DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,312
- 109,388
Kaka mbona unampigia sana debe😂😂😂😂@MzabzabHa ha ha......
Usikute wote anawatania TU,
Wewe TU ndo kwako yuko serious
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema nyingi ni story za Uwongo, na sijui huo muda huwa anaupatiaga wapi, ila Bora yeye kuliko yule sijui Mpwayungu villageJamaa ni msimuliaji mzuri sana wa visa/mkasa humu jukwaani. Ukiwa unasoma andiko lake pamoja na content anayozungumza lakini mpangilio pia huwa uko vizuri sana. Big Up Deep Pond![]()
Ila unajidai sana, si nilishakuambia? 😅Nshatia timu mkuu makaveli10
Uandishi ni kipaji na kipawa pia.. Tusipompa credit zake sasa hivi tutampa liniJamaa ni msimuliaji mzuri sana wa visa/mkasa humu jukwaani. Ukiwa unasoma andiko lake pamoja na content anayozungumza lakini mpangilio pia huwa uko vizuri sana. Big Up Deep Pond![]()
Kwakweli ni namba moja Jf kwa kusimulia na uandishu uloonyoka na aanaeleweka
Ni kipaji tuNachomkubali mwamba hana habari za kesho wala keshokutwa na kwa wiki anaweza kuwatwangia masimulizi hata mawili yaliyoshiba sijui visa anatoa wapi jamaa
Wee mzee kilinge si umefunga na Sasa umeokoka unapambna na mch kimaroUandishi ni kipaji na kipawa pia.. Tusipompa credit zake sasa hivi tutampa lini
DeepPond Hongera sana brother siku ukipitaMsata karibu sana kilingeni tutete kidogo na kupata supu ya kuku wa kienyeji faida ya mganga
Hakika huyo mwamba huwezi kuta kakozea kutypu Wala nn zege lake halilaliKwakweli ni namba moja Jf kwa kusimulia na uandishu uloonyoka na aanaeleweka
Ana uandishi hata km inaweza kuwa chai tangawiz haiw nyingi![]()