Je kipi ni sahihi

Je kipi ni sahihi

Da_Hustler

Member
Joined
Jun 24, 2025
Posts
24
Reaction score
38
Habari za jioni, kwa maisha yangu yote ya kuwa mkristo nimeaminoshwa kuwa Biblia ni uvuvio wa Roho mtakatifu/Mungu mwenyewe so Mungu huyu ni mkamilifuBinafsi napata contradiction through kuhusu imani hii based on Biblia husika inabishana naomba wana maandiko "Wasabato" na walokole mnosaidie hili Inaaminika Mjenzi wa safina Nuhu alihubiro miaka 120 yet hakuna a single verse ya hata Nuhu tu kuwaambia wadau hii mliopata andiko gani?

Kwa muujibu wa Biblia 2 Mambo ya Nyakati 22:2
[2]Ahazia alikuwa na umri wa miaka arobaini na miwili alipoanza kutawala; akatawala mwaka mmoja huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Athalia binti Omri. Ahazia alianza tawala akiwa na Miaka 42
wakati 2 Wafalme 8:26

[26]Ahazia alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala; akatawala mwaka mmoja huko Yerusalemu. Na jina la mamaye aliitwa Athalia binti Omri mfalme wa Israeli.

Kwa Mujibu wa wafalme Ahazia alianza tawala akiwa na miaka 22 which is which napata mashaka na Uhalali wa baadhi ya Mambo msaada kwenye tuta tafadhali!!!
 
Jiongeze mkuu
 
Iko hivi mkuu,
Biblia au maandiko yote ya kiroho ukisema utumie Akili utakwama,

Biblia kama yalivyo maandiko mengine ya kidini inatakiwa ukubali tu yasemavyo, usiwe mtu wa kuhoji,
maana vimejaa uongo uongo.

Mimi binafsi tangia nikiwa mdogo miaka 15 hivi niliweka kwenye mizani mafundisho ninayofundishwa kwenye nyumba ya ibada na uhalisia ambao nauona kwenye maisha na mazingira niliyopo,

Niliona Mungu mlinzi hayupo, mazingira ambayo upo ndiyo yataamua usalama wako na hatima ya maisha Yako.
 
Pitia 👇🏾:

Inaaminika Mjenzi wa safina Nuhu alihubiro miaka 120 yet hakuna a single verse ya hata Nuhu tu kuwaambia wadau hii mliopata andiko gani?
Book of Jasher.

Nimetafsiri na Chatgpt

Jasher 5:6-11:

6 Na baada ya kupita miaka mingi, katika mwaka wa mia nne na themanini wa maisha ya Nuhu, wakati watu wote waliomfuata Bwana walipokuwa wamekufa miongoni mwa wanadamu, na ni Methusela pekee aliyekuwa amebaki, Mungu akasema na Nuhu na Methusela, akisema:

7 “Nendeni mkawaambie na kuwatangazia wanadamu, mkisema: Bwana asema hivi—Rudini kutoka katika njia zenu mbaya na kuziacha kazi zenu, naye Bwana ataghairi kuhusu mabaya aliyotangaza kwamba angewatendea, wala hayatatokea.

8 Kwa maana Bwana asema hivi: Tazama, nawapa kipindi cha miaka mia moja na ishirini; ikiwa mtanigeukia na kuziacha njia zenu mbaya, basi nami nitageuka na kuyaondoa mabaya niliyowaambia, wala hayatakuwa, asema Bwana.”

9 Nuhu na Methusela wakawaambia wanadamu maneno yote ya Bwana, siku baada ya siku, wakiendelea kusema nao daima.

10 Lakini wanadamu hawakutaka kuwasikiliza, wala kuyatega masikio yao kwa maneno yao; nao walikuwa wakaidi na wenye shingo ngumu.

Jasher 6:15-22:

15 Nuhu na watu wa nyumbani mwake, pamoja na viumbe hai wote waliokuwa pamoja naye, wakaingia ndani ya safina kwa sababu ya maji ya gharika; naye Bwana akamfungia ndani.

16 Na wanadamu wote waliokuwa wamebaki duniani wakaanza kudhoofika kwa sababu ya mateso yaliyosababishwa na mvua, maana maji yakazidi kuongezeka kwa nguvu juu ya nchi; na wanyama na hayawani bado waliizunguka safina.

17 Wanadamu wakakusanyika pamoja—wanaume na wanawake wapatao mia saba elfu—wakaja kwa Nuhu, kwenye safina.

18 Wakamlilia Nuhu, wakisema, “Tufungulie, ili tuje kwako ndani ya safina; kwa maana kwa nini tufe?”

19 Nuhu akawajibu kutoka ndani ya safina kwa sauti kuu, akisema, “Je, si ninyi nyote mlimwasi Bwana, mkasema kwamba yeye hayupo? Kwa hiyo Bwana ameleta uovu huu juu yenu, ili awaangamize na kuwakatilia mbali kutoka juu ya uso wa dunia.

20 Je, hili si jambo lilelile nililowaambia miaka mia moja na ishirini iliyopita? Lakini hamkutaka kusikiliza sauti ya Bwana—na sasa mnatamani kuishi duniani?

21 Nao wakamwambia Nuhu, “Tuko tayari kumrudia Bwana; tufungulie tu, ili tuishi wala tusife.”

22 Nuhu akawajibu, akisema, “Tazameni—sasa kwa kuwa mmeona shida ya nafsi zenu, mnataka kumrudia Bwana. Kwa nini hamkumrudia katika kipindi hiki chote cha miaka mia moja na ishirini, ambacho Bwana aliwapa kuwa muda wenu uliowekwa?”

Back
Top Bottom