Kufunga tu ndoa ni vita, let alone kuishi kwenye ndoa. Bw Joseph anaweza akamlaumu na kumchukia sana huyo binti, but mwisho wa siku ukute binti hata yeye mwenyewe haelewi kilichomfanya akakimbia. Ajipe tu muda, Mungu atamfunulia ni kwa nini binti amemkimbia na ashukuru kwa yote pia coz kama ni adhabu naamini hakuna adhabu tamu kama za Mungu
Kuna mahusiano tunapitiaga but kumbe nyuma tumeacha visasi. Kuna watu ukiwaacha/ mkiachana hawakubali hata kama kosa ni la kwao. Anakwambia kabisa "hutooa/kuolewa na mwanamke/mwanaume mwingine apart from mimi. .. au hata asikwambie ila kila utakayekuwa naye na ikikaribia tu muda wa harusi kama hajakukimbia ghafla basi atakufa. Ni better ukawa unajiombea Mungu akuepushe na hivyo visasi.