Big up crdb kwa simbanking | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Big up crdb kwa simbanking

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Hakeem makamba, Jan 10, 2012.

 1. Hakeem makamba

  Hakeem makamba Senior Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ebwana me nawapa Big up sana CRDB kwa huduma yao mpya ya SIMBanking kwani ni ya ukweli kinoma. Haina mambo ya kujiunga kwa fomu na makaratasi kibao coz kitu ni hewani tu, unatwanga *150*03#, kitu na box.

  Me naikubali zaidi coz ina mpango mzima wa kuweza kutoa mkwanja kwenye akaunti yangu na kulipa M-PESA, AIRTEL-MOney fasta.Kiukweli hii imefanya maisha kuwa rahisi sana.

  Pamoja Sana CRDB.
   
 2. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimeitumia kwa muda wa wiki tatu sasa, naona iko poa.
   
 3. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,780
  Likes Received: 6,114
  Trophy Points: 280
  Nilitaka kujiunga na CRDB siku za nyumba lakini niliamua ku-cancel forever wazo hilo baada ya fedha nyingi za UFISADI hasa wa EPA kuonekana zilipitia CRDB. Hadi benki ya Wakenya KCB walistukia dili la EPA na kukataa baadhi ya fedha kupitishwa kwenye benki yao lakini benki 'yetu' CRDB ilikubali uchafu huo.

  Nadhani badala ya kusifia kila kitu kuna haja sasa ya sisi wananchi kuzisusia taasisi za kibiashara zitakazoonekana ku-support ufisadi kwa njia moja ama nyingine IWE KWA KUJUA, KUTOKUJUA, AU KWA BAHATI MBAYA hata kama watatoa huduma nzuri namna gani! In the long run ni sisi wananchi ndio tutakaoumia kwa vitendo vyao. Ni wajibu wao kuhakikisha hilo halitokei.
   
 4. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Yes Iko ok sana, mara ya kwanza nilitumia CRDB SimBanking ya internet ilijuwa inazingua sana. Hii message based is brilliant. Tatizo ni MIJITU YA TIGO siku zote yanakuwa ya mwisho kupata treni za mabadiliko. Otherwise thumbs up CRDB.
   
 5. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  wameiga kwa nmb.....mwanzoni walijifanya wajanja wakaja na ile simbanking ya web-based...walipigwa fraud consecutive mpaka wakadata ikabidi wawe wapole tu....ile system iliyopita hata miaka miwili haina, alafu ina limitations nyingi sana, simu ili iweze kuaccess simbanking ilitakiwa iwe inasupport gprs sasa hapo ndo balaa, yani umwambie mtu aitupe simu yake ya tochi then anunue simu itayokua na gprs for simbanking??? basi ikawa imeshindikana ikabidi wabadilishe the whole system, badala ya kutumia wap sasa ni ussd....so big up to NMB for initiating this idea....simple technology affordable and user friendly....

  CRDB IT project team should resign.....wameiingiza bank kwenye matumizi yasiyokua na lazma.....walichoki-implement sasa wangeweza kuki-implement two years back...

  sisi wanahisa tunataka kujua nani atacover ile hela iliyotumika kununua ile simbanking nyingine??
   
 6. W

  Watu Nyomi Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Juzi nilisaau kadi yangu ya TemboCardMasterCard nyumbani, wakati huo pia nina shida na pesa, ikabidi nihamishie pesa kwenye akaunti ya mshkaji kupitia njia ya Simbanking. Kisha yeye akauchota kwenye akaunti yake palepale na kunipa, pale! pale!. Du! Simbanking ni kiboko, Sijaonaga. Saaaaaaaafiiiiiiiiiiii!
   
 7. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tunaposifia, inabidi tuhoji Gharama zinazomkuta mteja kwa kutumia hizi huduma za kibenki...
  Tanzania ni moja kati ya nchi chache sana zinazoentertain ujangili wa wazi wazi...
  CRDB na bank zote, hawadisclose cost ambazo mteja atakuja kuencur iwapo atatumia huduma hizo/zao... Kwa mfano, kwa mwezi service charge sh 1500, kutoa pesa kwenye atm 600 per transaction, kuangalia salio sh 50, kuprint mini statement kwa atm sh 300... Sasa kama benki ina wateja milioni moja tu, kwa mwezi inajipatia 1500x1,000,000 na kama katika wateja hao milioni wateja laki moja wakitoa pesa mara 10 kwa mwezi, hizo ni 100,000x10x600...
  Hapo hapo banks zina queue za ajabu, staff wenye viburi, mikopo masharti magumu kupita maelezo, riba asilimia 18 kwa hela wanazovuna kwetu wenyewe, hakuna magawio ya maana kwa shareholders nk...
  Sasa hii sim banking inayointeract m-pesa na airtel money sijui itakuwa charge yake sh ngapi kwa transaction...

  Hizi ni benki zote nchini. No wonder nchi masikini kama hii ina banki zaidi ya 40... Na hakuna financial regulator ambaye ni accountable....

  Nina mpango wa kuanzisha movement kubwa sana ya kupinga bank charges...

  Mungu ibariki tanzania... Mungu waangamize mafisadi na wanyonyaji.
   
 8. kiwi2010

  kiwi2010 Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mbona inazingua kwenye kujisajili,mfano unapo weka namba ya siri ya ATM alafu inakwambia weka namba yako mpya ya siri,alafu hakikisha namba yako ya siri .mwisho unapata ujumbe (umekosea Namba ya siri ATM au namba ya kadi ya ATM).Ninavyo fahamu mimi namba ya kadi ya ATM ni namba yenye tarakimu 16 ambayo inapatikana kwenye uso wenye picha kubwa ya Tembo ,chini ya chip (gold),na namba ya siri ya ATM ninamba ambayo naitumia kwenye ATM ,Sasa mesegi nimekosea namba ya kadi ya atm au namba ya siri ya atm inatokana na nini?
   
 9. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,505
  Likes Received: 2,099
  Trophy Points: 280
  fuata masharti vizuri ni huduma nzuri tu na rahisi kujiunga pia inaokoa muda wa kwenda kwenye tawi mbali unapoteza mafuta kuchukua elfu 50, simply unahamisha hela toka kwenye akaunti na kupeleka m pesa unatoa nje tu ya nyumba yako. Unasave costs za mafuta kutoka kwa mtogole mpk CRDB kijitonyama kwa sh 200 tu
   
 10. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,590
  Likes Received: 1,676
  Trophy Points: 280
  Yeah, Its TRUE na sasa unalipia hata DSTV ukiwa home,
  BILA KUSAHAU PESA FASTA( Huitaji kuwa na ATM CARD kutoa hela kwenye ATM, Hii mtu yeyote anayetaka hela kutoka kwako unampa tu number za siri na kumuambia katoe hela kwenye ATM BILA CARD) CRDB hii naona bado!
   
 11. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,590
  Likes Received: 1,676
  Trophy Points: 280
  Yeah, Its TRUE na sasa unalipia hata DSTV ukiwa home,
  BILA KUSAHAU PESA FASTA( Huitaji kuwa na ATM CARD kutoa hela kwenye ATM, Hii mtu yeyote anayetaka hela kutoka kwako unampa tu number za siri na kumuambia katoe hela kwenye ATM BILA CARD) CRDB hii naona bado!
   
 12. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Safi sana...

  Naomba vijana waendlee kuwa wabunifu kwenye hii anga ya teknohama...:eyebrows:
   
 13. M

  Mchafukoge Member

  #13
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  CRDB IT Team should resign kwa kipi hasa? kama product ilishindikana sokoni then wakaamua kuja na nyingine ili kukidhi mahitaji ya wateja hicho ni kitu cha kawaida tu mzee.NMB ndio ina high amount of fraudlents through Pesa fasta, acha kupoteza ukweli, kwani unafikiri hatujui stori za wizi huo? au hatujui wale wanachuo waliofungwa Moshi kwa kuiba through hiyo service?.Hii ni sehemu ya kuelimishana na kujuzana sio ku-criticise tu kama ****.Unamaanisha nn unaposema wameiga NMB? ATM ya kwanza hapa Bongo ililetwa na STanChart kwahiyo unataka kusema Benki nyingine zote zenye ATM wameiga StanChart?
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kuhusu kuweka inakuaje sasa? hebu fungukeni wandugu.
   
 15. M

  Mwana Vyombo Member

  #15
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukishindwa kumkubali m2 kwa uwezo mkubwa alionao, bora kukaa kimya. CRDB wanaweza aisee!!!!. Najua kuna ndugu zako na marafiki zako wako Benki hiyo na wameshajiunga Simbanking. Waulize tu!. Utasema wazee wa pesa fasta wangesubiri wajipange.
   
 16. m

  mhondo JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Tıgo wana nını?
   
 17. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  mani
  mkuu salama? mie nilikuwa natumia ile simBanking ya zamani. naweza pia ku-switch kwenye hiyo teknolojia mpya kupitia *150*03#, ama? msaada please..
   
 18. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Mkuu, watanzania huwa ni wavivu sana kufikiria kitu kama icho. Juzi ilibidi niende bank kuulizia,cha ajabu, help desk officer alishindwa kunieleza gharama halisi, hata nilipomwomba kipeperushi, hakuna gharama yeyote ambayo wameandika kua utachajiwa. Uchunguzi wangu umegundua kuwa hii nayo ni staili ya wizi ulioalalishwa. Kuna charges utakazolipa kutokana na subscriber wa mtandao na kwa bank yenyewe. Ukitaka kujua hilo, usiweke airtime afu uanze kufanya transaction au jisajili ndo utaamini.
   
 19. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Tunaelekea tratiiiibu kwenye freemasons kuutawala ulimwengu ifikapo mwisho wa mwaka huu
   
 20. mwambojoke

  mwambojoke JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 831
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 80
  Hivi karibuni nimeona katika ATM zao kuna ishu ya "Cardless" it means unaweza kutoa pesa bila card au hii imekaaje wakuu? i need some info abt it pliz?
   
Loading...