Bibi Tina wa Mwananyamala

Kumbe unaweza kujifunza uchawi kupitia Jf!
 
Yamenikuta, yamenikuta mtu mzima mi najuta, yamenikuta x3, ngoja nishuke zangu kwa mama ntilie, anijazie nifanye kweli!
 
Niliwahi kupanga Temeke, nilipohama ndio nikagundua kuwa yule mama mwenye nyumba nilikuwa nammega kisela, sema alinifanyia michezo nikawa nammega bila mi mwenyewe kujua. Uchawi upo jamani
 
Sikumaliza
Wewe ni muongo sana. Lakini I do appreciate your talents! Ni mtunzi mzuri na unauelewa mpana sana wa mambo. Nakushauri achana na huu utunzi wa kutafuta mashabiki au followers. Tumia vipaji na uelewa wako kuelimisha jamii. Jamii bado inahitaji elimu aliyokuwa anaitoa marehemu Munga Tehenani wa TKmedia. Pitia maandiko yake na tafuta namna uanze kutoa elimu hiyo ya stadi za maisha na kujitambua. Unao huo uwezo mzee. You are talented and knowledgeable enough. You also have many followers whose comments on your threads reveal their need for the education I'm talking about. Munga left a gap and you can fill it. Wasaidie watu.
 
Mimi ni muongo sana... Duu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…