Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,276
- Thread starter
- #81
Haisaidii hata hivyo, Big Bro Biggie aka B - Cubic ataendelea kubaki kileleni
Rev Masa ataendelea kugawa dozi za Ukimwi mpaka watu wapone wapende wasipende
Dada Marytina ataendelea kuwasuta Masharobaro mpaka awapige mabao
hawa Legends wa JF watarudi tu, na wakirudi tu hata wakikohoa nawagongea senks 5 mfululizo
Well Said Mkulu big up watarudi tuuuuuu