Biblia na reference ya vitabu vya kipagani

Biblia na reference ya vitabu vya kipagani

Sikuhitaji maelezo marefu hivyo.
Bali sikupenda neno "kuwehuka" ulilolitumia. Kama wewe unaona furaha yako ndipo inapopatikana OK,tuachane na hayo ili tusianzishe mada ndani ya mada
 
inachekesha san
hawa watu hawaelewi kuwa nikiweka mada humu au comment nakuwa nimeifanyia utafiti
wa kuijibu hadi sasa sijamuona zaidi ya kurukaruka tu,ukristo na uislamu wote wanatia huruma na kuxhekesha tu

kuna watu humu wanaleta nyuzi humu ingawaje wanaujua ukweli kuwa biblia na quran ni upuuzi mtupu lakini wanataka kuwa 'politically correct" mfano zitto junior ambaye ni mtoto wa juzi tu kwenye haya mambo ukilinganisha na sisi watata wa siku nyingi
anaujua ukweli lakini anaogopa kupoteza wafuasi
mimi namshauri aache kuwapq matumaini ambayo hayapo sababu nikimsoma naona anaujua ukweli ila hataki kupoteza wafuasi wapuuzi aliojijengea humu wanaoamini hadithi za biblia na quran ambazo kudebate na mimi wanaogopa
Hawaogopi mkuu,bali wanakupuuza kwakule kukitia mjuaji wakati huna hoja
 
Ila waliotangulia ni wayahudi as wayahudi kupitia Tanakh/Torah ambayo Biblia pia imeazima na kutumia kwenye agano la kale lakini kuanzia agano la jipya maandiko ya wayahudi na wakristo yanakinzana then baadae wanakuja waislam nao wanakinzana na both jews and christians hivyo kama hoja ni kwamba wa kwanza ndio mkweli basi dini ya wayahudi ambayo haimtambui Yesu kama messiah ndio inayosema ukweli if at all tutachukua definition yako kwamba wa kwanza kuandika ndio mkweli.
Sijazungumzia habari za wakwanza kuwa ndio mkweli au sio mkweli,bali wewe umeniuliza ni kitabu kipi ndio cha kweli? maana kila mmoja kati ya hizo imani tatu hudai kitabu chake ndio cha kweli.

Ndiyo nikakwambia kuwa kulikuwa na mitume na mafundisho yao yapo kwenye vitabu,hoja ni yapi yameongezwa,kubadilishwa au kupunguzwa?

Sasa suala la Jews kumkataa Yesu na wakristo kumkataa Muhammad,hili ni suala lengine.
 
Hawaogopi mkuu,bali wanakupuuza kwakule kukitia mjuaji wakati huna hoja
watu kama nyinyi huwa nawapa mistari kama hii
Luke 2
2 In those days Caesar Augustus issued a decree that a census should be taken of the entire Roman world. 2 (This was the first census that took place while[a] Quirinius was governor of Syria.) 3 And everyone went to their own town to register.


4 So Joseph also went up from the town of Nazareth in Galilee to Judea, to Bethlehem the town of David, because he belonged to the house and line of David. 5 He went there to register with Mary, who was pledged to be married to him and was expecting a child. 6 While they were there, the time came for the baby to be born, 7 and she gave birth to her firstborn, a son. She wrapped him in cloths and placed him in a manger, because there was no guest room available for them.

Matthew 2 King James Version (KJV)

2 Now when Jesus was born in Bethlehem of Judaea in the days of Herod the king, behold, there came wise men from the east to Jerusalem,
2 Saying, Where is he that is born King of the Jews? for we have seen his star in the east, and are come to worship him.

niambie yesu alizaliwa lini
na hapo ndipo utajua uwezo wako na wangu kwenye haya mambo ni sawa na usingizi na kifo
 
watu kama nyinyi huwa nawapa mistari kama hii
Luke 2
2 In those days Caesar Augustus issued a decree that a census should be taken of the entire Roman world. 2 (This was the first census that took place while[a] Quirinius was governor of Syria.) 3 And everyone went to their own town to register.


4 So Joseph also went up from the town of Nazareth in Galilee to Judea, to Bethlehem the town of David, because he belonged to the house and line of David. 5 He went there to register with Mary, who was pledged to be married to him and was expecting a child. 6 While they were there, the time came for the baby to be born, 7 and she gave birth to her firstborn, a son. She wrapped him in cloths and placed him in a manger, because there was no guest room available for them.

Matthew 2 King James Version (KJV)

2 Now when Jesus was born in Bethlehem of Judaea in the days of Herod the king, behold, there came wise men from the east to Jerusalem,
2 Saying, Where is he that is born King of the Jews? for we have seen his star in the east, and are come to worship him.

niambie yesu alizaliwa lini
na hapo ndipo utajua uwezo wako na wangu kwenye haya mambo ni sawa na usingizi na kifo
Unakurupuka.
Tafuta watoto wenzako ushindane nao
 
Kwa mtazamo wangu (najua Wakristo wengi, sio wote watakubaliana na mimi). Quran na Biblia havijatokana na source moja; Hakuna Mkristo wa kweli anae amini kwamba Quran ni kitabu cha Mungu wa mbinguni aliyeziumba mbingu na nchi, siwezi zungumzia msimamo wa Uislamu kuhusu Biblia, hilo wao ndio wanaweza kusema and this is why, huwezi kumkuta Mkristo anafanya reference ya Mungu through Quran ingawa wapo Waislam wengi hufanya reference ya mambo ya Mungu kupitia Biblia. Kwenye hili tunaweza kufungua UZI tofauti na hu na tukaendeleza mjadara huko na mimi nina ahidi kutokashfu IMANI ya yeyote
Lakini huoni hii ina maanisha mmoja kafoji?? Sasa swali linakuja (offcourse inahitaji uzi wake) je nani mkweli na nani muongo??
 
Mkuu Zitto Jr, kwanza niseme wazi, nimependa jinsi unavyo dadavua, hushindani bali unajenga HOJA, something which I also like. Wakristo wanao bisha hapo kwenye Bold, waende wakasome kwenye Biblia tena kitabu cha Mwanzo sura ya 6 kama sikosei, inasema the same thing na alicho kisema Henoko, na hapo kwenye italic, again sioni kama ni tofauti na Biblia, the issue is, hivi kwa mfano leo hi wanajeshi wote wa JMT (police, wanajeshi, mgambo, TISS, magereza etc) wote wauawe kwenye battle (nasema battle na sio vita) na amiri jeshi mkuu ndio awe amewatuma, tafsiri yake kwa mkuu wa nchi hapo ni ipi kama sio KUFA tu!? Nasema kafa kwasababu hawezi tena kutamba kwa lolote maanake hana security (kauri kama, ningeanza na shangazi zao hawezi tena kuzitamka zaidi tu ya kwenda kupiga magoti kwa huyo aliye ua hao askari wake) Remember Biblia inasema, nguvu ya mfalme ni watu wake, hivi kwa sisi tusio jua kutumia bunduki tunawezaje kua "nguvu ya mfalme?" But again, Kibiblia kuna namna 3 ya mtu kufa! Ya kwanza ni hiki kifo mtu anakufa na tunakwenda kumzika, ya pili ni mtu wa Mungu kumuacha Mungu na kurudia DHAMBI, hicho nacho ni KIFO na aina ya tatu ni hiki, mtu aliyekua MPAGANI (with this case is Pharao) na kumrudia Mungu, huyu nae amekufa, yaani matendo yake ya mwili yamekufa na kule kubatizwa ndio anazikwa na kufufuka na kua mwili mpya. SO bado sijaona tofauti ya Henoko na Biblia (ingawa hicho kitabu sijakisoma)
Mkuu nashukuru kwa maelezo yako ila bado nasimamia hoja kwamba Book of jasher kwa standard za ukristo ni kitabu cha kipagani kabisa maana kinakinzana na bible mfano Book of jasher sura ya 80 inasema wamisri walipigwa na mapigo 15 ilihali Biblia inasema mapigo ni 10 pekee je huku kukinzana haukifanyi kuwa kitabu cha kipagani.

Pia jasher 81 inasema bahari iligawanyika mara 12 ilihali Biblia inasema tu kuwa iligawanywa mara mbili waisrael wakavuka...pia inasema

Pia bible inasema musa alikimbilia midian lakini Jasher inasema Musa alikimbilia ethiopia na akawa mfalme

Je huu ukinzano haukifanyi jasher kuwa cha kipagani
 
Lutu alilala na binti yake kwa kupenda mwenyewe!
Whatever ila Daudi alifanya huo unyama hivyo kama aliweza kumlala mke wa mtu alafu akamuua sidhani kama angeshindwa lolote jingine hyo ndio hoja.
 
Kumbe kila kitabu nje ya Biblia ni cha kipagani?? Na kama vitabu ulivyoorodhesha hapo vipo, ungetoa ushahidi kama mfno!
Biblia imequote kitabu cha Henoko na kitabu cha yashari sasa Yashari anasema misri ilipigwa na mapigo 15 sio 10 kama Biblia inavyosema

Pia inasema musa alikimbilia ethiopia na kuwa mfalme na sio huko midian kama biblia inavyodai

Pia inadai pharaoh hakufa kwenye bahari ila aliendelea kuishi ilihali zaburi kwenye biblia inasema pharaoh na jeshi lake waliteketea wote kwenye bahari

Sasa nikuhoji ww je kitabu hiki kukinzana na Biblia nikikiita cha kipagani nakosea?? Na kama sio cha kipagani je unakubaliana nacho ilihali kinaipinga Biblia wakati wote tunajua Mungu hawezi kujipinga mwenyewe

Karibu tueleweshane
 
Ikiwa akili haina sifa timilifu
Hata kama watakusanyika watu wote,Bado sifa itabaki pale pale,nayo ni kutotimia asilimia 100
Unapomuoma mtu,anakuwa na jeuri na nguvu bandia,mpaka kumjadili Muumba mbingu na ardhi au kuwajadili Manabii wa Mola
Basi,sifa yake ya upunguani,ndio inajidhihirisha kidogo kidogo
atafika sehemu
atamkana mpaka Mama yake mzazi,na kukana haki zake
atakuja kumuoa Mama yake,huku akiuliza
Ni nani ameweka sheria hizi?!!
atamuoa mpaka Dada yake tumbo moja
huku akijiona kuwa yupo sawa

Tunamshukuru Muumba mbingu na ardhi,kwa kutupa mwangaza sahihi wa kumtumia yeye tu
Hakuna Mola apasae kuabudiwa kwa Haki,isipokuwa Mola mmoja tu,na Mohammad ni Mtume wake
Shukran
Naona Mkuu, umechafukwa umeshindwa kujenga hoja, umeamua kurusha Ngumi live live....!!!
 
1: Hadi Yesu anakuja Standard bible ilikuwepo. Walikuwa hawasomi kila kitu mwenye masinagogi kama maandiko matakatifu.
Hicho kilichokuwepo kwenye Hekalu na masinagogi ambacho hata Yesu alikisoma na akasema kinamuelezea yeye ndio bibilia ya wakati huo.
Kama nilivykupa mfano wa jinsi yalivyohifadhiwa. Ndio maana Yesu alisema '' Mwayachunguza maandiko'' alikuwa hazungumzii vitabu vya kufikirika kila andiko lililokuwepo. na hivyo unavyosema sijawahi kujifunza popote kuwa enzi za Yesu vulikuwa ni maandiko matakatifu na Yesu hakuwahi kuviquote au kuviendorse.

Bibilia inasema maneno ya manabii huwatii manabii ikitokea kuna ukinzani hapo kuna sababu ya kujiuliza kwa nini. Ila ikiwa maelezo na mafunzo ya samweli yanaumana na waandishi wenzake wa bibilia ila yanakinzana na huyo Gadi. Muamini Samweli. Kuhusu daudi kutenda dhambi haijalishi ziliandikwa zote au kadhaa, ikiwa alitembea katika mwili alikuwa prone kufanya kila aina ya uovu. Ila ukweli ni kwamba alimrudia Mungu, na Mungu akasema hakuna mtu aliyenipenda na kunitii kama Daudi kuonyesha Mungu anasemehe na kutupilia mbali makosa ya kale.
Katika maandishi ya kiyahudi ambayo yalitambuliwa kama Maandiko matakatifu kwa Uongozi wa Mungu, Unaushahidi wowote kuwa walikuwa wanakitabu CHA GADI, au tukienda kwenye masinagogi yao Tutaambiwa hilo? kama sio Basi Kitabu cha Gadi kitabaki kuwa kitabu ambacho sio Maandiko matakatifu. Ukiambiwa habari za mkwawa utazikuta kwa mchawi mkuu wake haimaanishi kila kilichoandikwa na mchawi huyo ni sahihi.

2: Wakinanani hao, unaweza kufunguka zaidi. maana compilation ya bibilia inamambo mengi ya kuzungumzia.

3: Licha ya hiyo changamoto. Kikubwa ambacho nakisisitiza ni doctrinal consistence ya hivyo vitabu 66 ya bibilia. Fact kuu ni kuwa hakuna og mauscript
hivyo ushahidi wa kuungana mkono kwa vitabu hivyo, Lakini pia magombo mengi ya kale yanayovumbuliwa yanaonyesha kuwepo kwa barua nyingi zilizokuwa zikisambaa katika makanisa ya awali na ufanano wa kimafundisho na misistizo ambayo inaungana kama mnyororo kuanzia mwanzo hadi ufunuo. Usadikisho wa Lengo kuu la Mungu kwa mwanadamu mdambi unapatikana katika vitabu vyote. Ila hivyo unavyotaka viingizwe kama authority sawa na bibilia ambavyo havina idadi na vingine licha ya kuwa na sehemu chache zinazungana na bibilia tunayoiamini vina mavitu mengi ya ajabu yasiokidhi viwango vya kuingia katika mnyororo wa Mwanzo hadi Ufunuo. Yaani anguko la mwanadamu, Wokovu kupitia Yesu.
Bro umeongea uongo au umedanganywa na wewe, Biblia haikuwepo wakati wa Yesu hajawahi kuiona na hajawahi hata kuitamka sijui kama unajua hata neno bible au biblia halipo ndani ya biblia...Yesu alikuja na injili ambayo nayo imepotea kilichopo sasa ni mkisanyiko wa umwaandish ambao hawajulikan walioandika habari walizisikia kwa wamafunz wa Yesu..biblia ya kwanza imepatikana miaka 300 baada Ya Yesu kuondoka neno bible linatokana na neno la kigiriki bublos maana yake kitabu au maktaba sio neno la Mungu huo ndio ukweli wa bible ukienda kuchek kwa mtandao kitabu kinaitwa biblia kimetokana waandish wa bible ya kwanza ambao wagirik na walatin.!
 
unajitoa ufahamu sio!!!!!!!

Until, when he reached the setting of the sun, he found it setting in a spring of dark mud, and he found near it a people. Allah said,
Ngoja nikusiaidie bro usiendelee kupotosha au kupotoka huo mstari unarumiwa sana na watu wanojaribu kuiprove Quran wrong kwenye masuala ya kisayans ila kinachowashinda ni Tafsiri na uzuri wa Quran baso ipo kwa lugha yake ya asili neno Setting lilitumiwa kwa lugha asili limetumika neno Magharib neno hili linamaana ya kutuama,linamaana ya reflection na pia linamaana ya muda nyakati huku tunaita jion..

Kwa bahati nzuri maana zote tatu zinafit kwenye hilo tukio sababu zulkanain wakati anafika eneo lile ilikuwa muda jua kutumuama sehem ile kulikuwa na maji na matope ambalo jua lime reflect eneo lile na ukitazama ni kama linatuama kwenye eneo lile kama hufahamu Quran matukio mengj imeyazungumza kwa lugha ya picha ili ujenge picha ya mazingira halisi yalivyokuwa pili Allah ametumia ambayo sisi tunaizungumza na kuilewa...kwa mfano wana sayansi na watu wengine wa masuala ya hali ya hewa wanatumia lugha Sun set na sun Rise au kiswahili tuseme jua kuchomoza na kuzama je kisayans jua linachomoza na kuzama?? Si tunapata usiku na mchana kwa kuzunguka dunia why tunasema sun rise au syn set?

So kinachowachanganya hapo ni tafsri na pili Allha ametumia Lugha ambayo sisi wanadamu tunailewa na kuitumia kuzama kwa jua na tatu pale ilikiwa inazungumzwa lugha ya picha ili uweze kujenga picha alikiwa eneo linaomekama vip nakusadia kukuwekea picha uone kulichomaanishwa

Hichi ni kitabu kisicho na shaka ndani yake leta hoja nyingine nipo tayari kuzipangua nikipata Muda zipo nyingi watu wanazi rise kwa kupotosha au kweki hawakuelewa nini kulizungumzwa..!
images.jpeg
 
Back
Top Bottom