Big Brother Africa (BBA) 2012 - Updates

Uyu wa zimbabwe,analeta habari za boobjob tena...as a birthday gift..aaagh ngoj nimchek jcole..
 
hmmm nimewapenda..ila cyo starz ryt? Ila hawa walioingia couples,nawasiwasi!..

Sidhani kama ni vibaya kuwa na wawakilishi ambao siyo stars....Wakifanya vizuri inakuwa faida kwao ila wakifanya vibaya inakuwa si tatizo sana kwa sababu hawakuwa wanajulikana anyway!!
 
Mwisho wa show, couples zinaingizwa ndani ya jumba la BBA!!

Sasa sina hakika kama watakuwa pamoja na ile team ya watu 7 wa mwanzo!!
 
Hmmmkuna wakaka kama pointee ivi..na wadada kama pointee iv wa kichina cjuw,wako howwwt! Bt kuna mmoja ana mwili huo..over baunsa wa bills!hahah
 
Duuuuuuuuuuuuuu,

Sasa wewe unatoa mpya....

Kama kweli mwaka huu kuruhusu watu kuchungulia net wakiwa ndani ya house basi itakuwa ni bonge la U turn!!


Babu DC!!

nilikuwa nawasabahi tu ....sijawahi kuangalia BBA katika maisha yangu zaidi ya kuangalia na kufuatilia website yao ila i think mwaka huu itabidi niangalie kwani nitakuwa hapo nyumbani Tanzania tayari
 
Mtangazaj wakike ana vibisto...!
Hii random selection..hmmmm
 
mwaka huu hakuna personal nomination wakuu,kutakuwa na nomination ya machine.....
 
Wabongo kusindikiza ni jadi yetu sitashangaa hata hao washiriki wakishindwa, kwani mara nyingi tumekuwa tukishinda kwa ngekewa. All the best wawakirishi wetu.
 
Back
Top Bottom