Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,554
- 110,100
Soma Biblia kijana, haya yote yako humo.Siwezi kumusemea mtu, kwa sababu mimi sio Herod.
Soma Biblia kijana, haya yote yako humo.Siwezi kumusemea mtu, kwa sababu mimi sio Herod.
Hayana umuhimu sana..Soma Biblia kijana, haya yote yako humo.
Uzzuri ni kwamba biblia imeandikwa kwa lugha nyingi kwa lengo la kuwafikia watu wengi.Siku ya 33 nasoma hii Biblia, lakini kila nikiendelea mbele ndio kwanza nachanganyikiwa na madudu yaliyomo humu! Wakristo wote mnasema hiki kitabu kimeandikwa na watu waliyovuviwa Roho Mtakatifu.
Kama ni roho mtakatifu inakuaje ameshindwa kuandika kitabu kikanyooka.? Yani humu ndani kuna makosa kibao..
Mwanzo 22:1 inasema Mungu alimjaribu Ibrahimu amchinje Isaka. Lakini Yakobo 1:13 inakataa katakata ikisema Mungu hamjaribu mtu yeyote.
Asa tushike nini hapo? Inamaana huyo Roho mtakatifu alisahau alichoandika Mwanzo hadi akaja kujikana kwenye Yakobo? Hilo ni kosa la wazi kabisa linaloonesha jinsi kitabu hiki kilivyojaa stori tu za kutungwa na wanadamu..
Marko 10:46 inasema walipokuwa wanatoka Yeriko, alikuwepo kipofu mmoja tu kando ya njia, jina lake Bartimayo. Lakini ukifungua Mathayo 20:30, kwenye muujiza ule ule, mahali pale pale, anadai walikuwa vipofu wawili.
Kitabu cha Mungu wa kweli hakiwezi kuwa na madudu na sarakasi kama hizi. Hizi ni stori tu za kupokezana zilizotungwa bila uhakiki wowote.
Kwenye 2 Samweli 24:1, Mungu ndiye aliyemfanya Daudi kwenda kuhesabu watu wa Israeli. Lakini ukifungua 1 Mambo ya Nyakati 21:1 habari inabadilika mchana kweupe ikisema Shetani ndiye aliyesimama na kumfanya Daudi ahesabu watu.
Kwamaana hiyo huyo roho mtakatifu ni punguani sana.
Kwenye 2 Samweli 10:18 inaandikwa wazi kabisa kuwa Daudi akaua watu wa magari mia saba miongoni mwa maadui zake.
Lakini ukifungua 1 Mambo ya Nyakati 19:18, kwenye vita ile ile, mahali pale pale na maadui wale wale, idadi inapaa na kuwa magari elfu saba. Sifuri nzima ya ziada imetoka wapi? Roho wenu alikuwa amelewa kiasi gani hadi ashindwe kuhesabu namba ya magari kwenye tukio moja la kihistoria?.
Kwakweli Sarakasi hizi zinaonyesha jinsi hadithi hizi zilivyotungwa bila hata kufanyiwa uhakiki
Punguza munkar sheikh 😅Mnahangaika sana kumtetea huyo Mungu wa kufikirika na Biblia yake ya kutungwa na wajinga wa kale.
Huyo Mungu kama yupo, aje ajitetee mwenyewe na kujieleza.
Aje ajiongelee mwenyewe na kujidhihirisha kama ana huo uwezo.
Sio ninyi mnahangaika kumtetea na kumuelezea.
Atoke huko alipo aje.
Waamini ndio huwa mnasoma Biblia kama kitabu cha simulizi(novels) au gazeti kwa mtiririko bila kufanya ulinganisho/comparison/uchambuzi. Ukivisoma vitabu vya injili kwa kulinganisha kila tukio katika injili zote nne mkanganyiko (contradictions) imejaa tele.Msomaji nimegundua vitu zaidi ya kimoja kutoka kwako, nitakwambia vichache cha kwanza naona una makasiriko, hasira ni kama vile umelazimishwa kusoma Biblia ukisoma ukiwa hivyo trust me hata usome mwaka mzima utaona nyota nyota tu, huna nia ya kujifunza so far. Cha pili tofautisha Biblia na gazeti au kitabu cha simulizi n.k mtu yeyote akitoka atokapo akaanza kusoma hatoelewa inahitaji utulivu wa akili, na kufungua moyo na akili kuwa unahitaji kujifunza na si vinginevyo, walioandika walikuwa na uvuvio wa Roho Mtakatifu je si zaidi sana yule asomaye? Unatakiwa kuwa kwanza na huyo Roho, Cha mwisho ukizingatia hayo niliokwambia ndipo utakaposoma na kufahamu, AU mfuate mtu aliyejazwa especially kiongozi wako atakupa mwongozo wa namna ya kuanza kuisoma.
Cognitive dissonance Strategies.Hayana umuhimu sana..
Biblia ni kitabu cha utamaduni wa watu wa ulaya unatumiaga ugoro au bangi???????????Naomba niende nje ya hoja.
Biblia ni kitabu cha utamaduni wa watu wa ulaya kilicholetwa kuutoa utamaduni wa kiafrika na kuuingiza wa kizungu ili kurahisisha utawala wa sheria kwa mkoloni, (usiue, usiseme uongo, usidhini, usitamani cha mwenzako n.k) .
Baada ya ukoloni kuisha huu utamaduni umeendelea kiwepo hivyo basi kuwa makini
All in all biblia sio kitabu kibaya
Unaelewa nini kuhusu papal states?Biblia ni kitabu cha utamaduni wa watu wa ulaya unatumiaga ugoro au bangi???????????
biblia na ulaya wapi na wapi????????????????????????
kilicholetwa kuutoa utamaduni wa kiafrika na kuuingiza wa kizungu uzungu gani upo kwenye biblia????????
hujui weazungu wenyewe walipelekewa biblia???????????????????
biblia mostly imeandikwa middle east asilimia kubwa na visiwa vya patmo na pauloUnaelewa nini kuhusu papal states?
Nani aliileta biblia afrika ya mashariki? Na kuwafundisha watu neno na kuitafsiri kwa lugha za asili na kwa dhumuni gani?biblia mostly imeandikwa middle east asilimia kubwa na visiwa vya patmo na paulo
papal state ya italy ni kipindi papa ananguvu na kumiliki maeneo aliyoyapoteza na kukupaliwa vatican iwe nchi na mussolin
Kama mtu akijaribiwa, asiseme: “Ninajaribiwa na Mungu.” Maana Mungu hawezi kujaribiwa na uovu, wala yeye hamjaribu mtu yeyote .YAKOBO 1:13Siku ya 33 nasoma hii Biblia, lakini kila nikiendelea mbele ndio kwanza nachanganyikiwa na madudu yaliyomo humu! Wakristo wote mnasema hiki kitabu kimeandikwa na watu waliyovuviwa Roho Mtakatifu.
Kama ni roho mtakatifu inakuaje ameshindwa kuandika kitabu kikanyooka.? Yani humu ndani kuna makosa kibao..
Mwanzo 22:1 inasema Mungu alimjaribu Ibrahimu amchinje Isaka. Lakini Yakobo 1:13 inakataa katakata ikisema Mungu hamjaribu mtu yeyote.
Asa tushike nini hapo? Inamaana huyo Roho mtakatifu alisahau alichoandika Mwanzo hadi akaja kujikana kwenye Yakobo? Hilo ni kosa la wazi kabisa linaloonesha jinsi kitabu hiki kilivyojaa stori tu za kutungwa na wanadamu..
Marko 10:46 inasema walipokuwa wanatoka Yeriko, alikuwepo kipofu mmoja tu kando ya njia, jina lake Bartimayo. Lakini ukifungua Mathayo 20:30, kwenye muujiza ule ule, mahali pale pale, anadai walikuwa vipofu wawili.
Kitabu cha Mungu wa kweli hakiwezi kuwa na madudu na sarakasi kama hizi. Hizi ni stori tu za kupokezana zilizotungwa bila uhakiki wowote.
Kwenye 2 Samweli 24:1, Mungu ndiye aliyemfanya Daudi kwenda kuhesabu watu wa Israeli. Lakini ukifungua 1 Mambo ya Nyakati 21:1 habari inabadilika mchana kweupe ikisema Shetani ndiye aliyesimama na kumfanya Daudi ahesabu watu.
Kwamaana hiyo huyo roho mtakatifu ni punguani sana.
Kwenye 2 Samweli 10:18 inaandikwa wazi kabisa kuwa Daudi akaua watu wa magari mia saba miongoni mwa maadui zake.
Lakini ukifungua 1 Mambo ya Nyakati 19:18, kwenye vita ile ile, mahali pale pale na maadui wale wale, idadi inapaa na kuwa magari elfu saba. Sifuri nzima ya ziada imetoka wapi? Roho wenu alikuwa amelewa kiasi gani hadi ashindwe kuhesabu namba ya magari kwenye tukio moja la kihistoria?.
Kwakweli Sarakasi hizi zinaonyesha jinsi hadithi hizi zilivyotungwa bila hata kufanyiwa uhakiki
Kama hakuna aliyemuona, mlijuaje yupo?Punguza munkar sheikh 😅
Biblia inasema hakuna aliyemwona Mungu akaishi.
Hivyo kama unataka kumwona ujue ukishamtia machoni anaondoka na wewe😎