Biggest slums in africa

Biggest slums in africa

Mibaya sana.. Mabinti wadogo wa miaka 10 wanatembea na silaha kama visu bisibisi na nyembe. Wanavuta sigara na kuvuta bundi.. Wameshaharibika katika umri huo
Kibera ni ubabe wizi fujo nk

Tulikuwa tunaenda kule kugawa chakula cha mchana (wali maharage) siku tatu za wiki.. Tunapaswa kufika pale saa nane kamili.. Ole wetu tuchelewe 😀
Tukifika pale mtaani tunakuta foleni ndefu ya vitu mbali mbali ndala, jiwe kibakuli mti nk.. Hivyo vitu ni foleni za watu. Wakishaona gari unakuta ghafla foleni inajaa

Ole wake atokee mmoja ajifanye kuipita foleni panachimbika.. Kinawaka hapo hapo na ishu ya chakula inawekwa pembeni kwanza
Kibera hakuna mnyonge pale
Aiseenimecheka huku nasikitika
 
Ila watu wa mikoani wana chuki na Dar sijui kwanini, ukisoma comments utaona,
Jamani hizo picha zimenifikirisha sana, daah!
Mtu akaja kafikia manzese miaka 15 ilopita Leo anatamka manzese na buguruni ni slum..🤣

Na ukiona neno "Dar slum" ujue huyo ni mkenya.ndo wanavyoita kujifariji
 
TEN BIGGEST SLUMS IN AFRICA BY POPULATION!

-1. Kibera, Kenya 🇰🇪: 700,000
-2. Mathare, Kenya 🇰🇪: 500,000
-3. Ajegunle, Nigeria 🇳🇬: 500,000
-4. Shomolu, Nigeria 🇳🇬: 400,000
-5. Khayelitsha, South Africa 🇿🇦: 400,000
-6. Cazenga, Angola 🇦🇴: 400,000
-7. Makoko, Nigeria 🇳🇬: 300,000
-8. Alexandra, South Africa 🇿🇦: 200,000
-9. Mukuru Kwa Njenga, Kenya 🇰🇪: 100,000
-10. Agbogbloshie, Ghana 🇬🇭: 80,000
Ila Kundustan Kuna balaa sio la Nchi hii 😂😂
 
Wakenya wote wanaishi kwenye slums, ukipangaisha chumba kenya ni kidogo sana kama ni mtu mrefu ukilala usiku ukajinyoosha miguu na kichwa vinagusa ukuta
Uchumi wao ni mkubwa kuzidi sie bwana..wanaishi kwenye skycrapers 🤣
 
Tanzania slums hatuna isipokuwa hatuna usimamiz wa mipango miji baadhi ya maeneo hayakutakiwa kukaliwa na watu lkn yanakaliwa na watu kama huko bonde la mto msimbazi najua wanaobisha wangeenda hata kibera wakaone slum ni nini au huko india
 
Back
Top Bottom