Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,247
Zingatia hakuna mapenzi chini ya jua, usiingie kichwa kichwa
Mapenzi yapo wapi mkuu
Zingatia hakuna mapenzi chini ya jua, usiingie kichwa kichwa
Better late than never
Hizo situation wote tunakutana nazo. Kuna mtu mnakuwa na malengo naye kabisa but mbeleni inakuja kuwa tofauti, mnaachana tu kiroho safi. Me naongelea wale ndugu zangu ana wasichana 6 afu wote wana engagement rings zake na anawahaidi ndoa, mtu unakuja kushtukia kapost tu wedding pictures zake. Not raiti aisee
Usije ukamuumiza mtu afu ukaona ni fair kwa sababu tu kuna mtu alikuumiza na wewe before. Moyo wako wa kusamehe na kupotezea mambo, sio kila mtu anao.. Usije ukalisahau hilo kabisaNilidanganywa, nimedanganywa...it's fair game kwangu...
Too late sikujua mapema effects za promise zile. Kwangu sasa kitu kinachoweza kusababisha mgogoro au kukata mawasiliano na mtu ni kuulizwa swala la ndoa...
Usije ukamuumiza mtu afu ukaona ni fair kwa sababu tu kuna mtu alikuumiza na wewe before. Moyo wako wa kusamehe na kupotezea mambo, sio kila mtu anao.. Usije ukalisahau hilo kabisa
Seems like una mengi ya kuongea, but kwa leo tuishie tu hapa. Thanks
All is well mpendwaWell, vizuri . Me sio mtu wa kusema sana, hapa nimejitahidi...siwezi kuchangia thread zaidi ya mara mbili.
Kama mimi nikisamehe, mwingine asiponisamehe sioni tatizo.
Ahaaaa.....thinking beyond the horizon.
Nilipoisikia hiyo, nikapata wazo huenda bibi harusi ni mtu wa visasi, na alisubiri kwa hamu siku hiyo ili aweze kukamilisha kisasi chake kwa ubaya flani ambao huenda bwana harusi ameshawahi mtendea.
Ni asilimia chache ya wanawake wanaoingia kwenye ndoa wakiwa na uamuzi uliotimia, huyo mpaka dakika ya mwisho alikuwa hajaamua kama kweli anaenda kujenga ndoa!Utakuta kuna jambo kligundua dakika za mwisho labda Bwana harusi mtarajiwa ana VVU au bwabwa huwezi kujua unajua saloon kuna mambo mengi sana.
Mimi ndio maana napiga mimba kwanza halafu naoa
Mbege na nguruwe au sio?
Yah!!,hapo anakuwa hana ujanja.
alilazimishwa kufunga na jamaa ndoa au ni nini?