DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,312
- 109,408
Binamu,
Naonewa Sana humu jf

Binamu,

Nipo mzeya vipi kwani? Nahangaika kumtongoza sophy huku pm
Kwani hawa kimeumana tayari
Wasikuonee bwanaBinamu,
Naonewa Sana humu jf![]()
😂😂Anatafuta wanawake wengine huko majukwaani😂😂😂
Bado TU hakupi jibu?Nipo mzeya vipi kwani? Nahangaika kumtongoza sophy huku pm
Mvumilie tu,Anatafuta wanawake wengine huko majukwaani
![]()

Yupo,Sifa zote zimfikie mama J popote pale alipo🫱🫲
🫱
🫲
![]()

Hawez huyu zipu yake imeharibika haifung hata tupo km sita hivMvumilie tu,
Uyo ukishamkubalia ombi lake atatulia tu![]()
🤣🤣🤣🤣🤣Khaa! we, Dada Sophy!!Ana uandishi hata km inaweza kuwa chai tangawiz haiw nyingi😂😂😂😂
Sifa ni kusifiwa.. UnastahiliKama ni kweli
Shukran sana mtoa mada![]()
Wengine wanazidisha,chai inakuwa kma Ina pilipil 😂😂kakaangu deepond anabalance 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣Khaa! we, Dada Sophy!!
Chai yenye tangawizi nyingi ndio tamu sasa. Unakunywa huku unakunja uso kidogo😜😜
Umemiss habari za Ibiza beach mkuuMi namkubali zaid Mkuu Deep Pond Hasa Kwenye Uchambuzi Wake Wa Filamu Za Ponografia Na Mastaa Wake
Sent from my Infinix X604 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa apunguze sifa ni kweli anajua kutunga stori za mama J
Ha ha ha......Hawez huyu zipu yake imeharibika haifung hata tupo km sita hiv
