Bila Mercy, huenda tusingekuwa na bilionea Mengi

Wabongo tuna tatizo la kunyanyapaa baadhi ya kazi, mtu kufanya kazi casino wanamuona danga!, hata wahudumu wa bar, bar maids wanawaona kama malay.!.
Sio kila anayefanya kazi casino ni danga, sio kila anyefanya kazi bar ni malay.!. Wako wadada ma beauty queens wanafanya kazi casino as a decent jobs na hawadangi, na wapo madada wenye heshima zao na wanafanya kazi bar na wameolewa wana waume zao na familia zao na sio malay.!
P
Je, wewe unaweza kuruhusu mkeo awe bar maid ili kupinga huo unyanyapaa kwa vitendo?
 
Hakuchemka. Hayo ndiyo matumizi ya fedha alizohangaija kwa miaka mingi kuzitafuta.

Na siyo kweli kwamba K-Lyne hakutoa jasho. K-Lyne anevuja jasho Sana kumlea mzee Mengi. Msichana mdogo Kama K-Lyne kumpakat mzee kana Mengi siyo Jambo dogo.

Na mwisho,. Mali ni za Mengi na Mengi ndiye aliyeamua ampe K-Lyne Mali zote. Wewe nani upinge??
Watu wasichokijua Bw Mengi alivoachana na Bi Mercy waligawana kila kitu kwa haki hadi watoto, Regina na kaka yake walipewa vyao, Bw Mengi mali zake ndio akaamua kuzitumia na k lynn
 
Kweli linafundisha. Sasa haka kabinti kalikoolewa juzi kanadai kameachiwa mali zote na baba wa watoto wake Mengi!!
Hakajadai bali Mzee aliandika mwenyewe will akiwa mzima na akili zake timamu!.
Kwenye ile will, Kabinti hakajaachiwa kitu!.
Hali iko hivi
  1. Mali zote za IPP zinamilikiwa kwa ubia wa 50/50 kati ya Regi na Mese.
  2. Wakavunja ndoa na kugawana 50/50 ila ziko chini ya trusteeships zinaendelea ku operation as usual.
  3. Mese akafariki, kwenye will ya Mese, imeelekeza ile 50% yake igawanywe ikawanywe 50/50 kwa watoto wake wawili, Regina na Abudel, hivyo baada ya kifo cha mama yao, ila kampuni ya IPP inamilikiwa na watu watatu, Baba ana 50% na watoto wake wawili wana ?@ 25% .
  4. Baba akaandika will kuwa ikitokea akaitwa, ile 50% yake igawanywe kwa watoto wake wawili hao wadogo 50/50 Hivyo sasa kampuni ya IPP itakuwa inamilikiwa na watu 4, wote ni watoto wa Mzee Mengi, kila mtoto ana 25%, wale wakubwa wao watashika ile 50% ya mama yao, na hawa wadogo, kwa vile hawajatimiza the age the majority, 50% shares zao zitasimamiwa na mama yao hadi wafike umri wa miaka 18, ndipo wakabidhiwe
  5. Hapo ndipo ukaibuka mgogoro kwa watoto wakubwa kujihesabu ile 50% ya mama yao kwasababu iliisha gawanywa kwao, sasa ni mali yao, na kutaka ile 50% ya baba yao igawanywe kwa watoto 4, kila mmoja apewe 25%.
  6. Hivyo umiliki wa IPP ungekuwa 37.5% kwa wale watoto wakubwa wawili na 12.5% kwa wale wadogo wawili.
  7. Watoto wakubwa wakajenga hoja eti baba yao hakuwa timamu wakati anaandika will na mahakama ikawakubalia kiboya kweli kweli na kuitengua will ya Mzee.
  8. Mtu wa kwanza aliyepaswa kuulizwa utimamu Mzee wakati akiandika will ni wakili aliye draft ile will, kisha ndio wapate opinion ya daktari athibitishe kuwa Mzee hakuwa timamu. Wakili hakuitwa akaitwa daktari wa mchongo na kuthitisha kimchongo kuwa Mzee hakuwa timamu!.
  9. Kiukweli kabisa Mzee alikuwa timamu kabisa akawa treat watoto wake wote as 4 equal entities with equal shares of 25% each!.
  10. Thanks God Mahakama ya Rufani imetengua ule uamuzi wa kiboya wa mahakama kuu!.
Hivyo hakuna popote Binti anapigania mali, binti anapigania haki za watoto wake according to the wishes za baba yao ameacha watoto 4, kila mmoja apate sawa kwa sawa!.
P
 
Je, wewe unaweza kuruhusu mkeo awe bar maid ili kupinga huo unyanyapaa kwa vitendo?
Ile miaka 4 ya wife masomoni US, nimesaidiwa sana na hawa wadada, na baada ya wife kugoma kurudi bongo, hizo ndio zilikuwa zangu!. Nilipopata ile ajali mbaya ya bike, Pascal Mayalla apata ajali..... mtu wa kwanza kunihudumia ni mdada fulani wa bar ya Court Yard Hotel!. Wife akataka kurudi ili kunihudumia out of pity ya sympathy huku mdada wa bar akinihudumia for love, nilimwambia wife I'm well taken care of, hivyo asije. Nilimuachisha kazi Court Yard Hotel, nikaenda nae matibabuni South na India na baada ya kurejea nikachukua jumla ndio wife wangu sasa!, tena nampenda sana na namuheshimu sana Enyi Waume Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 Asubuhi!-Bado Nampenda!

Kwa logic ya kawaida watoto wote wa4 wanayo haki ya kurithi ile asilimia 50 ya Reginald kwa kuwa ni baba yao wote! Abdiel na Regina wana haki ya kupata urithi wa baba yao kama ilivyo kwa watoto wa K-Lyn.

Pia kusema daktari aliyeitwa ni wa michongo nachelea kusema umepotoka au una maslahi binafsi na hii kesi! Duniani kote mtu mwenye uwezo wa kuthibitisha utimamu wa akili ya mtu ni daktari na sio mwanasheria. Mathalani, inasemekana mzee alipata kiharusi ( stroke) kabla ya kuandika ‘will’ kwahiyo unaweza kusema vipi mzee alikuwa timamu? Mwanasheria anajua namna kiharusi(stroke) hasa km kiligusa upande wa mbele wa ubongo wa mgonjwa( frontal lobe) kinavyoweza kudhuru uwezo wa kufikiri na utimamu wa akili ya mtu tofauti na daktari?

Na je, tunaweza kuthibitisha vipi mzee hakuwa under influence ya kutishiwa kunyimwa huduma ya kimwili na uangalizi wa kiafya wakati anaandika hiyo will ambayo ni corrupted?

Mimi binafsi nayaona maamuzi ya Mahakama Kuu chini ya Jaji Yose Mlyambina km moja ya maamuzi bora kuwahi kutolewa na mahakama zetu
 
Kale kachangudoa kakaingilia mahusiano, miksa uchawi, waganga na majini
 
Ile miaka 4 ya wife masomoni US, nimesaidiwa sana na hawa wadada, na baada ya wife kugoma kurudi bongo, hizo ndio zilikuwa zangu!. Nilipopata ile ajali mbaya ya bike, Pascal Mayalla apata ajali..... mtu wa kwanza kunihudumia ni mdada fulani wa bar ya Court Yard Hotel!. Wife akataka kurudi ili kunihudumia out of pity ya sympathy huku mdada wa bar akinihudumia for love, nilimwambia wife I'm well taken care of, hivyo asije. Nilimuachisha kazi Court Yard Hotel, nikaenda nae matibabuni South na India na baada ya kurejea nikachukua jumla ndio wife wangu sasa!, tena nampenda sana na namuheshimu sana Enyi Waume Wapendeni Wake Zenu!-Wife Kanirudia Saa12:00 Asubuhi!-Bado Nampenda!
P
Mbwenu.....iweeee!
 
Kwa upande wangu Mengi alichemsha kuoa mtoto wa mjini, nina imani nakanisani na kwenye maofisi ya IPP kuna wajane watu wazima wengi tu between 40-50 angechukua humo
Huku ni kupangiana maisha sasa
 
Mbona Kama unataka kusemaje ngosha. So tusioe dada zetu wa kisukuma sio maendeleo ama Ni loss?

Toa na negatives zao labda. Nikuulize labda unaishi na ndugu zako hapo wangapi ama umesaidia wangapi usukumani mkuu.

Sijapinga love Ni just body chemistry Mana ukishakuwa in love na mtu huwa always unakuwa dopamine so you can't see any negative.
Yaani mamii Basi tu mamii
Magwambara mkishawafanya wakomavu na kuwatandika tambuu ya ngombe mnawacha kwenye mataa
 
Nafasi ya mwanamke katika maendeleo ya iwe ya familia au taifa ni kubwa kwa kiasi chake.

Nikichukulia mfano katika kanisa lau kama sio wakina mama kuna mahali kanisa lisingekuwa kama lilivyo leo.

Pia hata taifa letu kuna mahali mwanamke au wakina mama walisimama ambapo kama isingekuwa hivyo kuna kitu kisinge kua kama lilivyo sasa.

Hata kwenye vyama mfano vya siasa mwanamke amekua nguvu kubwa ya chama mfano ccm .

Tukirudi kwenye mada mimi binafsi naami kabisa hilo mleta mada alivyo wasilisha ni sahihi, ila kwa kiasi chake sisi wanaume tumekua tuki ignore mchango wa wenzetu katika maendeleo yetu, sifa zote njema tunapewa sisi.

Lakini ukweli ni wanaume wachache sana ambao wamekua na maendeleo ya moja kwa moja bila ya mwanamke.

Lakini pia wanawake hao hao ndio wanasabisha anguko kwa mwanaume na jamii kwa ujumla.
Umebalance sawia kabisa.
 
Hivi unajua jinsi tiketi za ndege zinavyokatwa?

Sifahamu Mkuu 😏😏😏😏nipo Burundi sijawai kutoka nje ya hapa hata kwa kutumia private Car

Hivi unajua viambatanisho vya kuombea Viza ?
 
Wabongo tuna tatizo la kunyanyapaa baadhi ya kazi, mtu kufanya kazi casino wanamuona danga!, hata wahudumu wa bar, bar maids wanawaona kama malay.!.
Sio kila anayefanya kazi casino ni danga, sio kila anyefanya kazi bar ni malay.!. Wako wadada ma beauty queens wanafanya kazi casino as a decent jobs na hawadangi, na wapo madada wenye heshima zao na wanafanya kazi bar na wameolewa wana waume zao na familia zao na sio malay.!
P

Mkuu kaka baba yangu nina kuheshimu ujue unapoteza watoto wanaochipukia waliomo huku kwenye jukwaa kwamba watoke chuo Na degree zao waende Casino kuwakatikia wazungu viuno
Sidhani kama ungependa Binti yako akachezewe matit. Casino na walevi wa kizungu

Kumbe wewe Hamna kitu kichwani ndio maana unakatwa mapema sana kwenye chaguzi zote
 
Sifahamu Mkuu 😏😏😏😏nipo Burundi sijawai kutoka nje ya hapa hata kwa kutumia private Car

Hivi unajua viambatanisho vya kuombea Viza ?

Ndio navijua vigezo vya kupata viza vya nchi nilizowai kuomba viza zao.

Kama hujui jinsi tiketi za ndege zinakatwa kwa mfumo gani ni vizuri ukakaa kimya

maana unajiabisha kwa kutuambia watu humu kuwa K lyn alikuwa anaonga wafanyakazi wa Airline ili wampe ratiba ya mzee mengi na yeye K lyn aweze safiri na Mengi same day.
 
Ndugu Haujui kitu kaa kimya nani kakwambia Safari lazima iwe international Local trip siwezi kupewa Ratiba zako

Same as international before haujaomba Viza lazima uambatanishe na Flight Viza Itinerary inayoonesha mwanzo wa Safari yako na mwisho wa Safari yako kutoka airline yenye tarehe za Safari yako husitake kujifanya unajua kila kitu
 
Tatizo lilianza na wewe na kumalizika na wewe....hukua na uwezo wa kuoa na kuishi na huyo mwanamke,ulivamia mwanamke sio wa hadhi yako,reality came in na true results came up

You are the hero h
Acha dharau mkuu, sio poa
 
Hakajadai bali Mzee aliandika mwenyewe will akiwa mzima na akili zake timamu!.
Kwenye ile will, Kabinti hakajaachiwa kitu!.
Hali iko hivi
  1. Mali zote za IPP zinamilikiwa kwa ubia wa 50/50 kati ya Regi na Mese.
  2. Wakavunja ndoa na kugawana 50/50 ila ziko chini ya trusteeships zinaendelea ku operation as usual.
  3. Mese akafariki, kwenye will ya Mese, imeelekeza ile 50% yake igawanywe ikawanywe 50/50 kwa watoto wake wawili, Regina na Abudel, hivyo baada ya kifo cha mama yao, ila kampuni ya IPP inamilikiwa na watu watatu, Baba ana 50% na watoto wake wawili wana ?@ 25% .
  4. Baba akaandika will kuwa ikitokea akaitwa, ile 50% yake igawanywe kwa watoto wake wawili hao wadogo 50/50 Hivyo sasa kampuni ya IPP itakuwa inamilikiwa na watu 4, wote ni watoto wa Mzee Mengi, kila mtoto ana 25%, wale wakubwa wao watashika ile 50% ya mama yao, na hawa wadogo, kwa vile hawajatimiza the age the majority, 50% shares zao zitasimamiwa na mama yao hadi wafike umri wa miaka 18, ndipo wakabidhiwe
  5. Hapo ndipo ukaibuka mgogoro kwa watoto wakubwa kujihesabu ile 50% ya mama yao kwasababu iliisha gawanywa kwao, sasa ni mali yao, na kutaka ile 50% ya baba yao igawanywe kwa watoto 4, kila mmoja apewe 25%.
  6. Hivyo umiliki wa IPP ungekuwa 37.5% kwa wale watoto wakubwa wawili na 12.5% kwa wale wadogo wawili.
  7. Watoto wakubwa wakajenga hoja eti baba yao hakuwa timamu wakati anaandika will na mahakama ikawakubalia kiboya kweli kweli na kuitengua will ya Mzee.
  8. Mtu wa kwanza aliyepaswa kuulizwa utimamu Mzee wakati akiandika will ni wakili aliye draft ile will, kisha ndio wapate opinion ya daktari athibitishe kuwa Mzee hakuwa timamu. Wakili hakuitwa akaitwa daktari wa mchongo na kuthitisha kimchongo kuwa Mzee hakuwa timamu!.
  9. Kiukweli kabisa Mzee alikuwa timamu kabisa akawa treat watoto wake wote as 4 equal entities with equal shares of 25% each!.
  10. Thanks God Mahakama ya Rufani imetengua ule uamuzi wa kiboya wa mahakama kuu!.
Hivyo hakuna popote Binti anapigania mali, binti anapigania haki za watoto wake according to the wishes za baba yao ameacha watoto 4, kila mmoja apate sawa kwa sawa!.
P
[emoji2936][emoji2935]
[emoji106][emoji106]
 
Ndiyo maana mimi naamini kama mwanamke hakupi sapoti ya kusaka mafanikio better muachane ili uyasake na mtu mwingine bila hivyo utakufa kwa stress
Wanawake wana nguvu sana ya kuamua hatima yetu wanaume na we have to be very careful na hawa viumbe

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hakajadai bali Mzee aliandika mwenyewe will akiwa mzima na akili zake timamu!.
Kwenye ile will, Kabinti hakajaachiwa kitu!.
Hali iko hivi
  1. Mali zote za IPP zinamilikiwa kwa ubia wa 50/50 kati ya Regi na Mese.
  2. Wakavunja ndoa na kugawana 50/50 ila ziko chini ya trusteeships zinaendelea ku operation as usual.
  3. Mese akafariki, kwenye will ya Mese, imeelekeza ile 50% yake igawanywe ikawanywe 50/50 kwa watoto wake wawili, Regina na Abudel, hivyo baada ya kifo cha mama yao, ila kampuni ya IPP inamilikiwa na watu watatu, Baba ana 50% na watoto wake wawili wana ?@ 25% .
  4. Baba akaandika will kuwa ikitokea akaitwa, ile 50% yake igawanywe kwa watoto wake wawili hao wadogo 50/50 Hivyo sasa kampuni ya IPP itakuwa inamilikiwa na watu 4, wote ni watoto wa Mzee Mengi, kila mtoto ana 25%, wale wakubwa wao watashika ile 50% ya mama yao, na hawa wadogo, kwa vile hawajatimiza the age the majority, 50% shares zao zitasimamiwa na mama yao hadi wafike umri wa miaka 18, ndipo wakabidhiwe
  5. Hapo ndipo ukaibuka mgogoro kwa watoto wakubwa kujihesabu ile 50% ya mama yao kwasababu iliisha gawanywa kwao, sasa ni mali yao, na kutaka ile 50% ya baba yao igawanywe kwa watoto 4, kila mmoja apewe 25%.
  6. Hivyo umiliki wa IPP ungekuwa 37.5% kwa wale watoto wakubwa wawili na 12.5% kwa wale wadogo wawili.
  7. Watoto wakubwa wakajenga hoja eti baba yao hakuwa timamu wakati anaandika will na mahakama ikawakubalia kiboya kweli kweli na kuitengua will ya Mzee.
  8. Mtu wa kwanza aliyepaswa kuulizwa utimamu Mzee wakati akiandika will ni wakili aliye draft ile will, kisha ndio wapate opinion ya daktari athibitishe kuwa Mzee hakuwa timamu. Wakili hakuitwa akaitwa daktari wa mchongo na kuthitisha kimchongo kuwa Mzee hakuwa timamu!.
  9. Kiukweli kabisa Mzee alikuwa timamu kabisa akawa treat watoto wake wote as 4 equal entities with equal shares of 25% each!.
  10. Thanks God Mahakama ya Rufani imetengua ule uamuzi wa kiboya wa mahakama kuu!.
Hivyo hakuna popote Binti anapigania mali, binti anapigania haki za watoto wake according to the wishes za baba yao ameacha watoto 4, kila mmoja apate sawa kwa sawa!.
P
Na hili wengi wanalichukulia kimihemko kama ilivyofanya mahakama ya awali
 
Nilisali na kufahamiana na huyu mama pale Azania front... ni kweli kwa baadhi ya mambo hasa kutopenda publicity lakini upande wa pili wa huyu mama ulitisha!

Mungu amrehemu.
Mkuu funguka kidogo tu hata kwa codes
 
Back
Top Bottom