Mtangazaj wakike ana vibisto...!
Hii random selection..hmmmm
Demo ya nomination inaonesha kuwa Tz (Hilda & Julio) ndo wako kwenye kikaango!!
2nd nomination ni Zimbabwe (Maneta and Tecla)!!
Bongo na zimbabwe mmja kutoka week hii,tumekwisha wakuu...
Siyo demo mkuu,wabongo wamekalia kuti kavu kuanzia siku ya kwanza kabisa
na iwe ivyo mkuuSiamini kama ni nomination za kweli....
Tusubiri tuone.....Hata website yao haiko hewani!!
Babu DC!!
Kwani miaka mingine inakuwaje? huwa kunakuwa na nomination ya possible eviction siku hiyo hiyo ya kwanza?
huwa wanafake then ikifika eviction day wanatangaza hakuna house mate yeyote anayetoka..Kwani miaka mingine inakuwaje? huwa kunakuwa na nomination ya possible eviction siku hiyo hiyo ya kwanza?
na iwe ivyo mkuu
huwa wanafake then ikifika eviction day wanatangaza hakuna house mate yeyote anayetoka..
wabongo wameshawekwa kwenye eviction list ..wtf?
wabongo wameshawekwa kwenye eviction list ..wtf?