Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,802
- 1,606
asee......Bigie anahitaji mapumziko, tuisheni taratibu bibie!
Nikimaliza na Biggie unakaribishwa kujiunga :lol::lol::lol:
asee......Bigie anahitaji mapumziko, tuisheni taratibu bibie!
Goodmorning Dena!Another one??????
ukiwa na Biggie unatumia ID gani?Hiyo Maria Roza iko Active and banned at the same time?Nikimaliza na Biggie unakaribishwa kujiunga :lol::lol::lol:
Hii ban imezidi kufanya abuse ya neno sokwe
JF bana
Bigi brother BANNED?!!! Why?? Its too bad pole sana
Mpe pole mjukuu wangu.
Hivi wewe ulipotelea wapi? Mbona hata kule kwenye viwanja vyetu hupatikani?
Nipo bana mambo yamekuwa mengi si unajua namalizia research yangu Babu au umeshasahau mara hii.
Leo napatikana huko
Poa,
Hivi umesikia kuwa ile dawa ya babu (kikombe) ni viagra mpya?
Hapos sasa atawakamata wengi masikio!!
Nasikia ni poa ila sasa masharti yake ndo issue watu walikimbilia walizani ni kama Panadol kuna kusali huko na kuacha madhambi yote
Yaani vere vere mimi namuandalia mapokezi na Tanzania Distilleries na mnyama kilo saba akirudi toka mapumzikoni kwa Maria RozaDah ze Big my dear, me miss you vere vere!!!
Why, why, why......
Shikamoo Babu!!!!!Sasa ukishapewa viagra unaachaje dhambi?
Sorry kwa kuchakachua thread ya DA...Itabidi post nyingine tutengeneze summary kwa ajili ya muhanga wetu!!
Yaani vere vere mimi namuandalia mapokezi na Tanzania Distilleries na mnyama kilo saba akirudi toka mapumzikoni kwa Maria Roza
Shikamoo Babu!!!!!
Sasa ukishapewa viagra unaachaje dhambi?
Sorry kwa kuchakachua thread ya DA...Itabidi post nyingine tutengeneze summary kwa ajili ya muhanga wetu!!
Ahaaaa ahaaaa ahaaaa:lol::lol::lol::lol::lol: Babu mbona asubuhi asubuhi unataka kunivunja mbavu zangu lolSijambo TF....upo lakini? Missed u so much.......LOL!
Ila nafikiria kuachana na hilo jina....Huyo mlozi wa Loliondo amelichafua sana kwa kulipaka maji taka!
Akiwa anarudi nitamwambia apite hivi ni barabara ya ngapi tena 9,10,11,12,13 kukuona kwa ajili ya barakaUsisahau kumleta kwa DC akawekewe mikono ili akingwe na mabaya yote!!!