Biggest slums in africa

Biggest slums in africa

Hivi nitajie maeneo ambayo yanaweza kuwa slums hapa dar...kigogo? Msasani?wapi?
Sijatembelea meneo yanoifikia kuwa slums kwa muda mrefu sana tangu nijikwamue, lakini Dar yapo ambayo ni haya
1731730755353.png

Ila nilijenga mwanza pale Mkolani nikiwa kati ya watu wa kwanza kujenga ikijulikana mji utapanuka. baada ya miaka ishinini na tano, Mkorani nilipojenga napo patakuwa Slum muda wowote kwa vile viongozi wetu hawajui maana ya mipango miji kabisa. Niko mbioni kufikisha malalamiko yangu jiji ambapo kuna mtu amekuja kujenga kijumba chake kwa kutumia ukuta wa fense ya nyumba yangu kama ukuta mmojawapo wa nyumba yake kwa hiyo siwezi ku-maintain fense yangu tena. Nina mpango wa kubomoa ukuta huo usiko mmoja kabla ya kuujenga tena kwani ni wa kwangu ila kwanza ninataka mamla zijua jinsi slum zinavyojitokeza.
 
Unaijua manzese wewe?hii inayochipua Kila siku hotels na vitega uchumi vya Kila aina?
Labda vile vijumba vya zamani vya urithi ndo umeona kigezo..haina sifa ya kuitwa slum
Usione hapo mita 500 kutoka barabarani useme kote...tembea manzese yoote hadi buguruni useme hicho ni nini ?
 
Sijatembelea meneo yanoifikia kuwa slums kwa muda mrefu sana tangu nijikwamue, lakini Dar yapo ambayo ni haya
View attachment 3153466

Ila nilijenga mwana pale Mkolaninikiwa kati ya watu wa kwanza kujenga ikijulikana mjia utapanuka. baada ya miaka ishinini natano, Mkorani nilipojenga napo patakuwa Slum smuda wowote kwa vile viongozi wetu hawajui maana ya mipango miji kabisa. Niko mbioni kufikisha malalamiko yangu jiji ambapo kuna mtu amekuja kujenga kijumba chake kwa kutumia ukuta wa fense ya nyumba yangu kama ukuta mmojawapo wa nyumba yake kwa hiyo siwezi ku-maintain fense yangu tena. Nina mpango wa kubomoa ukuta huo usiko mmoja kabla ya kuujenga tena kwani ni wa kwangu ila kwanza ninataka mamla zijua jinsi slum zinavyojitokeza.
Ungetembele kwanza hayo maeneo Kisha uje kuandika tena
 
Usione hapo mita 500 kutoka barabarani useme kote...tembea manzese yoote hadi buguruni useme hicho ni nini ?
Sie tumepiga hatua mkuu...kama tungekuwa nazo hata katika hizo research za kimatafa tungekuwepo kwenye list.ni kweli dar zinaweza kuwepo slums sie tunaita uswahilini
Lakini ndo vile hazina Ukubwa huo wa kutosha Wala kuwa overpopulated kama wenzetu..
 
Ungetembele kwanza hayo maeneo Kisha uje kuandika tena
Inawezekana hujui kuwa nilipomaliza chuo ujanani mwangu nikiwa napata mashahara wa Sh 5000 kwa mwenzi niliishi mojawapo ya maeneo hayo. Nilipojikwamua sikurudi tena, lakini haina maana ya kjuwa hayo tena.

Mwaka 2001 nilijenga bungalow pale Mwanza Mkolani pembeni ya kilima nikiwa peka yangu, baada ya miaka 15 kilima chote kimekuwa slum. In fact Mwanza sehemu zote za milimani ni slums sasa hivi.
 
Nakubali slums zipo but elewa neno "biggest"
Maybe tunazo lakini sio Kwa Ukubwa huo wa wenzetu,tungekuwa kwenye list
 
Kenya wana uchumi mkubwa kuliko TZ, lakini wana maisha magumu kuliko watanzania. Juzi nilikuwa maeneo ya Makuweni na Kemana, kusini mwa Kenya, vijumba vya mabati pamoja na watu (waliokonda?) wembamba kama nyuzi za guitar vilitosha kunipa picha halisi ya maisha yao.
 
Nakubali slums zipo but elewa neno "biggest"
Maybe tunazo lakini sio Kwa Ukubwa huo wa wenzetu,tungekuwa kwenye list
Kwani jibu langu la kwanza lilisemaje? Nilisema kuwa tunazo slums lakini siyo kubwa za kufikia watu 80.000. rudi nyume ukaangalie niliandika nini. Nyumba yangu moja huko Mwanza imezungukwa na slums za watu kama 200 hadi 400 hivi lakini siyo wengi sana zaid ya kuwa kero tu.
 
Manzese.....hadi buguruni bonde lile loote slams
Wewe huenda huijui Manzese na hujui maana ya 'Slum' zinazozungumziwa hapa, unaisikia.
Mazingira ya Manzese kwa zaidi ya 80% yameboreshwa vizuri huenda kuliko makao ya miji mingi hapa Tanzania.
Wewe ulishawahi kuona wapi slum ambayo:
1. Imejaa barabara za lami mitaani
2. Imejaa nyumba za maghorofa za kisasa
3. Utitiri wa hoteli za kisasa, lodge, bar, migahawa, mini supermarkets, kumbi za starehe nk.
4. Imejaa taa za barabarani za usalama za usiku.
5. Imejaa miundo mbinu ya mabomba ya maji, umeme na mitaro ya maji machafu.
6. Kuna shule binafsi nyingi la 'English medium'
7. Utiriri wa misikiti na makanisa makubwa/kisasa.

Nenda manzese utaona hayo.
 
Kabisa mkuu. Imagine huo mtaro unasimama hivo mizezi na miezi utakosa malaria na typhoid?
Lakini unakuta watu wanadunda

Halafu wao wenyewe kiasili wachafu
Nilipita siku moja Kibera laa
Yaani uchafu wa kinyesi na taka zilizooza miaka, hiyo harufu nilikosa raha ila wenyeji ndio kwanza wanachoma mishkaki na mahindi na wana wateja kibao
 
Wewe huenda huijui Manzese na hujui maana ya 'Slum' zinazozungumziwa hapa, unaisikia.
Mazingira ya Manzese kwa zaidi ya 80% yameboreshwa vizuri huenda kuliko makao ya miji mingi hapa Tanzania.
Wewe ulishawahi kuona wapi slum ambayo:
1. Imejaa barabara za lami mitaani
2. Imejaa nyumba za maghorofa za kisasa
3. Utitiri wa hoteli za kisasa, lodge, bar, migahawa, mini supermarkets, kumbi za starehe nk.
4. Imejaa taa za barabarani za usalama za usiku.
5. Imejaa miundo mbinu ya mabomba ya maji, umeme na mitaro ya maji machafu.
6. Kuna shule binafsi nyingi la 'English medium'
7. Utiriri wa misikiti na makanisa makubwa/kisasa.

Nenda manzese utaona hayo.
Nenda post 21 usomee
 
TEN BIGGEST SLUMS IN AFRICA BY POPULATION!

-1. Kibera, Kenya 🇰🇪: 700,000
-2. Mathare, Kenya 🇰🇪: 500,000
-3. Ajegunle, Nigeria 🇳🇬: 500,000
-4. Shomolu, Nigeria 🇳🇬: 400,000
-5. Khayelitsha, South Africa 🇿🇦: 400,000
-6. Cazenga, Angola 🇦🇴: 400,000
-7. Makoko, Nigeria 🇳🇬: 300,000
-8. Alexandra, South Africa 🇿🇦: 200,000
-9. Mukuru Kwa Njenga, Kenya 🇰🇪: 100,000
-10. Agbogbloshie, Ghana 🇬🇭: 80,000
Hatar
 
Mitindo Yao ya Maisha ikoje humo?
Mibaya sana.. Mabinti wadogo wa miaka 10 wanatembea na silaha kama visu bisibisi na nyembe. Wanavuta sigara na kuvuta bundi.. Wameshaharibika katika umri huo
Kibera ni ubabe wizi fujo nk

Tulikuwa tunaenda kule kugawa chakula cha mchana (wali maharage) siku tatu za wiki.. Tunapaswa kufika pale saa nane kamili.. Ole wetu tuchelewe 😀
Tukifika pale mtaani tunakuta foleni ndefu ya vitu mbali mbali ndala, jiwe kibakuli mti nk.. Hivyo vitu ni foleni za watu. Wakishaona gari unakuta ghafla foleni inajaa

Ole wake atokee mmoja ajifanye kuipita foleni panachimbika.. Kinawaka hapo hapo na ishu ya chakula inawekwa pembeni kwanza
Kibera hakuna mnyonge pale
 
Back
Top Bottom