Bigirita What Happened my Brother

Bigirita What Happened my Brother

Sijambo TF....upo lakini? Missed u so much.......LOL!

Ila nafikiria kuachana na hilo jina....Huyo mlozi wa Loliondo amelichafua sana kwa kulipaka maji taka!

DC bana kalichafua tena au ndo kakupa umaarufu
 
Ahaaaa ahaaaa ahaaaa:lol::lol::lol::lol::lol: Babu mbona asubuhi asubuhi unataka kunivunja mbavu zangu lol

Sasas wewe unaona ya mambo ya Loliondo yanazama kwenye akili za kawaida kweli? Ni ulozi tu unaowafaa Wadanganyika waliochanganyikiwa pamoja na wakubwa wao!!

Ngoja tuishie hapo ili DA asitupige Ban!
 
He kumbe DC una imani haba Mungu akusamehe yaani wale watu woooooooooooooote ni wajinga waliokwenda
 
Mhhhh,

Kumbe hata wewe umeshakamata kikombe ehnhhh?

Inawezekana wooooooote ni wajinga au mimi ndo mjinga... Tusubiri tuone.

Kwenye DECI tulionekana wajinga hadi wajinga wenyewe walipokwishaliwa ndo wasio wajinga wakajulikana.

Nadhani hii pia ni DECI iliyokaa kiuchawi uchawi!
 
Mhhhh,

Kumbe hata wewe umeshakamata kikombe ehnhhh?

Inawezekana wooooooote ni wajinga au mimi ndo mjinga... Tusubiri tuone.

Kwenye DECI tulionekana wajinga hadi wajinga wenyewe walipokwishaliwa ndo wasio wajinga wakajulikana.

Nadhani hii pia ni DECI iliyokaa kiuchawi uchawi![/QUOTE]

Wachawi utawajua tu wanajuana kwa vilemba ha ha ha ha DC kumbe wewe mchawi hivyo nakuogopa sana sasa
 
D,

Afadhali niitwe mchawi wa kufikirika kama unavyonyambua lakini siyo wa kujianika hadharani kama Babu wa Loliondo...Upuuzi mtupu!
 
We DC wewe wa kufikirika? Unaonyesha wewe mchawi kabisa
 
Bigie anasema eti Tuisheni huko kwa MR inakwenda uzuri
Ameniambia MR amemtuma akirudi nije kumpa AD tuisheni kidogo,,,,,,,,
 
Mhuuuuuuu!!!!!:lol::juggle:
:hug: :love:
A%20S-heart-2.gif
Love is in the AYYYYYEEEER!!!
A%20S-heart-2.gif
:love::hug:
​
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom