Big up Deep Pond

Big up Deep Pond

Jamaa ni msimuliaji mzuri sana wa visa/mkasa humu jukwaani. Ukiwa unasoma andiko lake pamoja na content anayozungumza lakini mpangilio pia huwa uko vizuri sana. Big Up Deep Pond
Sema nyingi ni story za Uwongo, na sijui huo muda huwa anaupatiaga wapi, ila Bora yeye kuliko yule sijui Mpwayungu village
 
Umeamua kuomba simulizi ya mama j kiaina sio
 
Jamaa ni msimuliaji mzuri sana wa visa/mkasa humu jukwaani. Ukiwa unasoma andiko lake pamoja na content anayozungumza lakini mpangilio pia huwa uko vizuri sana. Big Up Deep Pond
Uandishi ni kipaji na kipawa pia.. Tusipompa credit zake sasa hivi tutampa lini
DeepPond Hongera sana brother siku ukipitaMsata karibu sana kilingeni tutete kidogo na kupata supu ya kuku wa kienyeji faida ya mganga
 
Kweli huyu jamaa ana kipaji

Kongole DeepPond

Hlf brother siku nikitulia nitakusaka nikusimulie visa vyangu uviweke humu- ninavyo vingi sana.

Ultimatum itakuwa ya mkasa wa Mimi na mke wangu- tuombee uzima
 
Msimuliaji mzuri na hua anamaliza episode zote hana mambo ya itaendelea hataki upuuzi huo
 
Kwakweli ni namba moja Jf kwa kusimulia na uandishu uloonyoka na aanaeleweka
 
Nachomkubali mwamba hana habari za kesho wala keshokutwa na kwa wiki anaweza kuwatwangia masimulizi hata mawili yaliyoshiba sijui visa anatoa wapi jamaa
 
Ni kipaji tu
 
Uandishi ni kipaji na kipawa pia.. Tusipompa credit zake sasa hivi tutampa lini
DeepPond Hongera sana brother siku ukipitaMsata karibu sana kilingeni tutete kidogo na kupata supu ya kuku wa kienyeji faida ya mganga
Wee mzee kilinge si umefunga na Sasa umeokoka unapambna na mch kimaro

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom