Halafu pasipo hata na chembe ya aibu, anataka amilikishwe makampuni yote! Kisa tu ana vitoto viwili vya test tube na marehemu!!K Lyn amekuja kutafuta vitu vilivyotafutwa na mwanamke mwenzie , Parasite au kupe
Ina maana hujui kwamba Mengi alizini na klyn tangu mkewe akiwa hai?? Hujui klyn alijifungua mapacha mke wa Mengi akiwa hai?? .Sio kweli, kwa hiyo mengi asingeoa angezini tu sio!!!
Vipi kama mengi ndio angetangulia kufa mkewe angeolewa kuna kosa?
Mkuu kumbe umeoa Uchaggani?Mimi pia kwenye maisha yangu nilipitia mumo humu, ile TSJ yule binti ni mtoto wa Tajiri wa Sanya Juu!, zile ponda raha zote za TSJ ni mfuko wa binti!. Ile harusi ya kifahari, honeymoon London, kuhamia US, yote ni familia ya binti!. Tofauti yangu na Mengi, yeye alikuwa Mchagga pesa ndio kila kitu, lakini mimi Msukuma, kuponda raha ndio ilikuwa kila kitu!.
Mkuu naona unapingana na FACTSHakuna ukweli wowote, yote hii ni kutaka Jacky aonekane m'baya tu.
Kwanini iwe mafanikio yalikua makubwa baada ya mengi kuacha kazi na sio kabla hajaacha kazi?
Ukioa Moshi umeoa maendeleo!. Nimeoa uchagani binti wa tajiri wa Sanya Juu. Nimemuoa sweetheart wangu wa chuo, darasa moja, sitting next to each other.Mkuu kumbe umeoa Uchaggani?
Hahahaaa....funny story hii
I didnt know
Huko chumbani walikuwa wawili hakuna shahidi wakusema mwanamke kamlazimisha mwanaume ampatie mali, kwahiyo sasahizi mwanaume akiwa na mali na mkewe ametangulia mbele za haki au wameachana hapaswi kuoa mke mwingine?Halafu anaibuka mwanamke uzeeni na kudai mali yote kuwa aneachiwa yeye yaani hata watoto wa marehemu mama wasipate chochote.
Sheria zetu za ndoa na mirathi inabidi ziangaliwe upya, haiwezekani hawara wa uzeeni awe na haki na,mali za marehemu zilizochumwa tangu ujanani na wawili kisa tu naye anefunga ndoa na mwanaume huyo.
Walau sheria ingetamka nusu ya mali tu ndiyo zingeweza kuchukuliwa kuwa ni za mume ili kama urithi basi wanaomhusu wote wagawane hiyo nusu na nusu nyingine igawanywe kwa wanaomhusu mke wa ujanani.
Yaani ndiyo hapo nawashangaa watu, hivi yule mdada alijipeleka kwa yule babu? Mbona naye alikuwa na kazi yake ya muziki, lakini sioni watu wakilisema hilo, sasa sijui ni wivu tuu!Sio kweli, kwa hiyo mengi asingeoa angezini tu sio!!!
Vipi kama mengi ndio angetangulia kufa mkewe angeolewa kuna kosa?
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Sasa kwanini yule mzee hakuoa mwanamke tajiri na kumuacha binti wawatu akaolewe na vijana wenzie huko?Baada ya hussles zote za huyu Mama Mwamba, sasa hivi kaibuka mwingine kiulaiini anataka milioni 900 kila mwezi za kutulea watoto!
Labda wakamfukie nazoHata mfanyaje Mali tutaziacha kikubwa kuishi vizuri na kutafuta ,sasa hapo wote hawapo unataka izo Mali abaki nazo Nan? Maana hawapo wote
Kwani K-lyn ndiye sababu ya mzee Mengi kuachana na mkewe? Tukisema mnamionea wivu K-lyn kwa mali alizopewa na hubby wake? [emoji3]Ina maana hujui kwamba Mengi alizini na klyn tangu mkewe akiwa hai?? Hujui klyn alijifungua mapacha mke wa Mengi akiwa hai?? .
Na Kwa taarifa yako Mimi nimeona machame, Mengi alitoka familia ya chini na baba mkwe wake alimsomesha na kumsaidia mpaka akaenda nje. Mengi alivyo alitengenezwa na mkewe mfyuuu
Hilo la upande wa pili ndiyo tunalitaka ili kukata mikia ya watu, maana watu makoo yanawakauka utazani wanakula vumbi.Nilisali na kufahamiana na huyu mama pale Azania front... ni kweli kwa baadhi ya mambo hasa kutopenda publicity lakini upande wa pili wa huyu mama ulitisha!
Mungu amrehemu.
Angetafuta mzee mwinzie gari la mkaa,k lyn damu moto huwezi kumpelekea moto ukamridhishaSio kweli, kwa hiyo mengi asingeoa angezini tu sio!!!
Vipi kama mengi ndio angetangulia kufa mkewe angeolewa kuna kosa?
Alifanya nn ya kutisha huyu mama ?Nilisali na kufahamiana na huyu mama pale Azania front... ni kweli kwa baadhi ya mambo hasa kutopenda publicity lakini upande wa pili wa huyu mama ulitisha!
Mungu amrehemu.
Ukweli ni upi kwamba Kylin alitengeneza kalamu yeye ? 🧐🧐🧐🧐Hakuna ukweli wowote, yote hii ni kutaka Jacky aonekane m'baya tu.
Kwanini iwe mafanikio yalikua makubwa baada ya mengi kuacha kazi na sio kabla hajaacha kazi?
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
HahahaaaUkioa Moshi umeoa maendeleo!. Nimeoa uchagani binti wa tajiri wa Sanya Juu. Nimemuoa sweetheart wangu wa chuo, darasa moja, sitting next to each other. Kilichomfanya binti wa Tajiri wa Kichagga kumpenda mtoto wa masikini wa Kisukuma chapa ngombe ni kuwa sisi Wasukuma huwa haturembi, ni kazi kazi!, ikatokea bahati kichwani niko ok, nina uwezo wa kupiga papers mbili at each exam, hivyo binti tajiri hana kazi ya kuumiza kichwa!, nilifanya kila kitu, and return binti aligharimia kila kitu!.
P