Bibi harusi atoroka saa chache kabla ya ndoa huko Moshi-Kilimanjaro

Hahaha sielewi huwa yanatukutaje hata. Kuna wanaume wapo smart kwenye extra curricular kiasi kwamba huwezi hata kuhisi kama mpo wengi.kwa hiyo Usishangae sisi wote 6 tukawa tumeshatambulishwa kwa ndugu zake. Ingawa sometimes pia kuna red flags nyingi tu tunazipuuziaga hadi yanatukuta yakutukuta. Na kuna wakati tunajua kabisa tupo wengi, ila tunajidanganya kwamba "I'm his number one" wengine watafuata. Ndo hayo ya dada zako

kwahiyo hata mkigundua dalili bado huendelea kumganda jamaa tu
kama Ruba ..?? Nadhani hapo ndipo mnapo chemka, kwani first impression matter a lot
mie nadhani kuna umuhimu wa kuwa nae karibu ili kumjua kabisa
ili kuepuka kuingizwa choo cha wababu.....
 
Last edited by a moderator:
Ni asilimia chache ya wanawake wanaoingia kwenye ndoa wakiwa na uamuzi uliotimia, huyo mpaka dakika ya mwisho alikuwa hajaamua kama kweli anaenda kujenga ndoa!

mkuu una onekana una ujumbe mzito sana
sema tu7 bado hujaamua kuuweka wazi.
fafanua vema tafadhari.
 
Watu na fani zao za ku report matukio, nimeishia kucheka tu. kamata phd yako
 
kwahiyo hata mkigundua dalili bado huendelea kumganda jamaa tu
kama Ruba ..?? Nadhani hapo ndipo mnapo chemka, kwani first impression matter a lot
mie nadhani kuna umuhimu wa kuwa nae karibu ili kumjua kabisa
ili kuepuka kuingizwa choo cha wababu.....
Kuna Vitu ambavyo huwa ni ishara mbaya tunavipuuziaga afu baadaye vinatucost

Ila usifanye utani na watu wanocheat. Ni very smart kiasi kwamba anakufanya umuamini kupita maelezo. Hujawahi sikia mdada anakwambia huyu mwanaume naishi naye miaka yote hii (wanaishi wote), lakini hajagundua kuwa mwanaume ana familia na bado yupo responsible kwa familia yake muda wote huu. Au mtu anakwambia huyu mwanaume kila nikijisikia kwenda kwake naenda ila sikuwahi kuwaza kuwa nyumba ile ile nayoenda ndo anapoishi na mkewe. Unaweza kuhisi ni mazingaombwe ila kumbe ni Vitu halisi kabisa. Kuna watu wamekubuhu kwenye kuchanganya watu
 
Hivi inawezekana vipi mambo hayo..?
kama vipi basi mahusiano yetu tuwe tunaenda kuomba vibali
polisi kama wanavyoomba wanaotaka kuandamana
maana kwa michezo hiyo mbona wata ruka ukuta wengi sana
na kutokomea kizani...
hivi ingekuwaje mathalani mwanaume ndiye katoroka.>>???
 
Teh itabidi kila mwenye mpenzi mnagongana special mihuri yenu kama ya NEC vile.

Sielewi kwa nini wanawake wengi ndo huwa wanatorokaga hizo ndoa zao, maybe. Wanaume huwa wanabadili tu maamuzi kabla, Sitaki hii ndoa full stop
 
Haaaa....eti na muhuri kama ule wa nec siku ya uchaguzi
wataumbuka wengi maana unakaa muda muda ule wino mpaka uje
kufutika mazima.
 
Back
Top Bottom