=*=*=....BIG UP Faiza Foxy....=*=*=

Swali zuri... sina hakika, But najua atatujuza...

Na ni kweli the type of lady she is... hata mimi napenda nijue the husband...

ADii, Tell Faiza Foxy I say hi, and wish her good health and long life. May God bless her wherever she may be.
Faiza Foxy, I know you don't like my avatar, but I like you!!
 
ADii, Tell Faiza Foxy I say hi, and wish her good health and long life. May God bless her wherever she may be.
Faiza Foxy, I know you don't like my avatar, but I like you!!

Delivered!! Raj it is only fair you know umenichekesha... Thanks...

BTW What is wrong with the Avatar? Sio yule GT??
 
Big up FF, ndio kwanza nina umri wa miaka 22, sijafikiria hata kuoa, lakini punguza ukauzu.. unasomeka vibaya

Thanks, but shika adabu yako kuniita kauzu mtu ambae naweza kuwa kama mamayako 4 X over. Fanya heshima japo kidogo.

So far nimepitia posts nyingi katika hii nyuzi lakini hata wale ambao tunabishana, kupingana, kushupaliana na kutokuelewana kabisa na kuitana majina ya kiajabu-ajabu kwenye majukwaa mengine wamekuwa so good to me kwenye hii nyuzi, wakaniletea feelings ambazo zimekuwa highly emotional, I was not that strange creature any more. Haa! hata hao wote basi hujaona mfano? Unanshangaza!
 
Miaka thelathini !!!! Hongera sana? Ndiyo maana mda mwingi yupo humu Jamvini maana alikwisha jistaafia siku nyingi sasa kwasasa anajipumzikia kwa kutumia mda mwingi Jf.

Umeona eehhh! Ahsante sana.
 
Nashangaa hiyo 30yrz kaifikisha vp! Huyo mume wake ana kazi sana!!!
Anyway... Hongera!

Wala usishangae, kazi alikuwa nayo zamani, the first 10 years, I was wild!, the second 10 I was mild somehow, Now I am tamed. Age matters. Unanchekesha!

Ahsante sana.
 
Mi sijaona kitu bado zaidi ya kutetea magamba nadhani hata wewe unatoa hongera ni mlengo wa magambas. anyway siku zenu zinahesabika za kuitwa chama cha upinzani ka si kufa kabisa.
 
Mi sijaona kitu bado zaidi ya kutetea magamba nadhani hata wewe unatoa hongera ni mlengo wa magambas. anyway siku zenu zinahesabika za kuitwa chama cha upinzani ka si kufa kabisa.

Sign of Victory - R. Kelly
 
My kids where giving me hard time here, thank God they've gone out with their friends and Gozi is gone to sleep, now I'll try to answer as many posts possible.

ADii (just saw it) so much better. Thanks for standing up for me.
 
Nilipoona ile post ya jana knew the reason behind your absence... hebu leo maliza dear...lol

And you are my twin... standing up for you is inevitable...
 
<br />
<br />
Makonzi zamani, mwanzo mwanzo, akinila konzi na mie namrudishia mpaka kachoka na mie nikachoka. Sasa tena wakati wa kulea vijukuu.

He deserves more than a Noble, to be with me for more than thirty years (30 Years + 2 days) yataka moyo. I was so wild but no more.
 
:rapture:
 
Ahsante sana.

AlhamduLlillah, namshukuru saana kwa kutufikisha hapa tulipo, si kwa uhodari wetu bali ni kwa shani yake. Na kila mmoja wetu amjaalie kila jema alifikirialo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…