Sijatembelea meneo yanoifikia kuwa slums kwa muda mrefu sana tangu nijikwamue, lakini Dar yapo ambayo ni haya
View attachment 3153466
Ila nilijenga mwana pale Mkolaninikiwa kati ya watu wa kwanza kujenga ikijulikana mjia utapanuka. baada ya miaka ishinini natano, Mkorani nilipojenga napo patakuwa Slum smuda wowote kwa vile viongozi wetu hawajui maana ya mipango miji kabisa. Niko mbioni kufikisha malalamiko yangu jiji ambapo kuna mtu amekuja kujenga kijumba chake kwa kutumia ukuta wa fense ya nyumba yangu kama ukuta mmojawapo wa nyumba yake kwa hiyo siwezi ku-maintain fense yangu tena. Nina mpango wa kubomoa ukuta huo usiko mmoja kabla ya kuujenga tena kwani ni wa kwangu ila kwanza ninataka mamla zijua jinsi slum zinavyojitokeza.