Bila Mercy, huenda tusingekuwa na bilionea Mengi

Bila Mercy, huenda tusingekuwa na bilionea Mengi

Binti harithi mali za waafrica wala hao waarabu....

Mtu mzima anafikaje miaka 50 hajaolewa ama hajaoa.. huku anajua ana majukumu ya kuendeleza mali.

Yeye akifa mali ataendeleza nani?

Je Mo dewji ameoa akiwa na miaka 14?


Wewe ume Kazans Unamtolea Mo Dewji mfano Mimi natoa mfano wa Majority ya Arabs wanaozesha Binti zao wakiwa wadogo sana bila kuwasomesha ni Mila zao

Sikiliza kakojoe ulale
 
Wewe ume Kazans Unamtolea Mo Dewji mfano Mimi natoa mfano wa Majority ya Arabs wanaozesha Binti zao wakiwa wadogo sana bila kuwasomesha ni Mila zao

Sikiliza kakojoe ulale

Mi nimeshakojoa ila sijalala.

Uzembe wa hao kina regina. K LYN anawanyoosha....

Wangekuwa wameoa na kuzaa .. ingekuwa rahisi kumchallenge K lyn maana jeshi la warithi lingekuwa kubwa.

Ila hao wawili na umri wao wa miaka 50 na kuendeleaa hawatamuweza K lyn na jeshi lake la damu changa lenye miaka less than 10yrs

Watoto wa k lyn wakifika 20 tu jack anawaozesha na kuzaa kina mengi wengineee....
 
ukisoma wetu weru ni lazima uwe na 55 by now ? 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ Regina ni first born hajafika 55 . Mutie ni 2nd born amefariki 2005 akiwa ni his late 20s ,Abdiel ni last born
Nafahamu aliomaliza nao wako above 55 acha ubishi
 
Mkuu kaka baba yangu nina kuheshimu ujue unapoteza watoto wanaochipukia waliomo huku kwenye jukwaa kwamba watoke chuo Na degree zao waende Casino kuwakatikia wazungu viuno
Sidhani kama ungependa Binti yako akachezewe matit. Casino na walevi wa kizungu

Kumbe wewe Hamna kitu kichwani ndio maana unakatwa mapema sana kwenye chaguzi zote
Nani kakwambia Casino kuna biashara ya kukatikiana viuno? Unajua Casino ni nini?
 
Kwa logic ya kawaida watoto wote wa4 wanayo haki ya kurithi ile asilimia 50 ya Reginald kwa kuwa ni baba yao wote! Abdiel na Regina wana haki ya kupata urithi wa baba yao kama ilivyo kwa watoto wa K-Lyn.

Pia kusema daktari aliyeitwa ni wa michongo nachelea kusema umepotoka au una maslahi binafsi na hii kesi! Duniani kote mtu mwenye uwezo wa kuthibitisha utimamu wa akili ya mtu ni daktari na sio mwanasheria. Mathalani, inasemekana mzee alipata kiharusi ( stroke) kabla ya kuandika ‘will’ kwahiyo unaweza kusema vipi mzee alikuwa timamu? Mwanasheria anajua namna kiharusi(stroke) hasa km kiligusa upande wa mbele wa ubongo wa mgonjwa( frontal lobe) kinavyoweza kudhuru uwezo wa kufikiri na utimamu wa akili ya mtu tofauti na daktari?

Na je, tunaweza kuthibitisha vipi mzee hakuwa under influence ya kutishiwa kunyimwa huduma ya kimwili na uangalizi wa kiafya wakati anaandika hiyo will ambayo ni corrupted?

Mimi binafsi nayaona maamuzi ya Mahakama Kuu chini ya Jaji Yose Mlyambina km moja ya maamuzi bora kuwahi kutolewa na mahakama zetu
Kinachofuatwa ni kilichoandikwa kwenye will, na sio logic. As long as the will is legal.
 
Hata mfanyaje Mali tutaziacha kikubwa kuishi vizuri na kutafuta ,sasa hapo wote hawapo unataka izo Mali abaki nazo Nan? Maana hawapo wote
Uhusiano wa mke mdogo na Mengi ulianza siku nyingi. Mengi alitengana/aliahana na mke wake siku nyingi kabla, na wakati wa kutofautiana kulikuwa na mgawanyo wa mali/hisa. tatizo lilianza pale mke mdogo alipojimilikisha mali zote, hata zile hisa za mke mkubwa.
 
ikatokea bahati kichwani niko ok, nina uwezo wa kupiga papers mbili at each exam, hivyo binti tajiri hana kazi ya kuumiza kichwa!, nilifanya kila kitu
Mkuu, kwa hadhi uliyonayo humu JF hili suala la kumfanyia mtu mtihani sidhani kama ni sahihi kulisema hadharani. Exams cheating is a crime and sadly enough you candidly come out and boastfully sound how proud you're of it. Ninaomba unisamehe sana kama nitakukwaza kwa namna moja au nyingine lakini hili jambo si jema brother P.
 
Hilo la upande wa pili ndiyo tunalitaka ili kukata mikia ya watu, maana watu makoo yanawakauka utazani wanakula vumbi.
Makosa ya sirini yafanyiwe toba sirini na vivo hivyo kwa yale ya handarani. Mama Mercy alikuwa anajiwasilisha vema mbele ya kadamnasi ya watanzania, hiyo inatosha. Masuala yake mengine ya private hio haituhusu kwa maana kila mmoja ana yake.
 
Mkuu, kwa hadhi uliyonayo humu JF hili suala la kumfanyia mtu mtihani sidhani kama ni sahihi kulisema hadharani. Exams cheating is a crime and sadly enough you candidly come out and boastfully sound how proud you're of it. Ninaomba unisamehe sana kama nitakukwaza kwa namna moja au nyingine lakini hili jambo si jema brother P.
No sio sio kumfanyia mtu mtihahani ni kumsaidia a helpless lady for love!.
Any cheating is theft lakini sio kila wizi ni dhambi, wizi mwingine ni baraka na neema na unabarikiwa hadi kujipatia mke kama umeokota dodo chini ya mwembe!.

Ukiwa ni mfanyakazi wa bakery ya mikate na kila siku kuna mikate inabaki inaoza na kutupwa, huku kuna masikini mmoja ameshinda njaa siku 4 akikosa chakula atakufa, ukaamua kuiba mkate mmoja uliobaki jana kabla haujaoza na kutupwa, ukampelekea yule masikini, ukaokoa maisha yake!. Kuiba ni kuiba tuu na ni kosa!, amini uniamini, utabarikiwa!.

Hata ndani ya ndoa nyingi kuna wanawake wengi wanalazwa njaa, uvumilivu ikiwashinda wanavunja ndoa na watoto wanaishia kuteseka!. Akitokea shababi akamshibisha huyo mke, its cheating, lakini kufuatia kushiba, mke akaamua kutulia ndani ya ndoa!. Shababi huyo atabarikiwa!.
Kiukweĺi nilibarikiwa sana.
P
 
Nani kakwambia Casino kuna biashara ya kukatikiana viuno? Unajua Casino ni nini?

There is an age-old notion that wherever there is gambling, there will be prostitutes. Just search on any browser and under “prostitution and casinos”, there are many stories linking casinos and prostitution together. It is no secret that these two have had a long history together. Illegal prostitution is practiced in casinos in order to keep men happy, especially those with deep pockets.. Kyln was keeping Men Happy kubali kataa
 
No sio sio kumfanyia mtu mtihahani ni kumsaidia a helpless lady for love!.
Any cheating is theft lakini sio kila wizi ni dhambi, wizi mwingine ni baraka na neema na unabarikiwa hadi kujipatia mke kama umeokota dodo chini ya mwembe!.

Ukiwa ni mfanyakazi wa bakery ya mikate na kila siku kuna mikate inabaki inaoza na kutupwa, huku kuna masikini mmoja ameshinda njaa siku 4 akikosa chakula atakufa, ukaamua kuiba mkate mmoja uliobaki jana kabla haujaoza na kutupwa, ukampelekea yule masikini, ukaokoa maisha yake!. Kuiba ni kuiba tuu na ni kosa!, amini uniamini, utabarikiwa!.

Hata ndani ya ndoa nyingi kuna wanawake wengi wanalazwa njaa, uvumilivu ikiwashinda wanavunja ndoa na watoto wanaishia kuteseka!. Akitokea shababi akamshibisha huyo mke, its cheating, lakini kufuatia kushiba, mke akaamua kutulia ndani ya ndoa!. Shababi huyo atabarikiwa!.
Kiukweĺi nilibarikiwa sana.
P
Okay. Let me just put this to an end. It's your life anyway.
 
The funniest part ni pale mtu ameshupalia eti Regina na Abdiel hawazaa wala hawana ndoa basi ndo inawafanya wakose haki ya kurithi sehemu ya mali za baba yao[emoji23][emoji23] ... very arrogant. Hivi munawapangiaje watu lifestyle? Inakuumiza nini endapo hawajazaa wala kuwa na ndoa? Inazuia nini wao kupata haki yao? Sometimes midahalo mingine mtu apumzike kuliko kudhalilisha brand ya familia na ukoo wako.
 
Mkuu, kwa hadhi uliyonayo humu JF hili suala la kumfanyia mtu mtihani sidhani kama ni sahihi kulisema hadharani. Exams cheating is a crime and sadly enough you candidly come out and boastfully sound how proud you're of it. Ninaomba unisamehe sana kama nitakukwaza kwa namna moja au nyingine lakini hili jambo si jema brother P.
Just imagine mkuu. Imagine[emoji119][emoji119]
 
Just imagine mkuu. Imagine[emoji119][emoji119]
Sad indeed. Anatumia verified ID kwanza, alafu kisha anatoa mfano ya kuiba mikate bakery na kumpelekea masikini kama reasonable justification ya yeye ku-cheat kwenye exams ambayo ni crime bila kujua kama jinai ni jinai tu whatsoever. Sisi waafrika tuna shida pahala na si bure.
 
Alipomaliza shule nikamfuata wife turudi Bongo, akanigomea kuwa ameisha amua our life is in US, mimi nikubali kuwa house husband!. Niligoma na mimi ndio nikarudi zangu Bongo, hivyo sikuachwa mimi ndio niliacha!,
Weee! Pacal Mayalla acha utoto bana wee!! ndo uliachwa ivo!!...ke anaelijua ligududu vizuri! ! atakuja kwa Magoti mwenyewee! Km anajua udhaifu wako ni house husband! huyo huyo! angekutafutia chuo kwa machozi!

ili usijisikie vibaya bana weee!! ke kumuacha Mume, anaye mkuna vizuri ni kazi sana! tena si kidogo...kamwe haitatokea! ke ni wadhaifu sana kwa mkunaji! ni sawa km mbwa kwa chatu!
 
Sad indeed. Anatumia verified ID kwanza, alafu kisha anatoa mfano ya kuiba mikate bakery na kumpelekea masikini kama reasonable justification ya yeye ku-cheat kwenye exams ambayo ni crime bila kujua kama jinai ni jinai tu whatsoever. Sisi waafrika tuna shida pahala na si bure.
Tumuachie matatizo yake mwenyewe aisee
 
Back
Top Bottom