Kwa wale wanofatilia shindano la BBA Stargame 2012, wawakilishi wa Tanzania kwenye shindano hili (Julio na Hilda) kwa mwaka huu ni tofauti kidogo. Tumezoea kuona watu maarufu au wanaojulikana Tanzania wakituwakisha BBA. Naomba kuuliza wawakilishi wa mwaka huu Julio na Hilda ni kina nani hasa? Kwa wanaowafaham p'se mwaga info zao ama CV. Bad news ni kwamba wameshakuwa nominated kuwa evicted kwenye hili shindano siku ya kwanza tu kuingia kwenye mjengo wa Big Brother, what are the chances of surviving?