kwa kuacha vitendo vya kuruka ukuta wa choo na
kutokomea kusikojulikana wakati kila kitu kiko
kwenye mstari...au alizimua kwanza ile mbege isiyo
na sukarai sukari...??
Y'all shouldn't be jumping into conclusions yet. Nobody really knows what happened, but the was to be bride.
Who knows...may be she was forced, abducted, or whatever. Til she's found and has talked, it's wise to preserve the opinions.Probably yes, but why did bride decided to do so..?
The bride-groom is still perplexed as well as puzzled
by the given incidence.....
Let us wait , time will heal the wound.
ila hajafanya pouwa kabisa huyo bintTena ile ya asubuhi asubuhi...
Ina maana mapenzi yana patikana juu ya jua tu...??
Ni watu wa moshi kilimanjaro tena wakiwa
katika ubora wao....hasa wa kielimu.
ahaaa....eti kabadili gia angani...
mie naona kabdili gia chooni baada ya kuruka
ukuta mrefu wa chooo....na kutokomea.