji .

Kyln achukue anachostaili na wakubwa wachukue stahiki zao hasitake mashindano na waliotafuta Mali au kuwa sawa nao hiyo haipo anatakiwa achukue mgao wa watoto wake kama ni 15% ya baba Yao ndio Haki Yao akitaka watoto wake wapate zaidi na yeye si ni mama awarithishe vya kwake kama wakubwa walivyopata urithi wa Mama Yao
 
Wabongo Noma , huyo mzee husikute Umemjua na kumuona kwenye Magazeti na TV Leo hii unajua kilichomuua Kua ni mvutano , Abdiel hataki kuoa nani amekuongopea , He didn’t want the history to be repeated same as his Mother and Father na slay queens . Unadhani kuoa ni sawa na kuchukua house girl uweke Ndani ? Kwa Maisha waliyopitia nakuona mitifuano ya wazazi hile Familia ilikua ni lazima kutuliza akili kwanza hili apate mke Mke na sio Mdangaji . Yule Binti anaenda kuolewa hivi karibuni ajiandae kuchungwa sana, na kufatiliwa japokua ni lowkey , Hapendi umaarufu na ametulia🫣🫣🫣🫣🫣🫣

Kyln achukue anachostaili na wakubwa wachukue stahiki zao hasitake mashindano na waliotafuta Mali au kuwa sawa nao hiyo haipo anatakiwa achukue mgao wa watoto wake kama ni 15% ya baba Yao ndio Haki Yao akitaka watoto wake wapate zaidi na yeye si ni mama awarithishe vya kwake kama wakubwa walivyopata urithi wa Mama Yao
Anaolewa Regina at the age of 50 +, ili afanye nini? At leastabdiel is a man of 45 + can do something
 
Same as international before haujaomba Viza lazima uambatanishe na Flight Viza Itinerary inayoonesha mwanzo wa Safari yako na mwisho wa Safari yako kutoka airline yenye tarehe za Safari yako husitake kujifanya unajua kila kitu

Ndugu Haujui kitu kaa kimya nani kakwambia Safari lazima iwe international Local trip siwezi kupewa Ratiba zako

Anaolewa Regina at the age of 50 +, ili afanye nini? At abdiel is a man of 45 + can do something

Wote wapo over 50.
 
Weeeeee hacha uwongo Basi , 50 unampa Abdiel umemzaa 🥹🥹🥹🥹🥹

Sema wewe wana miaka mingapi?

Maana kina Mo dewji kabla hawajafika 45 watoto wao tayari wana zaidi ya miaka 20 na wameanza funzwa biashara.. succession plan unaiona kabisa wa kumpokea Mo ni kina nani

Ukitokea ukoo tajiri unapaswa kufata 20 - 20 formula..

Yaani mwanao wa kwanza upishane nae miaka 20.

Na yeye akifika 20 anapaswa apate first born..

Hapo malii mtailinda generations hata 100 mbele
 
Fatilia Regina kamaliza weruweru Sasa ana 55+ na wamezaliwa watatu huyo last born ana mingapi? Usibishe

ukisoma wetu weru ni lazima uwe na 55 by now ? 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ Regina ni first born hajafika 55 . Mutie ni 2nd born amefariki 2005 akiwa ni his late 20s ,Abdiel ni last born
 
Sema wewe wana miaka mingapi?

Maana kina Mo dewji kabla hawajafika 45 watoto wao tayari wana zaidi ya miaka 20 na wameanza funzwa biashara.. succession plan unaiona kabisa wa kumpokea Mo ni kina nani

Ukitokea ukoo tajiri unapaswa kufata 20 - 20 formula..

Yaani mwanao wa kwanza upishane nae miaka 20.

Na yeye akifika 20 anapaswa apate first born..

Hapo malii mtailinda generations hata 100 mbele

Waarab mtoto wa kike akifikisha 14 anaozeshwa Mkuu sasa wewe unataka kupangia watu life style za kiarab na wao ni wachaga

Subili Binti yako afike miaka 14 ufate Mila za Dewji umuozeshe
 
Waarab mtoto wa kike akifikisha 14 anaozeshwa Mkuu sasa wewe unataka kupangia watu life style za kiarab na wao ni wachaga

Subili Binti yako afike miaka 14 ufate Mila za Dewji umuozeshe

Binti harithi mali za waafrica wala hao waarabu maana anaweza kuhamisha mali kwenda ukoo wa mume wake

Mtu mzima anafikaje miaka 50 hajaolewa ama hajaoa.. huku anajua ana majukumu ya kuendeleza mali.

Yeye akifa mali ataendeleza nani?

Je Mo dewji ameoa akiwa na miaka 14?
 
Back
Top Bottom