Biggest slums in africa

Biggest slums in africa

Wewe huenda huijui Manzese na hujui maana ya 'Slum' zinazozungumziwa hapa, unaisikia.
Mazingira ya Manzese kwa zaidi ya 80% yameboreshwa vizuri huenda kuliko makao ya miji mingi hapa Tanzania.
Wewe ulishawahi kuona wapi slum ambayo:
1. Imejaa barabara za lami mitaani
2. Imejaa nyumba za maghorofa za kisasa
3. Utitiri wa hoteli za kisasa, lodge, bar, migahawa, mini supermarkets, kumbi za starehe nk.
4. Imejaa taa za barabarani za usalama za usiku.
5. Imejaa miundo mbinu ya mabomba ya maji, umeme na mitaro ya maji machafu.
6. Kuna shule binafsi nyingi la 'English medium'
7. Utiriri wa misikiti na makanisa makubwa/kisasa.

Nenda manzese utaona hayo.
Ndio mimi nilikua nawaambia watu humu ndani wana misconcept unplanned settlements na slums.
Characteristics za slums;
*Low/poor building quality.
*Lack of sanitation.
*Lack of electricity.
*Lack of essential infrastructures like roads,hospitals,schools e.t.c.
*Lack of pure,clean and safe water.

Sasa Manzese,Tandale,Buguruni,Mwananyamala huko kuna nyumba za tofali,Kuna barabara,Kuna shule,Kuna hospitali,Kuna maji safi na salama,Kuna mfumo wa maji taka,Kuna umeme n.k n.k.
Je hivi vitu Kibera unaviona!??
Kibera Kuna nyumba za mabati,umeme hakuna wa uhakika,hakuna barabara za uhakika,hakuna mfumo wa maji taka hata picha zimeonesha watu wengine wamejenga pembeni ya maji taka yaliyosambaa.
Halafu mtu anafanananisha Kibera na Mwananyamala.
Tanzania Kuna UNPLANNED SETTLEMENTS TU.
Ila sio slums.
 
Manzese wewe hupajui ingia humo ndan ndan ujionee mwenyewe aisee utashangaa
Manzese hakuna slums , inawezekana huijui manzese vizuri.....unaweza nitajia viunga vya hiyo manzese ya ndani ndani kabisa ni vipi na vinaitwaje!!!???
 
Mjinga sana.
Anakwambia Keko Machungwa ni slums😂😂😂😂😂.
Hivi hata hiyo keko Machungwa kaitembea yote huyu!?
Mkuu nimegundua wengi wanaochangia hawazijui hizo sehemu wanazoziongelea zaidi nao wamehadithiwa
Dar hakuna slums japo Kwa mbaaali Kuna sehemu km isingekuwa wawekezaji kuenda kuharibika mfano pale kurasini polisi ufundi nyuma ya Ile petrol station ya puma ambapo Kuna mwekezaji wa kisomali amepanunua na sehemu ya jangwani kuanzia Sahara mpk baghdad kuibukia moto ya baraka napo kulielekea kuharibika,ila ndo hivyo worldbank wameshalipa na kumeanza kuvunjwa
 
Mkuu nimegundua wengi wanaochangia hawazijui hizo sehemu wanazoziongelea zaidi nao wamehadithiwa
Dar hakuna slums japo Kwa mbaaali Kuna sehemu km isingekuwa wawekezaji kuenda kuharibika mfano pale kurasini polisi ufundi nyuma ya Ile petrol station ya puma ambapo Kuna mwekezaji wa kisomali amepanunua na sehemu ya jangwani kuanzia Sahara mpk baghdad kuibukia moto ya baraka napo kulielekea kuharibika,ila ndo hivyo worldbank wameshalipa na kumeanza kuvunjwa
Hawajui hata huyo nilokua nabishana naye inaonekana amefika Dar muda sana,hajui hata kama kuna project bonde msimbazi.
Pia wanafananisha makazi yasiyopangika/holela na makazi duni.
Dar kuna makazi holela/yasiyopangika ila hakuna makazi duni.
Na sasa hivi Kila eneo Dar linavunjwa na kujengwa tena,hiyo Tandika na viunga vya Temeke waarabu na wahaya wananunua na kushusha vigorofa daily.
Soon makazi holela Dar yatafutika pia kama sio kupungua.
 
Hivi nitajie maeneo ambayo yanaweza kuwa slums hapa dar...kigogo? Msasani?wapi?
Hamna maeneo ya hivyo bongo, ni mji tu umepangika hovyo lakini slums za kama hizo za Nigeria au Kenya sijaziona hapa bongo.

Hukohuko wanakoita uswahilini kuna nienge nzuri tu ila ndo ivo mpangilio mbovu hata gari haipiti, tofauti na picha hapo juu mtaa mzima ni vijumba vya bati, mitaro michafu.
 
Ukitaka ujue slum ni nini, fika hapo Kenya maeneo ya Kibera ndio utaelewa.
Kwa kuzunguka kwangu kote hapa Dar, sijawahi kuona slum, wala dalili yoyote ya slum kuwepo Dar.

Kwa lugha nyepesi sana, Slum ni eneo lenye makazi duni yasiyo ya kudumu yaliyosongamana sana na lisilo na huduma zozote muhimu za kijamii au binafsi.
 
M
TEN BIGGEST SLUMS IN AFRICA BY POPULATION!

-1. Kibera, Kenya 🇰🇪: 700,000
-2. Mathare, Kenya 🇰🇪: 500,000
-3. Ajegunle, Nigeria 🇳🇬: 500,000
-4. Shomolu, Nigeria 🇳🇬: 400,000
-5. Khayelitsha, South Africa 🇿🇦: 400,000
-6. Cazenga, Angola 🇦🇴: 400,000
-7. Makoko, Nigeria 🇳🇬: 300,000
-8. Alexandra, South Africa 🇿🇦: 200,000
-9. Mukuru Kwa Njenga, Kenya 🇰🇪: 100,000
-10. Agbogbloshie, Ghana 🇬🇭: 80,000
Manzese,tandale,buguruni,kigogo,mburahati,mbagala huko kuna mabanda na vijumba hata kwa baiskeli huwezi kupita
 
M

Manzese,tandale,buguruni,kigogo,mburahati,mbagala huko kuna mabanda na vijumba hata kwa baiskeli huwezi kupita
Kimsingi ktk maeneo yoote uliyoyataja hayana sifa za kuitwa slum....ikiwa kupitisha baiskeli ndo sifa unayoijua basi Kuna maeneo mengi hapa mjini beiskeli haiwezi kupita
 
Mjinga sana.
Anakwambia Keko Machungwa ni slums😂😂😂😂😂.
Hivi hata hiyo keko Machungwa kaitembea yote huyu!?
Dogo ingia mjini kwanza tujadiliane
Pimbi wewe
Uko nanjilinji unahadithiwa kuhusu dar
Kiwaki wewe
 
Back
Top Bottom