Biblia ina makosa? Nachanganyikiwa!

Biblia ina makosa? Nachanganyikiwa!

Siku ya 33 nasoma hii Biblia, lakini kila nikiendelea mbele ndio kwanza nachanganyikiwa na madudu yaliyomo humu! Wakristo wote mnasema hiki kitabu kimeandikwa na watu waliyovuviwa Roho Mtakatifu.
Kama ni roho mtakatifu inakuaje ameshindwa kuandika kitabu kikanyooka.? Yani humu ndani kuna makosa kibao..

Mwanzo 22:1 inasema Mungu alimjaribu Ibrahimu amchinje Isaka. Lakini Yakobo 1:13 inakataa katakata ikisema Mungu hamjaribu mtu yeyote.

Asa tushike nini hapo? Inamaana huyo Roho mtakatifu alisahau alichoandika Mwanzo hadi akaja kujikana kwenye Yakobo? Hilo ni kosa la wazi kabisa linaloonesha jinsi kitabu hiki kilivyojaa stori tu za kutungwa na wanadamu..

Marko 10:46 inasema walipokuwa wanatoka Yeriko, alikuwepo kipofu mmoja tu kando ya njia, jina lake Bartimayo. Lakini ukifungua Mathayo 20:30, kwenye muujiza ule ule, mahali pale pale, anadai walikuwa vipofu wawili.

Kitabu cha Mungu wa kweli hakiwezi kuwa na madudu na sarakasi kama hizi. Hizi ni stori tu za kupokezana zilizotungwa bila uhakiki wowote.

Kwenye 2 Samweli 24:1, Mungu ndiye aliyemfanya Daudi kwenda kuhesabu watu wa Israeli. Lakini ukifungua 1 Mambo ya Nyakati 21:1 habari inabadilika mchana kweupe ikisema Shetani ndiye aliyesimama na kumfanya Daudi ahesabu watu.
Kwamaana hiyo huyo roho mtakatifu ni punguani sana.

Kwenye 2 Samweli 10:18 inaandikwa wazi kabisa kuwa Daudi akaua watu wa magari mia saba miongoni mwa maadui zake.

Lakini ukifungua 1 Mambo ya Nyakati 19:18, kwenye vita ile ile, mahali pale pale na maadui wale wale, idadi inapaa na kuwa magari elfu saba. Sifuri nzima ya ziada imetoka wapi? Roho wenu alikuwa amelewa kiasi gani hadi ashindwe kuhesabu namba ya magari kwenye tukio moja la kihistoria?.

Kwakweli Sarakasi hizi zinaonyesha jinsi hadithi hizi zilivyotungwa bila hata kufanyiwa uhakiki
Nimezungumzia haya mambo miaka na miaka hapa JF.

Mtaelewa tu polepole.
 
We wa mwilini utaijuaje biblia? Kwanza huna roho mtakatifu, unasoma biblia kama novel hutaelewa kitu
 
Ni roho Mtakatifu ndiye aliwaambia Wasabato wasali Jumamosi, wasile kitimoto na Kambale halafu akawaambia wengine wasali Jumapili na wale tu kitimoto na Kambale?
Roho Mtakatifu ndiye aliwaambia Wakatoliki pombe haina shida halafu akawaambia wengi pombe ni dhambi?
Roho Mtakatifu ndiye aliwaambia mashahidi wa Yehova mungu sio utatu halafu akawaambia wengine ni nafsi tatu??
Ukisoma biblia agano jipya nala kale utaujua ukweli kama unataka kujua nenda kasome .
 
Mwanzo 22:1 vs yakobo 1:13

Maandiko haya hayawezi kukinzana yanapochunguzwa kwa kutumia lugha za asili za Biblia na muktadha wa maneno hayo.

Utofauti huu unatokana na jinsi neno "jaribu" lilivyotafsiriwa katika Kiswahili, wakati katika lugha za asili (Kiebrania na Kiyunani/Kigiriki) lina maana mbili tofauti kabisa:

1. Mwanzo 22:1 – Subira na Kipimo cha Imani (Testing)
* Lugha ya Asili (Kiebrania): Neno lililotumika ni Nassah.
* Maana: Kupima, kumpa mtu mtihani ili kudhihirisha au kuimarisha uwezo, utii, au imani yake.
* Lengo la Mungu: Mungu hakumjaribu Ibrahimu ili amuangushe au kumfanya atende dhambi. Alimpa mtihani wa imani ili kudhihirisha utii wake na kumwekea kielelezo cha imani. Ndio maana Mungu alimzuia asimdhuru Isaka mwishoni na akatoa kondoo wa sadaka.

2. Yakobo 1:13 – Vishawishi vya Kutenda Dhambi (Temptation)
* Lugha ya Asili (Kiyunani): Neno lililotumika ni Peirazo.
* Maana: Kushawishi mtu kutenda dhambi au uovu ili amwasi Mungu.
* Lengo: Yakobo anaeleza kuwa Mungu hana ubaya ndani yake na hawatamanishi watu au kuwashawishi kutenda dhambi. Vishawishi vya dhambi vinatoka katika tamaa mbaya za mtu mwenyewe na kwa Shetani.
Muhtasari wa Tofauti
* Mungu anajaribu (Kupima/Mtihani): Ili kukua, kujenga, na kudhihirisha imani (kama mtihani wa shuleni).
* Mungu hajaribu (Kushawishi dhambi): Mungu hamvuti wala hamshawishi mtu yeyote atende uovu au dhambi.
Itakuwa ww n mchungaji wa kisabato
 
Agano la kale ni kitabu cha utamaduni wa Kiyahudi ila ukweli wazungu walijuwa kuitumia Biblia vizuri kwa ujumla wake kwa manufaa yao.
UKiwa unaijua vizuri historia ya ulaya jinsi utawala ulivyokuwa agano jipya la kwenye biblia haliwezi kukusumbua kusoma na kujua mwandishi nini anataka

Hiyo biblia inahusisha nchi za ulaya na afrika ya kaskazini. Kuanzia italy, Iran, ugiriki ituruki Palestina Israel , Misri, Ethiopia, kipindi cha ufalme enzi za mapanga farasi ngamia na utumwa

Biblia haihusishi nchi za asia, australia afrika mashariki, afrika ya kati na afrika ya kusini kama kuna mtu snabisha athibitishe.
 
Siku ya 33 nasoma hii Biblia, lakini kila nikiendelea mbele ndio kwanza nachanganyikiwa na madudu yaliyomo humu! Wakristo wote mnasema hiki kitabu kimeandikwa na watu waliyovuviwa Roho Mtakatifu.
Kama ni roho mtakatifu inakuaje ameshindwa kuandika kitabu kikanyooka.? Yani humu ndani kuna makosa kibao..

Mwanzo 22:1 inasema Mungu alimjaribu Ibrahimu amchinje Isaka. Lakini Yakobo 1:13 inakataa katakata ikisema Mungu hamjaribu mtu yeyote.

Asa tushike nini hapo? Inamaana huyo Roho mtakatifu alisahau alichoandika Mwanzo hadi akaja kujikana kwenye Yakobo? Hilo ni kosa la wazi kabisa linaloonesha jinsi kitabu hiki kilivyojaa stori tu za kutungwa na wanadamu..

Marko 10:46 inasema walipokuwa wanatoka Yeriko, alikuwepo kipofu mmoja tu kando ya njia, jina lake Bartimayo. Lakini ukifungua Mathayo 20:30, kwenye muujiza ule ule, mahali pale pale, anadai walikuwa vipofu wawili.

Kitabu cha Mungu wa kweli hakiwezi kuwa na madudu na sarakasi kama hizi. Hizi ni stori tu za kupokezana zilizotungwa bila uhakiki wowote.

Kwenye 2 Samweli 24:1, Mungu ndiye aliyemfanya Daudi kwenda kuhesabu watu wa Israeli. Lakini ukifungua 1 Mambo ya Nyakati 21:1 habari inabadilika mchana kweupe ikisema Shetani ndiye aliyesimama na kumfanya Daudi ahesabu watu.
Kwamaana hiyo huyo roho mtakatifu ni punguani sana.

Kwenye 2 Samweli 10:18 inaandikwa wazi kabisa kuwa Daudi akaua watu wa magari mia saba miongoni mwa maadui zake.

Lakini ukifungua 1 Mambo ya Nyakati 19:18, kwenye vita ile ile, mahali pale pale na maadui wale wale, idadi inapaa na kuwa magari elfu saba. Sifuri nzima ya ziada imetoka wapi? Roho wenu alikuwa amelewa kiasi gani hadi ashindwe kuhesabu namba ya magari kwenye tukio moja la kihistoria?.

Kwakweli Sarakasi hizi zinaonyesha jinsi hadithi hizi zilivyotungwa bila hata kufanyiwa uhakiki
Bado,utaokota hadi makopo
 
Hayo uliyo sema siyo makosa ni wewe kichwa chako kidogo..mfano hiyo mwanzo ..kuwa Mungu amjaribu mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom