Bibi Nomaaaa!! Cheka upasuke

Bibi Nomaaaa!! Cheka upasuke

HEHEHEHEHEHEEEEEEE. NIMEIPENDA HIYO... ((((((( duh, nilikuwa najikagua nijue kama na mimi bibi hajanokomesha na mimi)))))))). LOL
 
ilishawahi kuwekwa hapa, asante kwa kuwachekesha new comer
 
Bibi kizee mmoja alikwenda benki mojamaarufu sana hapa nchini ili kuweka fedhazake. Alipofika mapokezi aliuliza."Naombakumwona meneja mkuu wa benkihii"Mfanyakazi wa mapokeziakamuuliza,"Unataka kumuona kwa shidagani?""Nataka kufungua akaunti" akajibubibi"Akaunti inafunguliwa hapa hapamapokezi, sio kwa meneja" akajibu mtuwa mapokezi."Mimi nataka kufunguaakaunti ofisini kwa meneja maana ninapesa nyingi sana hapa" akasisitiza yulebibi kizee"Hata hapa unawezxa kufunguakwa pesa hizo zote na zitakuwa kwenyeusalama tu"" Kama hutaki kunuruhusukufungulia kwa meneja, basi nakwendakufungua kwenye benki nyingine" akasemabibi huku akiwa amechukia.Kuona hivyo,mfanyakazi wa mapokezi akaamuakumpeleka kwa meneja."Kwa ninimmeshindwa kumfungulia akaunti hukomapokezi" akauliza meneja"Amesemalazima afungulie kwako na nilipomsisitizaafungulie mapokezi alitaka kuondoka"Basimeneja akaamua amfungulie yeyeakaunti. Bibi akazitoa pesa, zilikuwashilingimilioni kumi taslimu! hadi menejaakashangaa na kumuuliza,"Bibiinaonekana pesa hizi umezidunduliza kwamuda mrefu sana ee""Hapana,nimezipata juzi juzitu""Umezipataje?""Kwa kupinga namtu""Kweli? kupinga tu hadi ukapata pesazote hizo?""Yaah, nimepinga tu. Tena hatana wewe tunaweza kupinga tu""Ehe,tunaweza kupinga vipi" akauliza menejakwa udadisi."Kwa mfano, tunawezakupinga kuwa kesho saa kama hizi,pumbu zako zitakuwa za square yaanipembe nne. Kama zikiwa hivyo, weweutanipa milioni kumi na zisipobadilikamimi nitakupa hizo zangu"Meneja kusikiahivyo, akakubali mara moja na wakapinga.Bibi kizee akaondoka. Meneja alibakiakiwa na wasiwasi sana , hadi alipotokaofisini kila mara alikuwa anazishikapumbu zake kuona kama zimebadilika.Hadi siku iliyofuata asubuhi bado pumbuzake zilikuwa kama kawaida.Saa nneasubuhi bibi kizee alifika benkikwa menejaakiwa ameongozana na jamaa mmojanyuma yake."Ehe naona bibi umekuja"meneja akasema huku akiwa nawasiwasi. Mara moja akatoka kwendachooni kuhakikisha kama pumbu zakeziko sawasawa. Akakuta hazijabadilika,akarudi mara moja ofisini kwake."Hayabibi, pumbu zangu hazijabadilika, ehe, siunaona ziko sawasawa? nimekushinda!"akasema meneja kwa kutamba. Bibi kizeeakamsogelea meneja na kumwambia kwasauti ya chini chini."Sawa baba lakini miminitahakikishaje?""Njoo tu uzishike"akasema meneja."Sawa lakini lazimauvue suruali nizishike pumbu zakonihakikishe" alisema bibi.Meneja akavuasuruali na bibi kizee akaanza kuzichezeapumbu zake.Wakati akiendeleakuzichezea (zilikuwa hazijabadilika) yulemtu aliyeongozana na bibi alikuwaanajibamiza ukutani kwa nyuma. Menejaakashangaa na kumuuliza bibi."Mbonahuyo jamaa uliyekuja naye anajibamizaukutani? huoni ataumia?""Heh he heee!huyo KALIWA!!" alisema bibi na kuendelea,"Nilipinga naye jana kuwa leo hii saa nnenitakuwa nazichezea pumbu za menejawa benki kubwa hapa nchini, akakataa etisiwezi. Tulipingashilingi MILIONI ISHIRINI! hivi anakwendakuzitoa baba!"Meneja akachukua milionikumi na bibi akapata milioni ishirini! ha hahaaa ahaaaaa™
lovely
 
ungeisoma usingesema hivi mkuuu... hahaaa asee inachekesha kinanyama yani..!
 
Akili kumkichwa bwana...Big up bibi....nashangaa kwanini watu ni maskini....ubunifu ndo kama huu...lol
 
Bibi kizee mmoja alikwenda benki moja maarufu sana hapa nchini ili kuweka fedha zake. Alipofika mapokezi aliuliza.
"Naomba kumwona meneja mkuu wa benki hii"
Mfanyakazi wa mapokezi akamuuliza,"Unataka kumuona kwa shida gani?"
"Nataka kufungua akaunti" akajibu bibi
"Akaunti inafunguliwa hapa hapa mapokezi, sio kwa meneja" akajibu mtu wa mapokezi.
"Mimi nataka kufungua akaunti ofisini kwa meneja maana nina pesa nyingi sana hapa" akasisitiza yule bibi kizee
"Hata hapa unawezxa kufungua kwa pesa hizo zote na zitakuwa kwenye usalama tu"
" Kama hutaki kunuruhusu kufungulia kwa meneja, basi nakwenda kufungua kwenye benki nyingine" akasema bibi huku akiwa amechukia.
Kuona hivyo, mfanyakazi wa mapokezi akaamua kumpeleka kwa meneja.
"Kwa nini mmeshindwa kumfungulia akaunti huko mapokezi" akauliza meneja
"Amesema lazima afungulie kwako na nilipomsisitiza afungulie mapokezi alitaka kuondoka"
Basi meneja akaamua amfungulie yeye akaunti. Bibi akazitoa pesa, zilikuwa shilingi milioni kumi taslimu! hadi meneja akashangaa na kumuuliza,
"Bibi inaonekana pesa hizi umezidunduliza kwa muda mrefu sana ee"
"Hapana,nimezipata juzi juzi tu"
"Umezipataje?"
"Kwa kupinga na mtu"
"Kweli? kupinga tu hadi ukapata pesa zote hizo?"
"Yaah, nimepinga tu. Tena hata na wewe tunaweza kupinga tu"
"Ehe,tunaweza kupinga vipi" akauliza meneja kwa udadisi.
"Kwa mfano, tunaweza kupinga kuwa kesho saa kama hizi, pumbu zako zitakuwa za square yaani pembe nne. Kama zikiwa hivyo, wewe utanipa milioni kumi na zisipobadilika mimi nitakupa hizo zangu"
Meneja kusikia hivyo, akakubali mara moja na wakapinga.
Bibi kizee akaondoka. Meneja alibaki akiwa na wasiwasi sana , hadi alipotoka ofisini kila mara alikuwa anazishika pumbu zake kuona kama zimebadilika. Hadi siku iliyofuata asubuhi bado pumbu zake zilikuwa kama kawaida.Saa nne asubuhi bibi kizee alifika benkikwa meneja akiwa ameongozana na jamaa mmoja nyuma yake.
"Ehe naona bibi umekuja" meneja akasema huku akiwa na wasiwasi.
Mara moja akatoka kwenda chooni kuhakikisha kama pumbu zake ziko sawasawa. Akakuta hazijabadilika, akarudi mara moja ofisini kwake.
"Haya bibi, pumbu zangu hazijabadilika, ehe, si unaona ziko sawasawa? nimekushinda!" akasema meneja kwa kutamba.
Bibi kizee akamsogelea meneja na kumwambia kwa sauti ya chini chini.
"Sawa baba lakini mimi nitahakikishaje?"
"Njoo tu uzishike" akasema meneja.
"Sawa lakini lazima uvue suruali nizishike pumbu zako nihakikishe" alisema bibi.
Meneja akavua suruali na bibi kizee akaanza kuzichezea pumbu zake.Wakati akiendelea kuzichezea (zilikuwa hazijabadilika) yule
mtu aliyeongozana na bibi alikuwa anajibamiza ukutani kwa nyuma. Meneja akashangaa na kumuuliza bibi.
"Mbona huyo jamaa uliyekuja naye anajibamiza ukutani? huoni ataumia?"
"Heh he heee! huyo KALIWA!!" alisema bibi na kuendelea,
"Nilipinga naye jana kuwa leo hii saa nne nitakuwa nazichezea pumbu za meneja wa benki kubwa hapa nchini, akakataa eti siwezi. Tulipinga
shilingi MILIONI ISHIRINI! hivi anakwenda kuzitoa baba!"
Meneja akachukua milioni kumi na bibi akapata milioni ishirini!
ha ha haaa ahaaaa
source: Mrisho Mpoto
 
haaaa haaa haaa!
asante kwa kunichekesha!

Source: Cantalisia.
 
Back
Top Bottom