Wafatiliaji wa Big Brother Titans SA tukutane hapa hadi final

CHIBA One

JF-Expert Member
Nov 16, 2018
560
2,087
Ni wiki ya 8 sasa Vijana wanapambania dolla laki moja kwa mshindi Mmoja pekee atakayepatikana.

Washiriki wametoka mataifa mawili, Nigeria na South Africa.

Walianza wakiwa 24, 12 kutoka SA na 12 Kutoka Nigeria.

Baada ya wiki ya kwanza, Big Brother aliwagawa katika pair ya watu wawili wawili, Mwanaume mmoja wa SA na mwanamke wa Nigeria (pair ya watu wawili).

Kwa hvo kila jambo lilifanyika kwa pair ikiwemo kushinda HOH games, na kucheza gamez zingine ndani ya nyumba.

Mpaka sasa waliotoka ni Jane O, lukay, Mmeli, Jay pee, Nana, Marvin, Yemi, Nelisa, Juicy Jay, Sandra na Theo.

Ikiwa ni wiki ya 8 sasa, Biggie amevunja Rasmi pairs na sasa kila mtu atapambana kama individual.

Mshindi wa leo kama Head of House (HOH) ni ipeleng, ambaye amepewa immunity ya kutokuwa nominated hadi Siku ya fainali.

Mtanange unaendelea ambapo wiki ya 1q tutaona wiki kali ya mwisho na mshindi kutangazwa.

Je, ni nani ungependa aingine top 5, na nani ungependa achukue taji, pair ipi ilitoka ikakuuma zaidi? Na ni nani unatamani atoke hata leo.

Twende Pamoja Kwa updates.
Big brother Titans 2023.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washiriki wametoka mataifa mawili, Nigeria na South africa.

Baada ya wiki ya kwanza, Big brother aliwagawa katika pair ya watu wawili wawili, Mwanaume mmoja wa SA na mwanamke wa Nigeria (pair ya watu wawili).

Yaani katika Big brother zote hakuna ilinibambaga Kama ile season 6 (shine your eye) izi zingine naonaga tuu miyeyusho
 
Washiriki toka Tanzania hakuna kama hawapo wewe endelea kuangalia utatuambia nani mshindi
 
Ni wiki ya 8 sasa Vijana wanapambania dolla laki moja kwa mshindi Mmoja pekee atakayepatikana.

Washiriki wametoka mataifa mawili, Nigeria na South africa.

Walianza wakiwa 24, 12 kutoka SA na 12 Kutoka Nigeria.

Baada ya wiki ya kwanza, Big brother aliwagawa katika pair ya watu wawili wawili, Mwanaume mmoja wa SA na mwanamke wa Nigeria (pair ya watu wawili).

Kwa hvo kila jambo lilifanyika kwa pair ikiwemo kushinda HOH games, na kucheza gamez zingine ndani ya nyumba.

Mpaka sasa waliotoka ni Jane O, lukay, Mmeli, Jay pee, Nana, Marvin, Yemi, Nelisa, Juicy Jay, Sandra na Theo.

Ikiwa ni wiki ya 8 sasa, Biggie amevunja Rasmi pairs na sasa kila mtu atapambana kama individual.

Mshindi wa leo kama Head of House (HOH) ni ipeleng, ambaye amepewa immunity ya kutokuwa nominated hadi Siku ya fainali.

Mtanange unaendelea ambapo wiki ya 1q tutaona wiki kali ya mwisho na mshindi kutangazwa.

Je, ni nani ungependa aingine top 5, na nani ungependa achukue taji, pair ipi ilitoka ikakuuma zaidi? Na ni nani unatamani atoke hata leo.

Twende Pamoja Kwa updates.
Big brother Titans 2023.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona vijana mnakusanyana sasa kwenye huo ujinga. Hakunaga hela ya bure kama mnavyodhani
 
Ni wiki ya 8 sasa Vijana wanapambania dolla laki moja kwa mshindi Mmoja pekee atakayepatikana.

Washiriki wametoka mataifa mawili, Nigeria na South Africa.

Walianza wakiwa 24, 12 kutoka SA na 12 Kutoka Nigeria.

Baada ya wiki ya kwanza, Big Brother aliwagawa katika pair ya watu wawili wawili, Mwanaume mmoja wa SA na mwanamke wa Nigeria (pair ya watu wawili).

Kwa hvo kila jambo lilifanyika kwa pair ikiwemo kushinda HOH games, na kucheza gamez zingine ndani ya nyumba.

Mpaka sasa waliotoka ni Jane O, lukay, Mmeli, Jay pee, Nana, Marvin, Yemi, Nelisa, Juicy Jay, Sandra na Theo.

Ikiwa ni wiki ya 8 sasa, Biggie amevunja Rasmi pairs na sasa kila mtu atapambana kama individual.

Mshindi wa leo kama Head of House (HOH) ni ipeleng, ambaye amepewa immunity ya kutokuwa nominated hadi Siku ya fainali.

Mtanange unaendelea ambapo wiki ya 1q tutaona wiki kali ya mwisho na mshindi kutangazwa.

Je, ni nani ungependa aingine top 5, na nani ungependa achukue taji, pair ipi ilitoka ikakuuma zaidi? Na ni nani unatamani atoke hata leo.

Twende Pamoja Kwa updates.
Big brother Titans 2023.

Sent using Jamii Forums mobile app

EBUBUUUU For The WIN
 
Big brother mwenyewe ni nani? Mwenye picha aweke hapa. Pia kwa nini safari hii achukue watu toka nchi mbili tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom