Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,044
- 5,920
Ni vema utambue kuwa Biblia tuliyonayo ni mkusanyiko wa Vitabu mbalimbali vya kiimani.Basi tusaidie kwanini kitabu cha Nabii Gadi hakipo kwenye biblia??? Kwanini kitabu cha Jasher na Enoko havipo katika Biblia??
Natumai unaongelea hicho kitabu, sio vyote!Biblia imequote kitabu cha Henoko na kitabu cha yashari sasa Yashari anasema misri ilipigwa na mapigo 15 sio 10 kama Biblia inavyosema
Pia inasema musa alikimbilia ethiopia na kuwa mfalme na sio huko midian kama biblia inavyodai
Pia inadai pharaoh hakufa kwenye bahari ila aliendelea kuishi ilihali zaburi kwenye biblia inasema pharaoh na jeshi lake waliteketea wote kwenye bahari
Sasa nikuhoji ww je kitabu hiki kukinzana na Biblia nikikiita cha kipagani nakosea?? Na kama sio cha kipagani je unakubaliana nacho ilihali kinaipinga Biblia wakati wote tunajua Mungu hawezi kujipinga mwenyewe
Karibu tueleweshane
Mkuu ww ulikataa vitabu nje ya Biblia sio vya kipagani ndio nmekuonyesha mifano ya hivyo viwili jinsi vilivyo kinzana so nataka kwanza ukubali je ni vya kipagani au lah?? Na kama umekubali unazungumziaje kitabu kitakatifu kuchukua reference ya vitabu vya kipagani?? Huu ndio mzizi wa hojaNatumai unaongelea hicho kitabu, sio vyote!
1. Vitabu vingapi?? Alikusanya nani?? Mbona kila kanisa lina vitabu vyake?? Nani yuko sahihi?? Kma namba zinakinzana iweje uviite vya kiimani ilihali tunajua Mungu hajipingi mwenyeweNi vema utambue kuwa Biblia tuliyonayo ni mkusanyiko wa Vitabu mbalimbali vya kiimani.
Pili, ni Vitabu vile ambavyo vilivyopatikana wakati wakiiandaa Biblia ndivyo vilivyounda Biblia, Vitabu vingine havikupatika na hivyo havikujumuishwa kwenye Biblia.
Tatu, kuna Vitabu vinasadikika kuwa vya kiimani vilivyodaiwa kuwa viingizwe kwenye Biblia lkn havikukidhi canonical rules kuijumuishwa kwenye Biblia maana vinaonekana viko tafauti kabisa na vinapingana vitabu vinginevyo. Mfano ni kinachodaiwa kuwa ni Injili ya Barnaba.
Vv
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66, viliunganishwa pamoja kwa kuangalia vitabu vyenye manufaa kwa watu wa Mungu, unataka vitabu vinavyoongelea "ushoga" wa Daudi(Kama unavyodai) ili ujifunze nini hapo? Vitabu vipo vingi sana zaidi ya hivyo 66 au 72, lakini havina mantiki ya kuwekwa kwenye Bible, hakuna cha kujifunza. Kuna wafalme, manabii na watu wengine wa kawaida, lakini ni kwamba hawakuandika kwa utashi wa kufundisha njia za wokovu; bali waliongelea historia(nyingne binafsi) na maanguko ya watu! Bila kufundisha matendo mema; kwanini kuhangaika navyo? Havina sense ya mafundisho kwa watu wa Mungu,Mkuu ww ulikataa vitabu nje ya Biblia sio vya kipagani ndio nmekuonyesha mifano ya hivyo viwili jinsi vilivyo kinzana so nataka kwanza ukubali je ni vya kipagani au lah?? Na kama umekubali unazungumziaje kitabu kitakatifu kuchukua reference ya vitabu vya kipagani?? Huu ndio mzizi wa hoja
Wapi nimesema daudi alikuwa shoga unaweza ukaweka hapa hyo post??Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66, viliunganishwa pamoja kwa kuangalia vitabu vyenye manufaa kwa watu wa Mungu, unataka vitabu vinavyoongelea "ushoga" wa Daudi(Kama unavyodai) ili ujifunze nini hapo? Vitabu vipo vingi sana zaidi ya hivyo 66 au 72, lakini havina mantiki ya kuwekwa kwenye Bible, hakuna cha kujifunza. Kuna wafalme, manabii na watu wengine wa kawaida, lakini ni kwamba hawakuandika kwa utashi wa kufundisha njia za wokovu; bali waliongelea historia(nyingne binafsi) na maanguko ya watu! Bila kufundisha matendo mema; kwanini kuhangaika navyo? Havina sense ya mafundisho kwa watu wa Mungu,
Wakatoliki wana Biblia ya vitabu 72, Madhehebu ya Kiprotestanti wana Vitabu 66 (vingine kama Tobiti , Makabayo, Yoshua bin Sila na ambavyo Wakatoliki wanavitumia, Waprotestant hawavikubali kama havikidhi canonical rule yao). Hizo canonical rules naamini ni kanuni ya kukubaliana kwa maandiko ingawa kutoka Nabii mmoja hadi mwingine wamepishana kwa karne nyingi. Unaweza kutafuta zaidi mwenyewe.1. Vitabu vingapi?? Alikusanya nani?? Mbona kila kanisa lina vitabu vyake?? Nani yuko sahihi?? Kma namba zinakinzana iweje uviite vya kiimani ilihali tunajua Mungu hajipingi mwenyewe
2. Una maanisha Biblia haijakamilika? maana unadai kuna vitabu vya kiimani vilivyopotea? Je una maana neno la Mungu linaweza kupotea kama gazeti la uwazi tu??
3. Canonical rules ni zipi?? Kama zilikuwepo hizo rules kwanini namba ya vitabu inatofautiana?? To be specific unaongelea Biblia gani maana kila Biblia ina canonical rules zake!! hivyo kitabu A kinaweza kiwe halali Catholic ila kikawa haramu Anglican!
Taja hizo dhambi ili tukufahamishe mahali pa kusoma.Ila mkuu dhambi ile ya daudi ambayo hata kwenye biblia iliandikwa tumeona pia adhabu aliyopewa Daudi na alikemewa juu ya hiyo dhambi ila hiyo dhambi nyingine sijaona Nabii gani alienda kumkemea na adhabu yake ilikua ipi?
Ndio rules zipi hizo mkuu maana canonical rules zinafika mamia je ni za Tawahedo church... Za Eastern orthodox... Za Council of Nicaea,Trent au alexandria.... ?? Be specific unieleweshe mkuu.. Ikiwa vitapatikana na kufikia viwango vilivyopo kwenye canonical rules
Vv
Biblia ipi mkuu?? Ya vitabu 66 au 73 au 84 au 68?? Be specific na iliyojitosheleza ni ipi kiasi wengine waongeze vitabu na wengine wavipunguze.... Kama unashauri mtu kama mimi je nitumie ipi kati ya hizo??Biblia iliyopo imekamilika na inajitosheleza kwa mafundisho.
Vv
Canonical rule ya protestants ndio ipi hiyo?? Unaweza kutusaidia hapa?? Wakati Biblia inapitishwa kwa mara ya kwanza tokea AD 300+ kulikuwa na protestants?? Ila mbona kulikuwa na Biblia ya vitabu 66??Wakatoliki wana Biblia ya vitabu 72, Madhehebu ya Kiprotestanti wana Vitabu 66 (vingine kama Tobiti , Makabayo, Yoshua bin Sila na ambavyo Wakatoliki wanavitumia, Waprotestant hawavikubali kama havikidhi canonical rule yao).
Vv
Kwa mtazamo wa kimadhehebu ukiondoa cults, Wakatoliki wameongeza vitabu zaidi kutoka 66 hadi 72 wakati Waprotestant wamegoma kuvitambua vitabu vilivyoongezeka kwenye Biblia kutoka 66 hadi 72. Kwa historia uliyeweka kama ni sahihi, basi kuna vitabu vingine vilipatikana baadaye na Wakatoliki wakaona viingie kwenye Biblia wakati Waprotestanti wakavikataa.Canonical rule ya protestants ndio ipi hiyo?? Unaweza kutusaidia hapa?? Wakati Biblia inapitishwa kwa mara ya kwanza tokea AD 300+ kulikuwa na protestants?? Ila mbona kulikuwa na Biblia ya vitabu 66??
Embu tuwekane sawa hapo mkuu
Habari za jioni wana JF natumaini wote humu ni wazima.
View attachment 885770
Nlipokuwa naipitia uzi huu Mjue Yoabu - Jenerali Mkuu wa Mfalme Daudi, Katili na asiyeogopa chochote! - JamiiForums
Mkuu Elungata aliibua hoja kuhusu Daudi kuwa na mahusiano ya jinsia moja na nathan ila muanzisha uzi alipotaka ushahidi aliuwekea condition hii.
Baada ya kusoma hii comment nilisikitika sana na nilijiuliza sana kwamba inakuaje kila story ya watu waliotajwa kwenye bible watu wanataka reference kutoka ndani ya Biblia pekee as if Biblia imeandika kila kitu?? Kwanini tunapenda kujifunga akili kiasi hicho?
Baada ya kuona mentality hiyo imeanza kukua humu JF intelligence nikaona nilete mada jinsi Biblia yenyewe imetutuma tukasome vitabu vingine nje ya Biblia ili tuongeze ufahamu kuhusu baadhi ya watu na matukio ambayo Bibila yenyewe haikuandika yote kwa upana wake, hivyo nia ya uzi huu ni kwa wale waliojifunga kwenye kusoma maandiko pekee wabadilike na kuwa na fikra huru na kuruhusu maarifa kutoka kona zote kwa mithiri ya kujifunza zaidi na kupanua uelewa wa mambo.
View attachment 885772
Kwa kuanzia tu labda nitumie nafasi hii kumjibu mkuu wangu maishapopote kuwa hata biblia yenyewe inakiri kuwa maisha yote ya Daudi yameelezewa vizuri zaidi nje ya Biblia hivyo imetutuma tukasome vitabu hivyo mnavyoita vya kipagani ili tujifunze kwa ufanisi zaidi
1 NYAKATI 29:29
29 Basi habari za mfalme Daudi, mwanzo na mwisho, angalia, zimeandikwa katika tarehe ya Samweli, mwonaji, na katika tarehe ya Nathani, nabii, na katika tarehe ya Gadi, mwonaji.
Vitabu vilivyotajwa hapa ni Book of Gad the seer,Book of Nathan the prophet, Book of Samuel the seer (Sio samuel 1&2) ambavyo kwenye biblia havikuwekwa . Sasa kama Biblia inakiri kuwa sio kila story yake imeongelewa kwa upana wake katika biblia je kwanini siku hizi watu wakijengea hoja kuhusu personality za biblia mnalazimisha reference iwe ndani ya bible pekee??? Ina maana waandishi wa Biblia ni wajinga hadi watutume tukasome hivyo vitabu vingine ambavyo mnaviita vya kipagani??
MAANDIKO
Hapa chini nimeambatanisha vifungu vya Biblia hivyo ningeomba tuisome kwa makini kabla ya kuchangia hoja. Neno Tarehe kwenye maandiko haya kwa kiswahili rahisi inamaanisha Nyaraka/rekodi/kitabu au kwa kizungu book/journal/Annal.
View attachment 885773
1. Kitabu cha Yehu
2 Nyakati 20:34
34 Na mambo yote ya Yehoshafati yaliyosalia, ya kwanza na ya mwisho, angalia, yameandikwa katika tarehe ya Yehu mwana wa Hanani, iliyotiwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli.
2. Kitabu cha Nabii Gadi muonaji/ Kitabu cha shemaya
2 Nyakati 13:22
22 Na mambo ya Abiya yaliyosalia, na njia zake, na maneno yake, yameandikwa katika kitabu cha maelezo cha nabii Ido.
2 Nyakati 12:15
15 Basi mambo yake Rehoboamu, ya kwanza na ya mwisho, je! Hayakuandikwa katika tarehe za Shemaya nabii na Ido mwonaji, kwa jinsi ya kuandika nasaba? Kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu siku zote.
1 Nyakati 29:29
29 Basi habari za mfalme Daudi, mwanzo na mwisho, angalia, zimeandikwa katika tarehe ya Samweli, mwonaji, na katika tarehe ya Nathani, nabii, na katika tarehe ya Gadi, mwonaji.
3. Kitabu cha mfalme Ahasuero
Nehemiah 12:23
23 Wana wa Lawi, wakuu wa mbari za mababa, wameandikwa katika kitabu cha tarehe, hata siku za Yohana mwana wa Eliashibu
Pia kinatajwa Esther 10:2, 2:23, 6:1
4. Matendo ya Mfalme suleiman
1 wafalme 11:41
41 Nayo yaliyosalia ya Sulemani, mambo yake na yote aliyoyafanya, na hekima yake, je! Hayo siyo yaliyoandikwa kitabuni mwa mambo yake Sulemani (Book of Acts of Solomon)
5. Nyakati za wafalme wa Israel & Yuda
1 wafalme 14:19
19 Na mambo yake Yeroboamu yaliyosalia, ya kupigana na ya kutawala, tazama, yameandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Israeli.(chronichles of the kings of israel/Judah)
6. Kitabu cha Hozai
2 Nyakati 33:19
19 Sala yake pia, na jinsi Mungu alivyomtakabali, na dhambi yake yote, na kosa lake, na mahali alipopajenga mahali pa juu, na kupasimamishia maashera na sanamu za kuchonga, kabla ya kujinyenyekeza; tazama, hayo yameandikwa katika tarehe ya Hozai.
Hivi ni kwa uchache tu ila kuna vitabu vingine zaidi ya 20 vinatajwa kama reference point kwenye biblia ilihali havipo kwenye Biblia na wala havitambuliki na kanisa lakini leo hii akijengea mtu hoja anaonekana shetani!!
View attachment 885774
HITIMISHO
Baada ya uzi huu nisingetegemea tena kusikia wana JF wakitaka reference kutoka kwenye biblia pekee ilihali Biblia yenyewe inataka tukarefer kwenye vitabu vingine ambavyo vingi ni vya kipagani tu ili tupate uelewa zaidi ya watu muhimu kwenye bible.
However ningependa tujiulize maswali haya ili kupanua fikra zaidi
1. Kwanini vitabu hivi ambavyo Biblia inaturefer tukasome ili kuelewa baadhi ya matukio havikuwekwa kwenye biblia??
2. Na kama havikuwekwa kwa sababu yeyote ile je ina maana ni vya kipagani??
3. Na kama ni vya kipagani ni kwanini vimekuwa referred kwenye bible?
4. Kuna vitabu vingine ambavyo vimenakiliwa hapa ni halali kabisa katika kanisa la kale lakini kwa sasa viko categorized kama vitabu vilivyopotea.... Je nini hatma ya Biblia kama maneno ya Mungu ilihali yanaweza kupotea??
5. Na kama yamepotea je ina maana biblia haijakamilika sababu sehemu ya stori yake imepotea??
Naomba kuwasilisha
Cc: Wana JF intelligence wote bila kuwasahau kina Mchawi Mkuu Malcom Lumumba Elungata Da'Vinci Mshana Jr Eiyer Kudo900 Vi rendra N J subi Bujibuji Kipanga boy Kiranga Che mittoga Ip man 3 mitale na midimu Mzee wa Torano Blaki Womani Grahnman za chembe jimmykb197 911sep11 afsa Francis3 mtu chake NJOLO Msolo Shubiri Pori Pendael24 Mr Miller Elli Khalifavinnie Kennedy Son of Gamba Kanungila Karim Mgambilwa ni mntu Mr FCB Mr Q geesten66 Jerry Ekky Mnabuduhe Chrisvern Dabby Jr kibuyu180 IGWE SALA NA KAZI
Wick Dukeson lifecoded Daimler monde arabe mtu watu
Huu ni ukweli ambao wengi hawapendi kuusikia..... Ukisoma hata Muongozo wa ibada za Scottish rite freemasonry degree ya 6 inahusisha kutafuta missing pieces kwenye hekalu la suleiman. Kwahiyo kuna patterns unatakiwa uzitafute kwenye ramani ya lile hekalu ambapo inahusisha kusafiri kiroho/kiakili hadi wakati ule hekalu linajengwa.Vile vile sikujua temple aliyoijenga Solomon Ndio msingi halisi wa Freemason .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huu ni ukweli ambao wengi hawapendi kuusikia..... Ukisoma hata Muongozo wa ibada za Scottish rite freemasonry degree ya 6 inahusisha kutafuta missing pieces kwenye hekalu la suleiman. Kwahiyo kuna patterns unatakiwa uzitafute kwenye ramani ya lile hekalu ambapo inahusisha kusafiri kiroho/kiakili hadi wakati ule hekalu linajengwa.
Ni ibada nzito sana na kwenye katiba yao inaongelewa vizuri sana ila ukileta huo mjadala humu unaweza onekana ni ibilisi fulani hivi maana watu wamemsoma kwa upande mmoja tu.
Nilipata bahati ya kuingia pale Masonic lodge ,enzi za Mzee sir Andy Chande, ndani mule kuna vitabu /biblia, kimoja ni kitabu cha SelemanHuu ni ukweli ambao wengi hawapendi kuusikia..... Ukisoma hata Muongozo wa ibada za Scottish rite freemasonry degree ya 6 inahusisha kutafuta missing pieces kwenye hekalu la suleiman. Kwahiyo kuna patterns unatakiwa uzitafute kwenye ramani ya lile hekalu ambapo inahusisha kusafiri kiroho/kiakili hadi wakati ule hekalu linajengwa.
Ni ibada nzito sana na kwenye katiba yao inaongelewa vizuri sana ila ukileta huo mjadala humu unaweza onekana ni ibilisi fulani hivi maana watu wamemsoma kwa upande mmoja tu.
Mkuu Zitto junior kwa kuwa nimeona unayo Imani juu ya maandiko au biblia basi naomba nikukumbushe kuwa Kusoma kwingi kuna geuza akili . Tunahitaji Maarifa yanayoweza kutupa Uzima wa milele hilo tu mengine yanabaki kuwa mbwembweHabari za jioni wana JF natumaini wote humu ni wazima.
View attachment 885770
Nlipokuwa naipitia uzi huu Mjue Yoabu - Jenerali Mkuu wa Mfalme Daudi, Katili na asiyeogopa chochote! - JamiiForums
Mkuu Elungata aliibua hoja kuhusu Daudi kuwa na mahusiano ya jinsia moja na nathan ila muanzisha uzi alipotaka ushahidi aliuwekea condition hii.
Baada ya kusoma hii comment nilisikitika sana na nilijiuliza sana kwamba inakuaje kila story ya watu waliotajwa kwenye bible watu wanataka reference kutoka ndani ya Biblia pekee as if Biblia imeandika kila kitu?? Kwanini tunapenda kujifunga akili kiasi hicho?
Baada ya kuona mentality hiyo imeanza kukua humu JF intelligence nikaona nilete mada jinsi Biblia yenyewe imetutuma tukasome vitabu vingine nje ya Biblia ili tuongeze ufahamu kuhusu baadhi ya watu na matukio ambayo Bibila yenyewe haikuandika yote kwa upana wake, hivyo nia ya uzi huu ni kwa wale waliojifunga kwenye kusoma maandiko pekee wabadilike na kuwa na fikra huru na kuruhusu maarifa kutoka kona zote kwa mithiri ya kujifunza zaidi na kupanua uelewa wa mambo.
View attachment 885772
Kwa kuanzia tu labda nitumie nafasi hii kumjibu mkuu wangu maishapopote kuwa hata biblia yenyewe inakiri kuwa maisha yote ya Daudi yameelezewa vizuri zaidi nje ya Biblia hivyo imetutuma tukasome vitabu hivyo mnavyoita vya kipagani ili tujifunze kwa ufanisi zaidi
1 NYAKATI 29:29
29 Basi habari za mfalme Daudi, mwanzo na mwisho, angalia, zimeandikwa katika tarehe ya Samweli, mwonaji, na katika tarehe ya Nathani, nabii, na katika tarehe ya Gadi, mwonaji.
Vitabu vilivyotajwa hapa ni Book of Gad the seer,Book of Nathan the prophet, Book of Samuel the seer (Sio samuel 1&2) ambavyo kwenye biblia havikuwekwa . Sasa kama Biblia inakiri kuwa sio kila story yake imeongelewa kwa upana wake katika biblia je kwanini siku hizi watu wakijengea hoja kuhusu personality za biblia mnalazimisha reference iwe ndani ya bible pekee??? Ina maana waandishi wa Biblia ni wajinga hadi watutume tukasome hivyo vitabu vingine ambavyo mnaviita vya kipagani??
MAANDIKO
Hapa chini nimeambatanisha vifungu vya Biblia hivyo ningeomba tuisome kwa makini kabla ya kuchangia hoja. Neno Tarehe kwenye maandiko haya kwa kiswahili rahisi inamaanisha Nyaraka/rekodi/kitabu au kwa kizungu book/journal/Annal.
View attachment 885773
1. Kitabu cha Yehu
2 Nyakati 20:34
34 Na mambo yote ya Yehoshafati yaliyosalia, ya kwanza na ya mwisho, angalia, yameandikwa katika tarehe ya Yehu mwana wa Hanani, iliyotiwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli.
2. Kitabu cha Nabii Gadi muonaji/ Kitabu cha shemaya
2 Nyakati 13:22
22 Na mambo ya Abiya yaliyosalia, na njia zake, na maneno yake, yameandikwa katika kitabu cha maelezo cha nabii Ido.
2 Nyakati 12:15
15 Basi mambo yake Rehoboamu, ya kwanza na ya mwisho, je! Hayakuandikwa katika tarehe za Shemaya nabii na Ido mwonaji, kwa jinsi ya kuandika nasaba? Kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu siku zote.
1 Nyakati 29:29
29 Basi habari za mfalme Daudi, mwanzo na mwisho, angalia, zimeandikwa katika tarehe ya Samweli, mwonaji, na katika tarehe ya Nathani, nabii, na katika tarehe ya Gadi, mwonaji.
3. Kitabu cha mfalme Ahasuero
Nehemiah 12:23
23 Wana wa Lawi, wakuu wa mbari za mababa, wameandikwa katika kitabu cha tarehe, hata siku za Yohana mwana wa Eliashibu
Pia kinatajwa Esther 10:2, 2:23, 6:1
4. Matendo ya Mfalme suleiman
1 wafalme 11:41
41 Nayo yaliyosalia ya Sulemani, mambo yake na yote aliyoyafanya, na hekima yake, je! Hayo siyo yaliyoandikwa kitabuni mwa mambo yake Sulemani (Book of Acts of Solomon)
5. Nyakati za wafalme wa Israel & Yuda
1 wafalme 14:19
19 Na mambo yake Yeroboamu yaliyosalia, ya kupigana na ya kutawala, tazama, yameandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Israeli.(chronichles of the kings of israel/Judah)
6. Kitabu cha Hozai
2 Nyakati 33:19
19 Sala yake pia, na jinsi Mungu alivyomtakabali, na dhambi yake yote, na kosa lake, na mahali alipopajenga mahali pa juu, na kupasimamishia maashera na sanamu za kuchonga, kabla ya kujinyenyekeza; tazama, hayo yameandikwa katika tarehe ya Hozai.
Hivi ni kwa uchache tu ila kuna vitabu vingine zaidi ya 20 vinatajwa kama reference point kwenye biblia ilihali havipo kwenye Biblia na wala havitambuliki na kanisa lakini leo hii akijengea mtu hoja anaonekana shetani!!
View attachment 885774
HITIMISHO
Baada ya uzi huu nisingetegemea tena kusikia wana JF wakitaka reference kutoka kwenye biblia pekee ilihali Biblia yenyewe inataka tukarefer kwenye vitabu vingine ambavyo vingi ni vya kipagani tu ili tupate uelewa zaidi ya watu muhimu kwenye bible.
However ningependa tujiulize maswali haya ili kupanua fikra zaidi
1. Kwanini vitabu hivi ambavyo Biblia inaturefer tukasome ili kuelewa baadhi ya matukio havikuwekwa kwenye biblia??
2. Na kama havikuwekwa kwa sababu yeyote ile je ina maana ni vya kipagani??
3. Na kama ni vya kipagani ni kwanini vimekuwa referred kwenye bible?
4. Kuna vitabu vingine ambavyo vimenakiliwa hapa ni halali kabisa katika kanisa la kale lakini kwa sasa viko categorized kama vitabu vilivyopotea.... Je nini hatma ya Biblia kama maneno ya Mungu ilihali yanaweza kupotea??
5. Na kama yamepotea je ina maana biblia haijakamilika sababu sehemu ya stori yake imepotea??
Naomba kuwasilisha
Cc: Wana JF intelligence wote bila kuwasahau kina Mchawi Mkuu Malcom Lumumba Elungata Da'Vinci Mshana Jr Eiyer Kudo900 Vi rendra N J subi Bujibuji Kipanga boy Kiranga Che mittoga Ip man 3 mitale na midimu Mzee wa Torano Blaki Womani Grahnman za chembe jimmykb197 911sep11 afsa Francis3 mtu chake NJOLO Msolo Shubiri Pori Pendael24 Mr Miller Elli Khalifavinnie Kennedy Son of Gamba Kanungila Karim Mgambilwa ni mntu Mr FCB Mr Q geesten66 Jerry Ekky Mnabuduhe Chrisvern Dabby Jr kibuyu180 IGWE SALA NA KAZI
Wick Dukeson lifecoded Daimler monde arabe mtu watu
Nashukuru kwa maoni yako, kiini cha mjadala haikuwa ushoga wa Daudi bali nahalalisha kwamba reference za kihistoria kwa characters wa Biblia hazipatikani tu ndani ya Biblia ila pia nje ya Biblia,Mkuu Zitto junior kwa kuwa nimeona unayo Imani juu ya maandiko au biblia basi naomba nikukumbushe kuwa Kusoma kwingi kuna geuza akili . Tunahitaji Maarifa yanayoweza kutupa Uzima wa milele hilo tu mengine yanabaki kuwa mbwembwe
Hivi kwa mfano ukijua King David alikuwa na mahusiano hayo uliyoyasema na Yonathan je utataka kuhalalisha Ushoga ?
"Zamani zile za ujinga Mungu alijifanya Kama hazioni ,bali Sasa anawaagiza watu wote kill mahali watubu " Mdo 17:30
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi kwenda mbele bila kujua tulipotoka..... Yaani huwezi amini tu kila kitu bila kuhoji. Naamini ukristo ni dini ya reasoning sio kufuata upepo tu. Kama wanaJF hatuoni faida ku-revisit history ili kuweka precedence kwenye imani yetu basi naweza kuelewa kwanni mitume na manabii wana wafuasi wengi vile wakiwauzia mafuta na sabuni za upako!!!Pambania maisha na uzima wako ,kulia na pumzi za marehemu wa kale ni somehow Cracked Interest