Big Brother Africa (BBA) 2012 - Updates

Big Brother Africa (BBA) 2012 - Updates

Hawa jamaa wa Nigeria tayari wameanza kimbele mbele na maneno mingi mingi!!

Babu DC!!
 
huwa wanafake then ikifika eviction day wanatangaza hakuna house mate yeyote anayetoka..

I hope it stays that way pia kipindi hiki........unaweza zimia ati kama uko mule ndani
 
I hope it stays that way pia kipindi hiki........unaweza zimia ati kama uko mule ndani

ni noma kutoka wa kwanza mkuu,at least wale bata kidogo...
 
Oh my..mi nahis n fake nomination bwana..
So lets 4get th sad news!..n bring t on...le'the game begin".hmm
uyu baunsa..duh
kuna aka kadada kanakosema holla holla..hmm kana kelele cjuw ndo twaita kiherehere
 
Kaka unataka mambo ya my professional aim a musician, my daily bread is i have a band known as diamond, iam single with no kids, but i am here just to withdraw my name for this contest. Haha haaa haaa
 
Siyo demo mkuu,wabongo wamekalia kuti kavu kuanzia siku ya kwanza kabisa

Ni laana alizotupiga nazo Mwl Nyerere zinaendelea kututafuna, mpaka tutakapotia akili na kuupotezea ujinga ujinga wetu ndiyo tutatoka kimaisha na kuondokana na mikosi.
 
Jamni tujitahidi kuwapigia kura wa tz wenzetu wasitoke maana hao wazimbabwe angalau wako wa3 wakitoka hao wawili atabaki yule mwanamuziki.
 
mnaangalia wapi jamani online? mbona mie tangia housemates waingie sioni kitu au kuna mtandao mwingine?
 
Wa tz nimewapenda,hasa Hilda..anavutia..wanaopga kelele wataboa mapema sana
 
wale wakaka wa south africa mahendisamu bwana.....:flypig:
 
Julio huwa ni mtu smart
japo sio loud na nadhani kama huwa ana noma kiaina hivi.

But he is very cool, na sense of humour.

Wa tz nimewapenda,hasa Hilda..anavutia..wanaopga kelele wataboa mapema sana
 
wale wakaka wa south africa mahendisamu bwana.....:flypig:

..kabisaa,mwenyewe nimewaona!ila wadada,hmm wengi bila make up,they r finished!baadhi wawil watatu wazuri!!ila asubuh tutawaona vizuri!
Ila Hilda yupo cool
 
Julio huwa ni mtu smart
japo sio loud na nadhani kama huwa ana noma kiaina hivi.

But he is very cool, na sense of humour.

Kongosho,em nitoe ushamba..awa ni kina nani?awa wa Tz..nimewapenda kwakwel
 
Hilda macho yake yana nini?

Kila nikimtazama najikuta napotelea kwenye macho afu sitoki hapo.

Cammon, hayo macho jamani lol

..kabisaa,mwenyewe nimewaona!ila wadada,hmm wengi bila make up,they r finished!baadhi wawil watatu wazuri!!ila asubuh tutawaona vizuri!
Ila Hilda yupo cool
 
Hilda macho yake yana nini?

Kila nikimtazama najikuta napotelea kwenye macho afu sitoki hapo.

Cammon, hayo macho jamani lol

hilda ana mvuto wa kipekee..sexxxy!lol..n she has a son!
Waoh vzur kama cyo masupastarz,watakuwa after BBA
Ila hawa wanaopga kelele na kuongea ongea wataboa mapema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom