Bigirita What Happened my Brother

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,262
Bigirita BANNED.

Pole sana umefanya nini tena au ndo mambo ya sokwe ya wasira???

Hope will be back soon.

DA
 
Bigirita BANNED.

Pole sana umefanya nini tena au ndo mambo ya sokwe ya wasira???

Hopewill be bck soon.

DA
Bigie atakuwa mapumzikoni DA, thanks for checking on him.
....and thanks for pointing the fact hapo kweny bold.
 
Mambo ya kawaida ya JF hayo.
Karibu Korogwe. Korogwe raha sana, hakuna Siasa wala mbuga za wanyama.
Nasikia Dar kuna simba huko mbagala, sokwe huko mikocheni na nyani na tumbili huko changanyikeni.
 
Bigirita BANNED.

Pole sana umefanya nini tena au ndo mambo ya sokwe ya wasira???

Hopewill be bck soon.

DA
Nawaomba msamaha wana JF always nilikuwa nikidhania Bigirita ni msichana kumbe sivyo.
Mpeni pole mkimwona mtaani.
 
Karibu Korogwe. Korogwe raha sana, hakuna Siasa wala mbuga za wanyama.
Nasikia Dar kuna simba huko mbagala, sokwe huko mikocheni na nyani na tumbili huko changanyikeni.
Ahaaaa ahaaaa ahaaaa ahaaaa:lol::lol::lol::lol: nimekupata sound and clear tuko pamoja.
 
Unajua JF kuna tatizo limeingia la kuwatafutia watu BAN kwa makusudi na hilo limeishajitokeza mara 3 na sasa naona limetokea kwa Bigirita yaani mtu anaacha kuchangia mada yeye kazi yake moja tu kufuatilia mtu fulani hadi apewe BAN kuna watu humu ndani they are MORON'S
 
watu hadi waanzishe thread eti kwa nini flani hajapigwa Ban, mbona dlani mmempiga ban kwa kusema kama alivyosema huyu! sijui Quinine ni Ba**a ake!
 
Hii tabia inanikera kupita maelezo.

Haya bana kila la heri wapendwa .

Jioni njema hope Big utarudi mapema
 
Jamani nipo nae hapa pembeni nampa tuisheni, ila anasema amewamic sana atarudi baada ya wiki moja :lol::lol::lol:
 
watu hadi waanzishe thread eti kwa nini flani hajapigwa Ban, mbona dlani mmempiga ban kwa kusema kama alivyosema huyu! sijui Quinine ni Ba**a ake!
Halafu cha kushangaza MODS nao wanajiingiza kwenye mjadala kheeee kheeee lol
 
Unajua JF kuna tatizo limeingia la kuwatafutia watu BAN kwa makusudi na hilo limeishajitokeza mara 3 na sasa naona limetokea kwa Bigirita yaani mtu anaacha kuchangia mada yeye kazi yake moja tu kufuatilia mtu fulani hadi apewe BAN kuna watu humu ndani they are MORON'S

Uko sahihi mkuu, wanakera sana, But dawa yao inachemka! :smash:
 
Hii tabia inanikera kupita maelezo.

Haya bana kila la heri wapendwa .

Jioni njema hope Big utarudi mapema
He will dear, atarudi na Tshirt ya JF kabisa
Infact, biashara ya Tshirts zenye print ya comparison ya mwanasiasa Wa***a na yule jamaa wa mwituni inaweza kuwa biashara nzuri sana, nitamshauri aanzishe that line of business,,,,,,TSHIRTS za wanyama wa mwituni.
 
Back
Top Bottom