Kufunga tu ndoa ni vita, let alone kuishi kwenye ndoa. Bw Joseph anaweza akamlaumu na kumchukia sana huyo binti, but mwisho wa siku ukute binti hata yeye mwenyewe haelewi kilichomfanya akakimbia. Ajipe tu muda, Mungu atamfunulia ni kwa nini binti amemkimbia na ashukuru kwa yote pia coz kama ni adhabu naamini hakuna adhabu tamu kama za Mungu
Kuna mahusiano tunapitiaga but kumbe nyuma tumeacha visasi. Kuna watu ukiwaacha/ mkiachana hawakubali hata kama kosa ni la kwao. Anakwambia kabisa "hutooa/kuolewa na mwanamke/mwanaume mwingine apart from mimi. .. au hata asikwambie ila kila utakayekuwa naye na ikikaribia tu muda wa harusi kama hajakukimbia ghafla basi atakufa. Ni better ukawa unajiombea Mungu akuepushe na hivyo visasi.
ahaaaa,,.....kwahiyo mkuu mke mtarajiwa watu
wamuunge extreme ya mtandao pendwa..??
Michango itarudishwa?
Kwa maana hakuna namna nyingine akizingua na yeye azinguliwe FIESTA kwenda mbele kama hampendi na akamdhalilisha hivyo hafai tena kuwa mke tena apigwe FIESTA MOJA MATATA mpaka ajute.
namsikitikia maana anawaacha wazazi wake kwenye wakati mkubwa na pia amewatia aibu kubwa mno.
Yote tisa, kumi tuombe awe salama ili aje aueleze umati wa kilichomsukuma kukimbia na mpira kwapani.
kwahiyo manzi wa kichaga yeyote yule
wewe ni hela yako...ukifika dau unang'oa nanga.
sikuwahi kuwaza wala kufikiri kuwa una Imani Haba sana Shemeji. Binadamu hana uwezo wa kupangua Alichokipanga Mungu bhanaa
Dah, nimepata mwanga na mafunzo ya kutosha hapa. Ubarikiwe.
Michango itarudishwa?
Amen mpendwa, kama wewe ni "me" usijaribu kupromise vibinti vya watu utavioa afu mwishoni unavimwaga kwa kejeli. Wapo watakaokusamehe na wapo watakaodeal na wewe. Ingawa pia wapo tu wenye visasi vya binafsi
Better late than neverMe ni wakiumeni mkuu, hizo promise huwa zinakiwepo kulingana na level ya mahusiano inapofikia...ila chemistry inaweza kuleta utata mbeleni.
Just to say a few.... Kuna points nimeziona, but its too late..
who told u that she was abducted..?
If she was kidnapped , Y ..she did int ask
for help from her fellows...??