Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 2,116
- 3,895
Nitalifanyia kazi.Yohana 19:14 - "Nayo ilikuwa Maandalio ya Pasaka, yapata saa sita. Akawaambia Wayahudi, Tazama, Mfalme wenu!"
Nitalifanyia kazi.Yohana 19:14 - "Nayo ilikuwa Maandalio ya Pasaka, yapata saa sita. Akawaambia Wayahudi, Tazama, Mfalme wenu!"
Yohana 19:31- "Basi Wayahudi, kwa sababu ni Maandalio, miili isikae juu ya misalaba siku ya sabato, (maana sabato ile ilikuwa siku kubwa), walimwomba Pilato miguu yao ivunjwe, wakaondolewe."Wakati wa pasaka
😹😹😹 Hapo lazima uwe mwehu..!!
No konturadikisheni..Yohana 19:31- "Basi Wayahudi, kwa sababu ni Maandalio, miili isikae juu ya misalaba siku ya sabato, (maana sabato ile ilikuwa siku kubwa), walimwomba Pilato miguu yao ivunjwe, wakaondolewe."
Yesu na wazazi wako walienda Misri au walibaki Israel baada ya kuzaliwa?Niko kitabu cha injili ya yohana 4 mkuu hakuna cha contradiction wala micontradiction mbona...
Usiku mwema!Yesu na wazazi wako walienda Misri au walibaki Israel baada ya kuzaliwa?
Niletee maandiko ya kutoka Injili ya Luka.
Kulikuwa na malaika wangapi kwenye kaburi la Yesu ?Niko kitabu cha injili ya yohana 4 mkuu hakuna cha contradiction wala micontradiction mbona...
wawili...Kulikuwa na malaika wangapi kwenye kaburi la Yesu ?
Mmojawawili...
Inategemeana unazungumzia wakati gani mkuu!Mmoja
Nazungumzia Mary Magdalene alipoenda kaburini kwake.Inategemeana unazungumzia wakati gani mkuu!
Baba yake Joseph mume wa Mary anaitwa nani ?Niko kitabu cha injili ya yohana 4 mkuu hakuna cha contradiction wala micontradiction mbona...
Aliona wawili mmoja ameketi miguu na kichwani alipokuwa amelazwa YESUNazungumzia Mary Magdalene alipoenda kaburini kwake.
Baba yake joseph hana umuhimu kwenye wokovu mkuu...Baba yake Joseph mume wa Mary anaitwa nani ?
kama waliondika walivuviwa na Roho Mtakatifu kwanza ndo wakaandika nawe vuviwa kwanza na Roho Mtakatifi ndo uisome...out of that tuliaSiku ya 33 nasoma hii Biblia, lakini kila nikiendelea mbele ndio kwanza nachanganyikiwa na madudu yaliyomo humu! Wakristo wote mnasema hiki kitabu kimeandikwa na watu waliyovuviwa Roho Mtakatifu.
Kama ni roho mtakatifu inakuaje ameshindwa kuandika kitabu kikanyooka.? Yani humu ndani kuna makosa kibao..
Mwanzo 22:1 inasema Mungu alimjaribu Ibrahimu amchinje Isaka. Lakini Yakobo 1:13 inakataa katakata ikisema Mungu hamjaribu mtu yeyote.
Asa tushike nini hapo? Inamaana huyo Roho mtakatifu alisahau alichoandika Mwanzo hadi akaja kujikana kwenye Yakobo? Hilo ni kosa la wazi kabisa linaloonesha jinsi kitabu hiki kilivyojaa stori tu za kutungwa na wanadamu..
Marko 10:46 inasema walipokuwa wanatoka Yeriko, alikuwepo kipofu mmoja tu kando ya njia, jina lake Bartimayo. Lakini ukifungua Mathayo 20:30, kwenye muujiza ule ule, mahali pale pale, anadai walikuwa vipofu wawili.
Kitabu cha Mungu wa kweli hakiwezi kuwa na madudu na sarakasi kama hizi. Hizi ni stori tu za kupokezana zilizotungwa bila uhakiki wowote.
Kwenye 2 Samweli 24:1, Mungu ndiye aliyemfanya Daudi kwenda kuhesabu watu wa Israeli. Lakini ukifungua 1 Mambo ya Nyakati 21:1 habari inabadilika mchana kweupe ikisema Shetani ndiye aliyesimama na kumfanya Daudi ahesabu watu.
Kwamaana hiyo huyo roho mtakatifu ni punguani sana.
Kwenye 2 Samweli 10:18 inaandikwa wazi kabisa kuwa Daudi akaua watu wa magari mia saba miongoni mwa maadui zake.
Lakini ukifungua 1 Mambo ya Nyakati 19:18, kwenye vita ile ile, mahali pale pale na maadui wale wale, idadi inapaa na kuwa magari elfu saba. Sifuri nzima ya ziada imetoka wapi? Roho wenu alikuwa amelewa kiasi gani hadi ashindwe kuhesabu namba ya magari kwenye tukio moja la kihistoria?.
Kwakweli Sarakasi hizi zinaonyesha jinsi hadithi hizi zilivyotungwa bila hata kufanyiwa uhakiki
Wazazi wangu hawakuwepo mkuuYesu na wazazi wako walienda Misri au walibaki Israel baada ya kuzaliwa?
Niletee maandiko ya kutoka Injili ya Luka.
Yesu alizaliwa Herod mkuu akiwa Mtawala wa Israel au Gavana Quirinius ?Niko kitabu cha injili ya yohana 4 mkuu hakuna cha contradiction wala micontradiction mbona...
Siwezi kumusemea mtu, kwa sababu mimi sio Herod.Yesu alizaliwa Herod mkuu akiwa Mtawala wa Israel au Gavana Quirinius ?