Karibu shekhe tule Nguruwe na pombeSiku ya 33 nasoma hii Biblia, lakini kila nikiendelea mbele ndio kwanza nachanganyikiwa na madudu yaliyomo humu! Wakristo wote mnasema hiki kitabu kimeandikwa na watu waliyovuviwa Roho Mtakatifu.
Kama ni roho mtakatifu inakuaje ameshindwa kuandika kitabu kikanyooka.? Yani humu ndani kuna makosa kibao..
Mwanzo 22:1 inasema Mungu alimjaribu Ibrahimu amchinje Isaka. Lakini Yakobo 1:13 inakataa katakata ikisema Mungu hamjaribu mtu yeyote.
Asa tushike nini hapo? Inamaana huyo Roho mtakatifu alisahau alichoandika Mwanzo hadi akaja kujikana kwenye Yakobo? Hilo ni kosa la wazi kabisa linaloonesha jinsi kitabu hiki kilivyojaa stori tu za kutungwa na wanadamu..
Marko 10:46 inasema walipokuwa wanatoka Yeriko, alikuwepo kipofu mmoja tu kando ya njia, jina lake Bartimayo. Lakini ukifungua Mathayo 20:30, kwenye muujiza ule ule, mahali pale pale, anadai walikuwa vipofu wawili.
Kitabu cha Mungu wa kweli hakiwezi kuwa na madudu na sarakasi kama hizi. Hizi ni stori tu za kupokezana zilizotungwa bila uhakiki wowote.
Kwenye 2 Samweli 24:1, Mungu ndiye aliyemfanya Daudi kwenda kuhesabu watu wa Israeli. Lakini ukifungua 1 Mambo ya Nyakati 21:1 habari inabadilika mchana kweupe ikisema Shetani ndiye aliyesimama na kumfanya Daudi ahesabu watu.
Kwamaana hiyo huyo roho mtakatifu ni punguani sana.
Kwenye 2 Samweli 10:18 inaandikwa wazi kabisa kuwa Daudi akaua watu wa magari mia saba miongoni mwa maadui zake.
Lakini ukifungua 1 Mambo ya Nyakati 19:18, kwenye vita ile ile, mahali pale pale na maadui wale wale, idadi inapaa na kuwa magari elfu saba. Sifuri nzima ya ziada imetoka wapi? Roho wenu alikuwa amelewa kiasi gani hadi ashindwe kuhesabu namba ya magari kwenye tukio moja la kihistoria?.
Kwakweli Sarakasi hizi zinaonyesha jinsi hadithi hizi zilivyotungwa bila hata kufanyiwa uhakiki
1:14 mtu yeyote tamaa yake ndio humuingiza katika majaribu kama ww unavyowaza kuoa wake 4 huku hata 100 ya kula inakusumbua Biblia sio Quran iliyotungwa kwa kubadili mistali kutoka katka bibliaSiku ya 33 nasoma hii Biblia, lakini kila nikiendelea mbele ndio kwanza nachanganyikiwa na madudu yaliyomo humu! Wakristo wote mnasema hiki kitabu kimeandikwa na watu waliyovuviwa Roho Mtakatifu.
Kama ni roho mtakatifu inakuaje ameshindwa kuandika kitabu kikanyooka.? Yani humu ndani kuna makosa kibao..
Mwanzo 22:1 inasema Mungu alimjaribu Ibrahimu amchinje Isaka. Lakini Yakobo 1:13 inakataa katakata ikisema Mungu hamjaribu mtu yeyote.
Asa tushike nini hapo? Inamaana huyo Roho mtakatifu alisahau alichoandika Mwanzo hadi akaja kujikana kwenye Yakobo? Hilo ni kosa la wazi kabisa linaloonesha jinsi kitabu hiki kilivyojaa stori tu za kutungwa na wanadamu..
Marko 10:46 inasema walipokuwa wanatoka Yeriko, alikuwepo kipofu mmoja tu kando ya njia, jina lake Bartimayo. Lakini ukifungua Mathayo 20:30, kwenye muujiza ule ule, mahali pale pale, anadai walikuwa vipofu wawili.
Kitabu cha Mungu wa kweli hakiwezi kuwa na madudu na sarakasi kama hizi. Hizi ni stori tu za kupokezana zilizotungwa bila uhakiki wowote.
Kwenye 2 Samweli 24:1, Mungu ndiye aliyemfanya Daudi kwenda kuhesabu watu wa Israeli. Lakini ukifungua 1 Mambo ya Nyakati 21:1 habari inabadilika mchana kweupe ikisema Shetani ndiye aliyesimama na kumfanya Daudi ahesabu watu.
Kwamaana hiyo huyo roho mtakatifu ni punguani sana.
Kwenye 2 Samweli 10:18 inaandikwa wazi kabisa kuwa Daudi akaua watu wa magari mia saba miongoni mwa maadui zake.
Lakini ukifungua 1 Mambo ya Nyakati 19:18, kwenye vita ile ile, mahali pale pale na maadui wale wale, idadi inapaa na kuwa magari elfu saba. Sifuri nzima ya ziada imetoka wapi? Roho wenu alikuwa amelewa kiasi gani hadi ashindwe kuhesabu namba ya magari kwenye tukio moja la kihistoria?.
Kwakweli Sarakasi hizi zinaonyesha jinsi hadithi hizi zilivyotungwa bila hata kufanyiwa uhakiki
Niko kitabu cha injili ya yohana 4 mkuu hakuna cha contradiction wala micontradiction mbona...Umefikia wapi kuisoma Biblia?
Umeshafika robo ?
Umemaliza...🤝🏿🤝🏿🤝🏿🤝🏿Biblia imeandikwa kwa mafumbo na isingeandikwa kwa mafumbo hakuna ambaye angeenda kanisani
Yesu alisulibishwa kabla au baada ya Pasaka ?Niko kitabu cha injili ya yohana 4 mkuu hakuna cha contradiction wala micontradiction mbona...
Wakati wa pasaka!Yesu alisulibishwa kabla au baada ya Pasaka ?
Hapana mkuu BLACKTIGER bible imeandikwa na watumishi wa MUNGUKaratasi za baibo huwa navutia ganja
baibo imeandikwa na wahuni shazi!
Yesu aliwafukuza wabadilisha pesa hekaluni mwanzo wa huduma yake au mwisho wa huduma yake?Niko kitabu cha injili ya yohana 4 mkuu hakuna cha contradiction wala micontradiction mbona...
Kabla au Baada ?Wakati wa pasaka!
ndugu unaelekea kutenda dhambi kubwa isiyokua na msamaha..dhambi ya "kumkufuru Roho mtakatifu"
unachotakiwa ww ni kuamini tu...ukianza kutumia akili utapotea
wakati wa huduma yake.Yesu aliwafukuza wabadilisha pesa hekaluni mwanzo wa huduma yake au mwisho wa huduma yake?
Yohana 19:14 - "Nayo ilikuwa Maandalio ya Pasaka, yapata saa sita. Akawaambia Wayahudi, Tazama, Mfalme wenu!"Wakati wa pasaka!
Hahahhhh utajua hujui jibu ni wakati wa pasaka mkuuKabla au Baada ?
Wakati gani wa huduma yake?wakati wa huduma yake.
Yohana 19:14 - "Nayo ilikuwa Maandalio ya Pasaka, yapata saa sita. Akawaambia Wayahudi, Tazama, Mfalme wenu!"Hahahhhh utajua hujui jibu ni wakati wa pasaka mkuu
Wakati wa pasakaYohana 19:14 - "Nayo ilikuwa Maandalio ya Pasaka, yapata saa sita. Akawaambia Wayahudi, Tazama, Mfalme wenu!"