Biblia na reference ya vitabu vya kipagani

Biblia na reference ya vitabu vya kipagani

Kuna kitu watu mnashindwa kuelewa.
Unachanganya kati ya Apokrifa na Books of references.

Hizo books of references nyingi (about 95%) nakala zake zilipotea kwa muda mrefu lakini huwa haziondoi maana ya biblia iliyolengwa.

Vitabu vinavyodaiwa vya kipagani (yaani Apocrifa) viliondolewa karne ya 15 na kikao kilichofanyika na viongozi wa kidini chini ya Martin Luther na hakuna katika vitabu hivyo kinachohusiana reference book yeyote iliyotajwa in bible.

Kama ukitaka kujenga hoja kwa kutumia vitabu vya nje ya biblia ita-make sense kama utatumia vilivyofanyiwa reference in bible which most of them vilipotea kabisa - Ni torati pekee yake ndiyo imebaki.

Ukisema utumie tu kitabu chochote cha nje kuelezea biblia hapo utakuwa unataka kuleta tatizo la kimantiki (Logical fallacy) kwasababu utaweza kurefer hata vitabu fake.

Kwakua vitabu karibu vyote ambavyo vimetajwa ndani ya biblia kwa mfumo wa (kwani hamkusoma.....) havipo kabisa na nakala zake zilipotea muda mrefu na vichache vilivyopo bado vinatia shaka kuhusu ukweli wake bhasi hauna haki ya kurefer kitabu chochote nje ya biblia.
Na kama ukikirefer unatakiwa useme ni wapi biblia ilisema (kwani hamkusoma A,B,C...).
 
Back
Top Bottom