Bila Mercy, huenda tusingekuwa na bilionea Mengi

Bila Mercy, huenda tusingekuwa na bilionea Mengi

Kipanga na TSJ kwa kweli hapana,labda kwakuwa udsm haikuwa na kozi za mambo ya habari.Lakini mbona ndoto ya Pasco ni kuwa kama adv.Lakha? Udsm ilifundisha LAW,kwa nini TSJ? Kuhusu mtoto wa tajiri wa Machame Pasco alishasema ,safari iliishia njiani ndoa ikafa kifo cha Mende mlalo wa chali akamuoa mtu aliyemsaidia baada ya kupata ajali.
Ndoto ya kua lawyer baada ya 40years sio ndoto,alikosa akili akiwa kwenye umri wa kusoma kaja kusoma na akili za uzeeni

Ndoa ilikua inamtegemea mwanamke kwa kila kitu LAZIMA ife!

Jamaa hawezi na hajui jukumu sahihi la mwanaume,kwamba ni lazima mwanamke akutegemee kwa kila kitu no matter how much money she has

Alifoji huyu,reality caught up with him!
 
Mkuu Lusungo, talk only the bright side of the dead!, when one dies, he/she is buried with their dark side.

Ukitenda ubaya hapa duniani halafu ukaja kutenda wema mkubwa zaidi ya ule ubaya, unakwenda straight peponi. Hata JPM saa hizi he is enjoying pepo!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Naam mkuu Pasco.

Ndio maana sijaendelea zaidi nimeishia hapo maana ukurasa wake hapa duniani ulishafungwa.
 
Bandiko nzuri bwan kimwaga ila Nina wasiwasi huwenda umetumwa kuja ktk kipindi hiki kuja kuleta taharuki ukijuwa kbsa kuwa kuna migogoro ya miradhi inayo endelee mahakamani .

Hvyo angalia San mkuu usjie kuta umetuwa au unatumika na kundi fln ili kupata kitu kutoka kwao ,au lah pengine ulinufaika vilivyo na marehemu mercy mengi kipindi Cha uhai wake hvyo umemkumbuka

Hapa ujaeleza Nini chanzo Cha ndoa Hiyo kufunjika na kupelekea kugawana Mali ina maana Hilo ulijui ,au

Mwanamke Ana mchango kwa kila Jambo ila nakumbiaa mengi Ni mapambanaji haswa hakutoke gafla bin fuu akapata ukwasi huyu mtu amefanya had pwc ,je unafahamu viwango ya hyo kampuni kipindi hicho na sas HV ..

Alfu Kuna hili la national Bank of commerce jinsi ilivyo poteaa na kufilisika je umewahi kujuwa Ni kina Nani walihusika kuhujumu bank ya serekali

Wapumnzike kwa amani marehemu wote tunawashukuru kwa mchango wao ktk taifa hili
 
Mzee nae alichemka sana Mungu amrehem mke kapambana mmefikia hapo leo unakuja kuchukua kupe inataka kuchukua mali zote bila jasho kisa tu imezaa na mzee wale watoto wasimamie mali za baba na mama yao na huyo kupe azitafute km alivo tafuta mke wa kwanza
Hao watot hakuna aliteoa Wala kuolewa sas hyo Mali inakwenda wapi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Haujui story yao , Kyln alimuwinda Mengi usiku na Mchana kwa kifupi alipambania kulazimisha ukaribu na kutongozwa ikafika wakati alionga wafanyakazi wa mashirika ya Ndege , wamtajie mzee anasafiri lini na wapi na yeye anaunga

Mtaji wa kupanda Ndege aliupata kwa wazungu JMall Casino alipokua akifanya Kazi na kudanga
Yaani mtu akifanikiwa ni shida, sababu lukuki zitajitokeza, mara mchawi, freemason mara anajiuza yaani ujinga ujinga tu, unafikiri yule alikua mtoto wa maskini kama wewe?

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
Eze umekosa teuz kwa uchambuz wa mchongo BBC umekuja huku kwa gear ya kuzungumzia marehemu wa ipp unataka kuziba pengo la kivuyo et?
 
Kuna wanawake wachacje ambao huwa ni chanzo kikuu cha mafanikio ya mwanaume. Kwa sababu mchango wao unadhihirika kupitia jasho, machozi na hata damu mpaka inapofika mwanaume anatoboa.

Hawa huwa maono, hamu na shahuku kubwa ya maendeleo. Hupenda kujiongeza, ari ya kuthubutu kuwekeza, na hata kujinyima matumizi yasiyo ya lazima na ya anasa kwa ajili ya uwekezaji. Hawa ndiyo haswa mfano wa Bi. Mercy Abiel Shangali, ni alama na kichocheo kikuu nyuma ya maendeleo ya mwanaume yeyote yule.

Lakini wapo wengi, naamini tunao hata hapa JF, ambao ni kama gundu pale wawapo katika maisha ya mwanaume. Wao hufikiria vitu vidogo vidogo tu vya kufirika. Kila muda ambapo mwanaume anapojaribu kufanya uwekezaji na kianza kupunguza fedha za matumizi ya nyumbani, wao hufikiria kuna hawara, unapendelea ndugu zako ama unatumia fedha nyingi kwenye starehe na marafiki.
 
Please!, No!. Huyu dada ni jirani yangu, hajawahi kudanga!, kwa vile she is a very striking beautiful queen, mijibaba yenye fedha zao na uchu wa kutafuna vitu laini laini, ilikuwa inashindana dau!, kuna kijana mmoja tajiri tuu na mtoto wa mujini tena mwenye jina kubwa tuu, alimuhangaikia huyu binti hadi alilia machozi!, akashindwa!

Ikatokea tuu bahati binti akampenda Babu na hata huo umri wa 77 babu aliofikisha, umechangiwa na binti, bila Jack, Mzee would have been dead long ago!.
Msikize Mzee mwenyewe akiongea



P


Mkuu kumbe na wewe uwa unachangia vya uongo unatulisha matango Pori Sio wote Tunaojua story na maisha ya jirani zetu wanafanya nini kuingiza kipato

Labda kwenye early 2000s wakati anafanya kazi Pale JMall Casino na kudanga na wazungu baada ya Kushinda Misa Tanzania na kupoteza Ramani ulikua haujawa na jina na Hela za Kua jirani yake

Wewe ni Mwana Habari Nenda pale Casino JMall ukafanye research
 
Bandiko nzuri bwan kimwaga ila Nina wasiwasi huwenda umetumwa kuja ktk kipindi hiki kuja kuleta taharuki ukijuwa kbsa kuwa kuna migogoro ya miradhi inayo endelee mahakamani .

Hvyo angalia San mkuu usjie kuta umetuwa au unatumika na kundi fln ili kupata kitu kutoka kwao ,au lah pengine ulinufaika vilivyo na marehemu mercy mengi kipindi Cha uhai wake hvyo umemkumbuka

Hapa ujaeleza Nini chanzo Cha ndoa Hiyo kufunjika na kupelekea kugawana Mali ina maana Hilo ulijui ,au

Mwanamke Ana mchango kwa kila Jambo ila nakumbiaa mengi Ni mapambanaji haswa hakutoke gafla bin fuu akapata ukwasi huyu mtu amefanya had pwc ,je unafahamu viwango ya hyo kampuni kipindi hicho na sas HV ..

Alfu Kuna hili la national Bank of commerce jinsi ilivyo poteaa na kufilisika je umewahi kujuwa Ni kina Nani walihusika kuhujumu bank ya serekali

Wapumnzike kwa amani marehemu wote tunawashukuru kwa mchango wao ktk taifa hili

Mkuu ingekua vizuri na wewe utumwe na upande mwingine wa Kyln kama na yeye ana mchango wake uliofungua company ya kuuza hata pipi uenda hatujui na yeye mazuri yake yajulikane. mafanikio yoyote ya Kipesa na kimaisha utuletee hapa Jamvini tumpongeze mjane
 
Haujui story yao , Kyln alimuwinda Mengi usiku na Mchana kwa kifupi alipambania kulazimisha ukaribu na kutongozwa ikafika wakati alionga wafanyakazi wa mashirika ya Ndege , wamtajie mzee anasafiri lini na wapi na yeye anaunga

Mtaji wa kupanda Ndege aliupata kwa wazungu JMall Casino alipokua akifanya Kazi na kudanga

Hivi unajua jinsi tiketi za ndege zinavyokatwa?
 
Mkuu kumbe na wewe uwa unachangia vya uongo unatulisha matango Pori Sio wote Tunaojua story na maisha ya jirani zetu wanafanya nini kuingiza kipato

Labda kwenye early 2000s wakati anafanya kazi Pale JMall Casino na kudanga na wazungu baada ya Kushinda Misa Tanzania na kupoteza Ramani ulikua haujawa na jina na Hela za Kua jirani yake

Wewe ni Mwana Habari Nenda pale Casino JMall ukafanye research
Wabongo tuna tatizo la kunyanyapaa baadhi ya kazi, mtu kufanya kazi casino wanamuona danga!, hata wahudumu wa bar, bar maids wanawaona kama malay.!.
Sio kila anayefanya kazi casino ni danga, sio kila anyefanya kazi bar ni malay.!. Wako wadada ma beauty queens wanafanya kazi casino as a decent jobs na hawadangi, na wapo madada wenye heshima zao na wanafanya kazi bar na wameolewa wana waume zao na familia zao na sio malay.!
P
 
Haujui story yao , Kyln alimuwinda Mengi usiku na Mchana
Sisi watu wa media ndio tunaujua udhaifu wa Wazee wetu kwa spring chicken kama yule!. Hata naniliu naye alikuwa dhaifu hakuna mfano!, tuwaache Wazee wetu wapumzike, tena dini fulani unaambiwa huko peponi walipo saa hizi, kila mmoja amekabidhiwa wanawali 7!. Ila pia tusiwaseme watu as if ni sisi ni malaika, hata ningekuwa mimi nina pesa ndefu kivile, lazima nile vitu vizuri laini laini kama vile!.
P
 
Back
Top Bottom