Bibi Nomaaaa!! Cheka upasuke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bibi Nomaaaa!! Cheka upasuke

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Adrian Stepp, Nov 28, 2011.

 1. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Bibi kizee mmoja alikwenda benki moja maarufu sana hapa nchini ili kuweka fedha zake. Alipofika mapokezi aliuliza.
  "Naomba kumwona meneja mkuu wa benki hii"
  Mfanyakazi wa mapokezi akamuuliza,"Unataka kumuona kwa shida gani?"
  "Nataka kufungua akaunti" akajibu bibi
  "Akaunti inafunguliwa hapa hapa mapokezi, sio kwa meneja" akajibu mtu wa mapokezi.
  "Mimi nataka kufungua akaunti ofisini kwa meneja maana nina pesa nyingi sana hapa" akasisitiza yule bibi kizee
  "Hata hapa unawezxa kufungua kwa pesa hizo zote na zitakuwa kwenye usalama tu"
  " Kama hutaki kunuruhusu kufungulia kwa meneja, basi nakwenda kufungua kwenye benki nyingine" akasema bibi huku akiwa amechukia.
  Kuona hivyo, mfanyakazi wa mapokezi akaamua kumpeleka kwa meneja.
  "Kwa nini mmeshindwa kumfungulia akaunti huko mapokezi" akauliza meneja
  "Amesema lazima afungulie kwako na nilipomsisitiza afungulie mapokezi alitaka kuondoka"
  Basi meneja akaamua amfungulie yeye akaunti. Bibi akazitoa pesa, zilikuwa shilingi milioni kumi taslimu! hadi meneja akashangaa na kumuuliza,
  "Bibi inaonekana pesa hizi umezidunduliza kwa muda mrefu sana ee"
  "Hapana,nimezipata juzi juzi tu"
  "Umezipataje?"
  "Kwa kupinga na mtu"
  "Kweli? kupinga tu hadi ukapata pesa zote hizo?"
  "Yaah, nimepinga tu. Tena hata na wewe tunaweza kupinga tu"
  "Ehe,tunaweza kupinga vipi" akauliza meneja kwa udadisi.
  "Kwa mfano, tunaweza kupinga kuwa kesho saa kama hizi, pumbu zako zitakuwa za square yaani pembe nne. Kama zikiwa hivyo, wewe utanipa milioni kumi na zisipobadilika mimi nitakupa hizo zangu"
  Meneja kusikia hivyo, akakubali mara moja na wakapinga.
  Bibi kizee akaondoka. Meneja alibaki akiwa na wasiwasi sana , hadi alipotoka ofisini kila mara alikuwa anazishika pumbu zake kuona kama zimebadilika. Hadi siku iliyofuata asubuhi bado pumbu zake zilikuwa kama kawaida.Saa nne asubuhi bibi kizee alifika benkikwa meneja akiwa ameongozana na jamaa mmoja nyuma yake.
  "Ehe naona bibi umekuja" meneja akasema huku akiwa na wasiwasi.
  Mara moja akatoka kwenda chooni kuhakikisha kama pumbu zake ziko sawasawa. Akakuta hazijabadilika, akarudi mara moja ofisini kwake.
  "Haya bibi, pumbu zangu hazijabadilika, ehe, si unaona ziko sawasawa? nimekushinda!" akasema meneja kwa kutamba.
  Bibi kizee akamsogelea meneja na kumwambia kwa sauti ya chini chini.
  "Sawa baba lakini mimi nitahakikishaje?"
  "Njoo tu uzishike" akasema meneja.
  "Sawa lakini lazima uvue suruali nizishike pumbu zako nihakikishe" alisema bibi.
  Meneja akavua suruali na bibi kizee akaanza kuzichezea pumbu zake.Wakati akiendelea kuzichezea (zilikuwa hazijabadilika) yule
  mtu aliyeongozana na bibi alikuwa anajibamiza ukutani kwa nyuma. Meneja akashangaa na kumuuliza bibi.
  "Mbona huyo jamaa uliyekuja naye anajibamiza ukutani? huoni ataumia?"
  "Heh he heee! huyo KALIWA!!" alisema bibi na kuendelea,
  "Nilipinga naye jana kuwa leo hii saa nne nitakuwa nazichezea pumbu za meneja wa benki kubwa hapa nchini, akakataa eti siwezi. Tulipinga
  shilingi MILIONI ISHIRINI! hivi anakwenda kuzitoa baba!"
  Meneja akachukua milioni kumi na bibi akapata milioni ishirini!
  ha ha haaa ahaaaa
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Sina muda wa kusoma insha...sorry!! Ngoja nipite tu[​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kwel tbag hatari duuuuuuuuuuuh?????/
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Honestly, it has left me flat as it is too ordinary to crack someone up. Nevertheless, one can rate it as a fair joke.
   
 5. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  hujalazimishwa

   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  nimecheka.....thanx
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  huyo jamaa ni kichwa kweli mimi nipo nacheka hapa hadi nimezimia
   
 8. H

  Hume JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 338
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Zinduka, au hadi umwagiwe maji?
   
 9. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #9
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  nimekumiss wewe...
   
 10. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  haaaa haaa haaa!
  asante kwa kunichekesha!
   
 11. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 348
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  nilikuwa na miwazo yangu mibaya yote imetoka nimecheka sana
   
 12. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Ahahhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa_bibi kiboko
   
 13. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #13
  Nov 28, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 584
  Trophy Points: 280
  mie nilijua bibi mchawi atazibadilisha kumbe alicheza na ubongo tu, safi sana huyo bibi inaonekana ni mtaalam wa kucheza kamali.
   
 14. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #14
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  [video]http:Muangalie mumewake hapa[/video]
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mh! Ndefu japo haijachekesha labda kufundisha
   
 16. Eng. SALUFU CA

  Eng. SALUFU CA Senior Member

  #16
  Nov 28, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bibi ni balaa sana kwa ubunifu, aliye nacho huongezewa.
   
 17. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #17
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  bibi sio mchezo..nimeikubali hii
   
 18. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nimejitahidi nisicheke nikashindwa. poa mwanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 19. Moseley

  Moseley Senior Member

  #19
  Nov 28, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hahahaaaa, Bibi nomaaaaa
   
 20. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #20
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  too long....unadhani hatuna kazi???
   
Loading...